Sina hakika kama vyyama vya CUF na NCCR vilifanya SWOT analysis, katika project kubwa kama hii ya kuongoza Nchi nashangazwa na mipango ya hawa wanaojiita UKAWA.
Nianze kwa kutoa pongezi zangu kwa Mh. Mbowe na viongozi wote wa UKAWA.
UKWELI ULIVYO KUHUSU UKAWA.
Ikiwa CHADEMA itashinda
Nini cha Kufanya,
Ndimi,
Batili.
Samora Avenue.
Nianze kwa kutoa pongezi zangu kwa Mh. Mbowe na viongozi wote wa UKAWA.
- Kwa kutambua na kubadirisha sera na hoja baada ya CCM kumleta Mgombea Mh Pombe Magufuli hakika hii ilikua ni Suprize kwetu wanamapinduzi, zile hoja na kashfa za UFISADI zisingefua dafu ndidi ya huyu bwana, kwa kutambua CCM wameua hoja yetu ya UFISADI kwa kutuletea Mh. Pombe nakupongeza Mh. Mbowe na jopo lako kwa ubunifu na umaridadi wa Kuigeuza hoja hiyo ya ufisadi kuelekea kwetu na kuibua hoja mpya ya System kwa sababu sio rahisi kumattack Pombe moja kwa moja.
- Kwa kutambua hatuna mtu angeweza kushinda Uchaguzi ukaamua kutuletea Ndugu Lowasa, najiulizza kama lowasa asingejiunga nasi tusingesimamisha Mgombea?
- Kuwaburuza wanachama kwa majority rule, na kupuuza wale minority ambao wanaweza kua na ukweli.
UKWELI ULIVYO KUHUSU UKAWA.
- UKAWA ni muunganiko usio rasmi hinyo kufanya makubaliano yote kutokua Halali na yakihuni.
- UKAWA haitambuliki na NEC wala Msalijili wa Vyama vya Siasa, hivyo kuacha political dilemma hasa kwa wananchi japo halizungumzwi (Uoga wa kuzungumzia ukweli)
- Endapo Makubaliano yatakiukwa hakuna namna ya kudai haki popote ni kama mtu asipokupa gift au urithi alikuokuahidi huna mahali pa kumdai hata kama mliandikishana mkataba kwa sababu hana anachogain.
- Kila chama kina nadi Ilani yake (Lipumba kunadi Mgombea wa Chadema ambaye anasimamia Ilani tofauti)
- Utata wa mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi bado (Chadema wameshaweka wazi uhitaji wa majimbo zaidi ya 140, CUF na NCCR watabaki na nini?
- Kukosekana viongozi wenye uwezo wa kuhojji, kupambanua mambo, na kusimamia misimamo yao kunatia shaka aina ya serikali watayoiongoza, tunaona jinsi viongozi wa ukawa hasa wale wenye elimu wanavyoburuzwa bila kuhoji (UKAWA inahitaji kina Dr. Slaa wengi zaidi ili iweze kupewa dhamana kubwa hii, na sio watu wanaoendeshwa na uchu wa madaraka na matukio)
Ikiwa CHADEMA itashinda
- CUF na CHADEMA kwa kuwa havitasimamisha mgombea wa URAIS, ndo vitakua vimekufa kisiasa. Kutokua na Presence kutavifanya kuwa mfu katika ulingo wa kisiasa
- Kukosa Ruzuku ambayo hupatikana na idadi ya kura alizopata Mgombea urais wa Chama husika (undeshaji wa shughuli za chama kuzorota kwa kutokua na vyanzo vinavyoeleweka)
- kama CHADEMA itashindwa pamoja vyote ambavyo wangepoteza kama CHADEMA ingeshinda, wataachwa na vidonda visivyopona vya kuonekana wasaliti na wahujumu wa mabadiliko, maumivu yatakua makali sana kama wasiposimamisha wagombea ubunge katika majimbo yao, watashindwa kuendesha shughuli za chama na ndio utakua mwisho wao. (wanachama wa CUF na NCCR amkeni mdai chama chenu, Juma Duni atarudi CUF akishindwa Uchaguzi?? Kumbuka ni Mchezaji wa kukodi huyu).
Nini cha Kufanya,
- Kukubali yaishe, kuua vyama vyao na kujiunga na kimoja chenye nguvu (Chadema). Lipumba, Mbatia, Makaidi etc wapewe majimbo ya kugombea ubunge watajihakikishia maslahi yao endapo Chadema kitashinda au Kupoteza, hata hivyo nani asiyependa kuona bunge lenye watu machachari kama Lipumba, Mabatia, Mbowe, Slaa, Makaidi, Lissu, Zitto n.k (Kwani Mkiungana katika Chama kimoja kwa dhamira safi, ilani ya pamoja na misingi ya pamoja mtakua mmechelewa wapi? Kuliko huu unafiki na ujinga mnaouita UKAWA?)
- Itemike Nguvu ya makusudi ya Kumrudisha Dr. slaa kabla jahazi halijazama (Dont ever underestimate him)Tuanze kwa lowassa kjisafisha mwenyewe, Lowasa akijibu hoja ya Richmond alituachia maswali badala ya majibu tunaomba atuambie ni nani alikua nyuma ya Richmond na atupe ushahidi beyond reasonable doubt, ajibu tuhuma zote zinazomkabili kama Ofisi ya Bunge, Vodacom Jelo Jelo, Ubalozi wa South Africa na nyinginezo,
Ndimi,
Batili.
Samora Avenue.