CUF na Operesheni "Zinduka"


Yakhe Pemba hakuhitaji hata kampeni wala kiongozi wa CUF kwenda huko ,WaPemba mambo wanayaweza na wala yasikupe shida ,wameshaamka na wanajua nanmna ya kupambana na CCM ,ile viongozi wa CUF kufikia kusema ni wajibu wao tu,(wametimiza wajibu wao kuifahamisha jamii)

Adui sio CCM adui ni wale wote walio na wano ifisidi nchi hii wawemo CUF au Chadema au kwengineko kokote kule ,hao watakuwa maadui ,sasa tusiwe wenye kubabaika katika kuchagua viongozi au Chama kilicho bora kwa kuwa tu baadhi ya viongozi fulani wamekuwa mstari wa mbele katika kulipua mabomu ni lazima ukubali kuwa unaponyoonyeshea wenzio kidole basi kama hukuangalia vizuri vidole vingine tena vinne vitakuwa vinakuelekea mwenyeo , na kama haitoshi mara nyingi wanaolipua mabomu hutokezea mambo yakaenda kombo mabomu yakamlipukia mikononi.

Hivyo tusiwe katika msimamo usiotetereka ,inavyokuwa tunaisimamia haki na kuuchukia ufisadi basi hatuna budi kumuumbua yeyote yule ,ikiwa ni Lipumba au Seif au mwengine yeyote, tusione soo kusema au kukubali kuwa viongozi wa Chadema kumbe nao wamo katika kapu la ufisadi ,tusiwe na gatigati ,ugumu wa kuwaumbua kwa kuwa tu ,tunao au tupo pamoja nao ,hawa kama ni wahusika wa ufisadi kwa kweli watakuwa hawafai na hawatufai ,let us be sensible katika kupambana na wafujaji wa uchumi wa Taifa na Nchi hii ya Tanzania ,haiwezekani ikawa tunapigana na CCM peke yake wakati upnde wetu wapo wanaop fanana nao ,huko kutakuwa ni kutaka kwanza kuwadanganya wananchi na pili kuwaonea choyo CCM ni kwamba tunataka kuwaondoa CCM kwenye ulaji ili tukamate sisi ,CHADEMA imetuhumiwa kuwa hakuna viongozi wenye sifa zinazofaa kuongoza hilo sio jambo dogo ,kwa maana ingine ile kulipua yote ilikuwa ni kutembea na ngozi ya kondoo.

Lazima tuwajibike kwa hili kama hawa waliotuhumiwa na CUF ni wahusika wa ufisadi fulani fulani basi isiwe mbinde kuwachanganya na wale wa CCM na kama Lipumba nae anahusika nae mtajeni ila hadi leo sijaona ni wapi Lipumba amehusika au kuwa upande mmoja na akina Rostam huko itakuwa ni kumzulia au kutaka kumhusisha na mkumbuke tu siku zote ukweli unakuja juu ,sasa mnaweza mkaumbuka ,sijawasikia viongozi wa CHADEMA kulisema hilo kuwa Lipumba anahusika na kuwasaidia akina Rostam ,jamani na wao waseme tusikie kuwa viongozi wa CUF nao ni mafisadi hivi kama kuna ukweli itakuwa shida ,ila naona sasa kama mmebabaika baada ya kuumbuliwa kwa viongozi wa CHADEMA ,msiwe hivyo kubalini ukweli na msiseme Lipumba ameharibu upinzani ,bado hajaharibu kitu.

Naona kama CHADEMA nao wameshikwa pabaya.
 
TATIZO HATA PICHA ZA UFUNGUZI WA ZINDUKA MNASHINDWA KUTULETEA ,poleni sana.
 
TATIZO HATA PICHA ZA UFUNGUZI WA ZINDUKA MNASHINDWA KUTULETEA ,poleni sana.
Mwiba,
Pamoja na kuwa umequote uchaguzi wa marekani, huoni kuwa Mcain aliingiza uongo mwingi kuwa Obama sijui terrorist friend, sijui sio Mmarekani, Mwarabu, muislamu; hadi mambo yakamgeukia mwenyewe? If you have smear politics tactics you must be a clean man yourself. Then what you speak must be proved true. Hivi hawa FBI wa Tanzania sasa hivi wana kazi ya kufanya na kuimalizia kuhusu ile kuungua kwa BOT. Lipumba knows who burnt it. "Mr. Makani and Mtei because they stole money so they wanted to spoil evidence".

Serious allegations and a dirty game which can finish Mr. Lipumba. This guy got no datas, when the bank was burnt and when Mtei was a governor.

Also I was thinking in politics you may have "face"; CHADEMA and CUF were PARTNERS inn previous election; why all this eneminity; and coming from the Professor? I thought Professors are wiser! He has to know Professor Obama got the country (USA) by avoiding smear politics!
 

Mhh Chadema chama cha wasomi.
Hawezi kujibu pumba watu wasije kuona tofauti haipo!
 

Jamani mbona siamini kama Lipumba anaweza sema haya? labda nisikie audio kwa masikio yangu, yaani kaisha fisadiwa kiasi hiki?

Lakini hii ni habari njema kwakweli, make wengi tulikuwa tukilalamika kwamba Chadema ni wabinafsi kwanini wasiungane na wengine, sasa kumbe wa kuungana nao ndo hawa? wanao simama hadharani kutetea mafisadi mchana kweupe?
 
Lipumba ameshaona kashindwa kuendeleza CUF sasa anaona iliyobaki ni kuharibia wengine.Bora tu ajiunge na CCM ili akaseme vizuri kama kina Tambwe Hiza.Ni profesa lakini ana fikra kama za mtu wa shule ya msingi.
 
Mbunge Slaa aibua ufisadi katika mradi uliozinduliwa na Rais Kikwete
 
Last edited by a moderator:
nadhani kichwa cha hii topic hakiendani na maneno aliyoyasema Lipumba at el huko mwanza, hiyo siri nzito wanayoitoa wana CUF ni hipi?
pili hata jina la kampeni yao haiendani na wanachofanya mimi nadhani wako bize kutafuta blanketi ili walale usingizi mzito na wala sio kuzinduka

kuna post yangu moja nilishaituma kuhusu huyu bwana Lipumba na CUF kwa ujumla ni kuwa ukweli kamili tutaupata kutoka kwa Bwana Lwakatare na Prof Safari, walichofanyiwa hawa Mabwana ni kitu kikubwa na sababu ni kupinga hizi sera za kufadhiliwa na watu wasio na nia njema kwa Tanzania,
Ndoto kubwa ya maalimu ni kuwa wao sio raia wa Tanzania na labda Africa, wanataka kurudi kwao, sasa maskini Lipumba hajuhi kuwa anacheza na timu ya wageni, Shariff, RA, Manji,Bakhresa hawa wote sio watanzania na wako hapa kwa malengo yao maalumu, sasa huyu Mmatumbi mwenzetu na elimu yake anashindwa kujua anapelekwa wapi, kweli elimu sio Madegree tu ni laazima ikusaide kukukwamua kwenye utumwa wa kiakili,
 
LUNYUNGU.
Maneno ya Mkandara unayakumbuka?kuwa wapinzani wasigombee ukoko.
 
LUNYUNGU.
Maneno ya Mkandara unayakumbuka?kuwa wapinzani wasigombee ukoko.


Mkuu hizo line zinaweza kuwa zilinipita nirushie hapa ama sirini nipitie tena mkuu .Unajua nilikuwa sio jamvini muda sana .
 
Edwin Mtei hakuacha kazi 1974 ni mbele ya mwaka huo cheki details zako.
 

Maproffesa wengi wa Tanzania wengi wao walisoma sana kwa kukalili na kupasi mitihani yao na kupata A+ lakini kwenye practical ni F+. Enzi zile za ujamaa Mtu kama Proffesa alieshimika sana kwamba anajua mambo kumbe ni kwa sababu hapakuwa na utandawazi wa kuwagundua ubovu wao, leo hii mtu akisema kitu kama ni pumba unajua tu huyu mtu kachemsha, ni kama huyu anayejiita Prof Lipumba. Huyu jamaa atakufa kabla ya umri wake, maana alijua akiwa prof maisha yakuwa mazuri, kumbe yamekuwa kinyume chake, angalia sasa anavyopewa visenti kidogo tu na kuanza kupayuka utafiri mtu ambaye hata darasa la kwanza hakupita. Rostamu alisema Mengi ni Nyangumi, leo prof kasema tena Mengi ni nyangumi, jee hii imekaaje!!. Prof katetea turbine za Dowan/Rostamu zinunuliwe huku akijua wazi ni hiyo fraud. Jee watu kama hawa kweli hata akikufundisha utabaki kukalilishwa vitabu vya mwaka 47, mwisho wa yote kwenye practical life unakuwa kama ujaenda shule.

Ndo maana wasomi wengi Tanzania akisoma mpaka apate ajira, maana wanafundishwa kuajiiwa wakati huo, India, US, UK, JAPAN etc wanafundishwa kujiajili. Utakuta mtu na masters Degree au degree mojae anaajiliwa na mhindi wa darasa la saba hapo Dar. hiyo yote ni kwa sababu ya kufundishwa na hawa Maprof uchwara.
 

Mkuu huu ndo mshangao wangu, hivi kweli lipumba anaweza pumbazwa kiasi hiki? hivi RA anawapa pesa tu ama obiism? sijapata picha kwakeli!
 
Kichwa cha habari kingekuwa...

Upinzani Wasuasua!

Siri gani hiyo mbona mie sioni, haya mazingaombe?
 
Ama kweli ufisadi mbaya ,yaani CHADEMA wameingizwa ndani ya kapu ,Makada wa CHADEMA hapa JF wamepata kazi ya kujipapatua ila hakionekani wanachokipapatua ni kipi ,sasa baada ya kukanusha wanamsakama Lipumba ,jamani ujumbe ndio huo umefikishwa ,yaani mlizani atasimama pa Kikwete tu kumbe mambo ni mbele kwa mbele.

Yaani mafisadi tunao humu humu ,jamani sasa wajitokeze hapa kupinga hizo shutuma ,akina ZItto,Slaa naona wamezidiwa ,wanashindwa kufahamu kuwa siasa si lelemama.

Sasa wamelipuliwa kabisa ,yaani Majeshi ya CHADEMA yote yamemvaa LIpumba ,yanajaribu kutafuta pa kushika ,hamna, wanabaki kuzunguka papo kwa papo.

Huyu sie ,huyu si profesa ,wakati wa zamani hakuna mitandao ,yaani CHADEMA na wafuasi wao wamechanganyikiwa kweli,hawajui cha kufanya au sivyo ?

Yaani CUF wamelipua lile bomu lenyewe labisa la nyukliya ,sio mchezo ,wachadema wanatafutana.

Mnajua hapa mnakuwa hamna pa kushika ,ukiangalia utaona ni wenywewe kwa wenyewe mnapeana maliwazo na kujalibu kupeana moyo ,lakini ndio hivyo jamaa wamemwaga mboga kabisa ,aisee ,sasa sijui Lwakatale kule watamfanya nini ,kuna tetesi kuwa yeye ndie alikuwa na manyuklia haya na alikwisha kuyatoa kitambo ila alisahau ,sijui watamfanyeje,ila bora wakae kimya maana wakimgusa nae atawalipukia.

Ila kama hapa mpo kama WaTz ambao mmeamua kufanya kweli na mambo ndio yanawekwa hazarani ili kujua lipi bichi na lipi limeiva ,msidumae na kujaribu kuwakosha waliopopolewa ni kuwakimbia kama wenye marazi ya ukoma ,maana wao ni hatari kuliko hao CCM ,ei ndio maana yake ,haina haja ya kutafuta maana ingine ,hao kumbe nao ni mafisadi undercover through CHADEMA ,hiphop leaders ,inafaa wajiuzulu mara moja ili kuisafisha CHADEMA ,hii ni kashfa nzito kwa CHADEMA. Yaani mapigano yao katika medani ya kisiasa ni bure kabisa ,ikiwa tu hizo kashfa walizonadiwa nazo zimewaganda ,hakuna sababu ya wao kubakia kama viongozi wa CHADEMA ,they have to resign .

WAJIUZULU mara moja ,Je utamaduni huo upo TZ ?
 
Edwin Mtei hakuacha kazi 1974 ni mbele ya mwaka huo cheki details zako.

Niliweka link ya website ya BOT ambayo ina hiyo miaka, unless wewe uniambie kwamba una information tofauti na hizo ambazo ziko kwenye website ya BOT.
 
duh! waandishi wetu bwana!....habari nzima hakuna direct quote hata moja!
bora angesema kwa nilivyo mfahamu mimi lipumba alikuwa anaongelea hili"..............."
lakini kama hatupi maneno yake moja kwa moja, inakuwa tabu kuamini kasema kwa kutaja maneno hayo ya "nyangumi" moja kwa moja
 
"Nyangumi", "CCM B", zote ni kauli ambzo tume sha sikia sana. Nothing new. Seems like he is trying to recycle things so he can look relevant.
 
Sasa hivi Lipumba kachoka sana na azungumza pumba. Unapoona kiongozi wa siasa hana sera za kuuza kwa wananchi bali kushambulia wanasiasa wenzake huyo kafilisika. Sasa hivi anatumiwa na maadui wa maendeleo ya watanzania ili kuturudisha nyuma. Huyu ni kiongozi aliyefilisika kisiasa na kibaraka.

Ushauri mzuri ni kumdharau ili aibu yake ianguke kwenye kichwa chake mwenyewe
 

Mrugaruga umezungumza mavituz. Umenikumbusha mwaka juzi nilikwenda hospitali kutibiwa na Profesa mmoja ambaye alikua anatumia reference book (British National Formulary) ya edition ya mwaka 1982, tena alikua kaijaladia (kaweka jalada) maana ilikua too old. Hicho kitabu kinakuwa updated every 6 - 9 months... sasa jiulize hapo jinsi daktari profesa anavyolisha watu sumu..

Ukweli ni kwamba Profesa Liipumba hajazungumza lolote la maana. Ni pumba 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…