realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,985
Kwan ni nani?? Si ni lizabonhao sio wajumbe wa cuf ni mamluki wa ccm.
swissme
Kwan ni nani?? Si ni lizabonhao sio wajumbe wa cuf ni mamluki wa ccm.
swissme
Hivi unaweza kutuambia MBOWE anamkataa Lipumba ndani ya CUF kama nani?Yawezekana wana vichwa vigumu ambavyo kumuelewa Mbowe ni vigumu bora wangejikita kuwekeza kwenye zao la korosho kuliko kutetea Yuda eskarioti
Huwa hampendi kabisa kuambiwa ukweli.Chaumbea kaja
Hahaaaa.Siku wakija kujua kuwa hawamuungi mkono prof Lipumba bali CCM watajuta sana.Wakija kutambua kuwa Lipumba ameletwa sasa kwa sababu CUF yao imeishitaki serikali ya CCM UN ndio wataomba kufungiwa jiwe shingoni na kutupwa baharini.
Maneno ya mfa maji.hao sio wajumbe wa cuf ni mamluki wa ccm.
swissme
Ungejiuliza kwanza kwanini Lipumba aliwakataa CUF na kwenda kupiga katerero Rwanda kipindi cha uchaguzi halafu anarudi wenzie wamemaliza kaziHivi unaweza kutuambia MBOWE anamkataa Lipumba ndani ya CUF kama nani?
TULIA ACHA KIHEREHERE CUF HAMUIPATI NYIE MAFISADIHiyo mimaandishi mikubwa huwa inachafua uzi au umehitimu MEMKWA..wako sahihi kwa upande wako mana nae si mfuasi wa bwana yule..
WAPIGA KURA WANGAPI WALIKATAZA NA KIKAO KILIFANYIKA WAPI TUMIA AKILI KIDOGOHao ni mamluki na vibaraka wa Lipumba. Wanachama wa CUF katika mikoa ya Lindi na Mtwara hakuna anayemuunga mkono Lipumba. Wabunge wa CUF katika mikoa hiyo walionywa na wanachama wao kwamba atakayethubutu kumuunga mkono Lipumba asitarajie kurudi bungeni ifikapo 2020. Wabunge wote, Mh. Katani Ahmad Katani wa Tandahimba, Mh. Hamidu Bobali wa Mchinga, Mh. Bwege wa Kilwa Kusini, Mh. Vedasto Ngombale wa Kilwa Kaskazini, wote kwa pamoja wamezingatia maonyo ya wapiga kura wao isipokuwa Mh. Maftaha Nachuma wa Mtwara Mjini, huyu amejikatia tamaa ya kurejea bungeni 2020 kutokana na kutoungwa mkono na wanachama walio wengi wa jimboni kwake, kaamua kujilipua kwa kumuunga mkono Lipumba.
Na wewe NDIO mamluki Wa kirusi chs mpinga maendeleo ccmWEWE NDIO MAMLUKI WA CHADEMA
Tulia ni naibu spikaTULIA ACHA KIHEREHERE CUF HAMUIPATI NYIE MAFISADI
Kwanini anasema hamtambui Prof.Lipumba?...huko ndio kuingilia na ni kiherehere.Hajaingilia cuf, kaongea kuhusu ukawa
NAPOTEZA MUDA WANGUTulia ni naibu spika
Mbowe kalipwa na Maalim kaamua kutumika......mamluki huyu.Swali zuri sana hili
YEYE SI MPIGA DILI ANAJUWA MBELE YA LIPUMBA DILI ZAKE ZITAFELIMbowe kihelehele sana, kwani yeye wakati Anauza chama chake aliingiliwa na nani?
LizaboniChaumbea kaja