Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,739
- 5,980
Nakuhurumia sana... Mfuasi wa Lipumba atakua anaitwa Pumba..YEYE SI MPIGA DILI ANAJUWA MBELE YA LIPUMBA DILI ZAKE ZITAFELI
Nakuhurumia sana... Mfuasi wa Lipumba atakua anaitwa Pumba..YEYE SI MPIGA DILI ANAJUWA MBELE YA LIPUMBA DILI ZAKE ZITAFELI
USINIHURUMIE FUNGUA AKILI YAKONakuhurumia sana... Mfuasi wa Lipumba atakua anaitwa Pumba..
Toka asubuhi umepoteza mana hamna ulichoingizaNAPOTEZA MUDA WANGU
Ulishawahi kuwasikia ccm wakiingilia mgogoro wa cuf?hao sio wajumbe wa cuf ni mamluki wa ccm.
swissme
Wewe hutumii hata akili zaidi ya upuuzi. Kwani asingejirudisha profesa uchwara mgogoro huu ungeibuka? Wee vipi?NAWASHUKURU SANA WATU WA KUSINI KWA KUTAMBUA KIINI CHA MGOGORO WA CUF.CDM NDIO KIRUSI WANATAKA CUF IWE CHINI YA KIBARAKA WAO MTATIRO ILI WAWEZE KUIUA KIRAHISI.MBELE YA LIPUMBA HAWAWEZI .WANACUF WENYE MAPENZI MEMA WALIONE HILI.
Unaweza kutuwekea hapa jamvini nyaraka zozote zinazoutambua ukawa kisheriaHajaingilia cuf, kaongea kuhusu ukawa
Hayakuhusu!Hao mamluki wa Profesa Lipumba.
Hata Maalim ni mamluki wa chadema,ngoma drooMimi ni mwanachama wa cuf binafsi lipumba ni mamluki wa ccm simtaki.
Ulishawahi kusikia ccm ikitoa tamko lolote la mgogoro wa cuf? zaidi ya chadema wanaohangaikaChedema isiingilie lakini Ccm ruksa kuingilia mgogoro wao ! akili za wala panya buana...
hao ndio wadhamini wa Lipumba.Ulishawahi kuwasikia ccm wakiingilia mgogoro wa cuf?
Ulishawahi kusikia ccm ikitoa tamko lolote la mgogoro wa cuf? zaidi ya chadema wanaohangaika
Swali zuri sana hili
Wajumbe wa Kamati Kuu CUF Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara, wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutoingilia mgogoro wa chama hicho kwani wakati CHADEMA ikiwa na migogoro CUF huwa hawaingilii.
Video hii hapa.
My take: Mbowe acha Lipumba ajenge CUF yake wewe kweny CDM huingiliwi.
LB7 WorkNAWASHUKURU SANA WATU WA KUSINI KWA KUTAMBUA KIINI CHA MGOGORO WA CUF.CDM NDIO KIRUSI WANATAKA CUF IWE CHINI YA KIBARAKA WAO MTATIRO ILI WAWEZE KUIUA KIRAHISI.MBELE YA LIPUMBA HAWAWEZI .WANACUF WENYE MAPENZI MEMA WALIONE HILI.
TULIA ACHA KIHEREHERE CUF HAMUIPATI NYIE MAFISADI
USINIHURUMIE FUNGUA AKILI YAKO