CUF na NCCR kupasuka Vipande

CUF na NCCR kupasuka Vipande

mnatuchanganya sana, ivi sisi kama taifa tunaitaji nini na tunataka kwenda wapi nje ya itikadi za vyama vyetu?
 
Mkuu sio hivyo tu. Ukweli ni kuwa huyu ni mgombea wa kitengo na anakwenda kupambana na mgombea wa wananchi. Halikadhalika, anaunga mkono Katiba iliyopendekezwa na Kitengo wakati wa UKAWA ni wazi anaunga mkono Katiba ya Wananchi. Kazi ipo. Tutaona kama Wananchi wanapenda kitengo ama wanajipenda wenyewe!

Ama kuhusu uhai ama kufa kwa vyama vilivyounda UKAWA, hilo wala sio suala la maana. Chama ni wanachama. Kikifa si kinaundwa kingine, kuna shida gani? Haohao wanaotia hofu vyama kufa ndi waliokuwa wanashadidia vyama vipya kama Asasi ya Chama Tawala (ACT). Eti leo wamekuwa hodari na wenye ujasiri wa kuelezea masikitiko ya kufa CUF na NCCR. Tuwaulize tu kuwa wao watapata hasara gani? Waswahili wamenena "Inzi kufa kidondani si haramu". Chama kikifa kwa kufanya siasa ni halali rafiki.

Kwa kuhitimisha, jiulize tu kuwa KANU na UNIP vilikufa kwa kushirikiana na chama gani vile? Tafuta hoja nyingine.

Unajua hawa vijana wa lumumba kama vile wamekatwa vichwa.....yaan tangu Nape awaongezee ujira mpaka 15000 wanaleta vitu hata ukisoma unapata kichefuchefu....ila hicho ulichosema ni kwel na wanawaswas kwasababu wanajua hawakubaliki ndo maana wanakuja kutala kumchafua lowasa....wanatakiwa wamuelezee na kuendelea kumtambulisha mgombea wao ambaye hajulikan...
 
mnatuchanganya sana, ivi sisi kama taifa tunaitaji nini na tunataka kwenda wapi nje ya itikadi za vyama vyetu?
Swali zuri, ukiuliza Viongozi wangu wa Chadema unaambika kanyaga Twende, Yani naona kabisa Driver sio mzima, hakuna Direction alafu naambiwa Bora twende, ni heri nichelewe lakini nifike salama.
 
Polojo za fisadi

Mkuu sio porojo ,ila iko waz hawa mafisadi ccm ....kama wanataka wampeleke lowasa mahakaman waache kuwa dhaifu ..huwa fisad hatakiwi aka kaa mtaan ...ni kwel kuwa aliye piga dili ni mkuu wa kaya anaogopa....
 
Kama kweli yamekutoka moyoni....nakuhakikishia usiwe na hofu, hata muungano wa bara na Zenji ingawa una miaka kibao bado unashida zake... muungano usio na zengwe nikati ya Ng'ombe na Ng'ombe kwani hawana ufahamu...wasi wasi ondoa,nakukuhakikishia kwa 100% kati ya vitu ambavyo mwanadamu hawezi kuvizuia.....ni (MABADILIKO) nakuahidi makubwa yanakuja.
 
Chadema ufisadi ndiyo mahala pake sasa wameweza kumsajili mchezaji ambaye pia ni fisadi namba moja basi mambo yamekolea kabisa sasa chadema inanuka pesa za ufisadi.
 
Naona huu uzi Ma ccm wamejipanga kuja na akaunti saba saba kujijibu

Sio mbaya nami nitie neno, hivi unadhani mleta mada maana hii sio hoja, una uwezo mkubwa wa deep thinking zaidi ya Mbowe, Makaidi, Prof Lipumba, Juma Duni, Mbatia, Prof Safari, Maalim seif na jopo lote la walioshiriki kuifikisha hapa UKAWA?

Unadhani hawakukaa na kupima pande zote za RUZUKU, KUSHINDWA, KUSHINDA, THE TOMMOROWS AND THE AFTER TOMMOROWS ya vyama vyao na complications kama izo?

Hivi unadhani walipomkaribisha lowasa hawakuwa na muda wa kupima neno" Ikiwa" na mazao yake na kwanamna yeyote ile? Ikiwa hivi, nini kitakuwa vile?

Unadhani vikao walivofanya Usiku na mchana, huku kukiwa na Hujuma kali sana toka kila pande hawakuwaza vitu vyepesi hivi ulioandika?

Vyovyote utakavyojibu maswali hayo, jibu linabaki, walifikiri zaidi ya ulivofikiri na kuandika

Leave Us, The Destination will justify the Means. Kwasasa Hoja ni CCM must die early in the Morning of 25th October
Dont allow your intuition to guide you, usikubari kutumika. Nadhani wangepima wangekua more Careful na move zao.
Siasa sio Dini, Una wajibu wa kuhoji kujua safari yako mwisho wapi, driver wako ana leseni safi? anafata Sheria za barabarani nk
Hawa watu wanamotive behind ukombozi, Jiandae kwa Depression UKAWA wakichukua Nchi. Kuisigina democrasia ili kumpa nafasi lowassa ni uhaini mkubwa katika mapambano.
" A man can not degrade his Values at any Cost"
 
Kama kweli yamekutoka moyoni....nakuhakikishia usiwe na hofu, hata muungano wa bara na Zenji ingawa una miaka kibao bado unashida zake... muungano usio na zengwe nikati ya Ng'ombe na Ng'ombe kwani hawana ufahamu...wasi wasi ondoa,nakukuhakikishia kwa 100% kati ya vitu ambavyo mwanadamu hawezi kuvizuia.....ni (MABADILIKO) nakuahidi makubwa yanakuja.
Binafsi siwezi kumuamini mtu kirahisi, mipango iwekwe wazi ili kila mtu apime kama ina tija, sio kuniambia Niende kama Ng'ombe unaowasema hapo, Maalim Seif kafanya nn Zbar? Watu walikufa kwa Ajili ya Odinga Kenya lakin walikuja kumbwaga baadaye.
 
we ----, embu tuwashie sisi vinyozi umeme tunyoe huku kama hamuwezi kwendeni mkakulane matako..kwendaaaaa
 
Mkuu sio porojo ,ila iko waz hawa mafisadi ccm ....kama wanataka wampeleke lowasa mahakaman waache kuwa dhaifu ..huwa fisad hatakiwi aka kaa mtaan ...ni kwel kuwa aliye piga dili ni mkuu wa kaya anaogopa....
Yani mshatutia hasara alafu utatujibu kwa Jeuri twende mahakamani na kura zetu unataka, tutakapoanza kuwa tunawagongea nyumbani kwenu kudai pesa zetu ndo mtapata akili. Mkuu wa Kaya kupiga dili hakuna evidence na lowassa anajua mlivo emotional na mazuzu mtakubaliana nae, Lakin Lowassa kuna Ushahidi unaocompromise.
 
we ----, embu tuwashie sisi vinyozi umeme tunyoe huku kama hamuwezi kwendeni mkakulane matako..kwendaaaaa

huna adabu kabisa na hatuwezi kusema wazazi wako wamekufundisha adabu mbovu bali tunasema ww ni maskini wa akili
 
huna adabu kabisa na hatuwezi kusema wazazi wako wamekufundisha adabu mbovu bali tunasema ww ni maskini wa akili
wewe uliyetuzimia umeme na kutuambia maisha bora hayaji kwa kukaa kijiweni wakati tuko saloon na tunalipia sh 350 per unit wakati kenya wanalipa 150 ya kibongo per unit na hawana resources kama zetu ndio hauna adabui kwenda hukoo
 
Kama Lowasa ni mchafu,kwa nini PCCB ilimsafisha na hakushtakiwa kipindi chote hicho alichokuwa CCM? Safari hii mmeshikwa pabaya.
 
Back
Top Bottom