CUF Mtwara na Lindi: Mbowe asiingilie mambo yetu

CUF Mtwara na Lindi: Mbowe asiingilie mambo yetu

NAWASHUKURU SANA WATU WA KUSINI KWA KUTAMBUA KIINI CHA MGOGORO WA CUF.CDM NDIO KIRUSI WANATAKA CUF IWE CHINI YA KIBARAKA WAO MTATIRO ILI WAWEZE KUIUA KIRAHISI.MBELE YA LIPUMBA HAWAWEZI .WANACUF WENYE MAPENZI MEMA WALIONE HILI.
Kumbuka chini ya lipumba 2010 walikuwa na wabunge 2 na yeye mwenyewe akipata kura 600,000 kati ya wapiga kura zaidi ya 20ml
Linganisha uone tofauti yake na baada ya hapo utajua kuwa ubongo wako una Akili au ni wa kukufanya uweze kuvukia barabara??
 
HAHAHAH mbowe na maalim seif wamepewa za uso hahaha



Kauli ya Interahamwe yamchefua Askofu Mtetemela Profesa Lipumba juzi jioni alililinganisha bunge hilona kundi la
interahamwe lililochochea ubaguzi wa




MTU WENU HUYO




hana tofauti na kundi la waasi la m23 mana alishajiuzulu amekosa bunduki tu
 
Wajumbe wa Kamati Kuu CUF Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara, wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutoingilia mgogoro wa chama hicho kwani wakati CHADEMA ikiwa na migogoro CUF huwa hawaingilii.

Video hii hapa.

My take: Mbowe acha Lipumba ajenge CUF yake wewe kweny CDM huingiliwi.







eti mya take:::::



ina maana na wewe ni mjumbe? ni lini mbowe aliwaingilia cuf? wao walitangaza kuto mtambua lipumba mana alikwisha jiuzulu au kuna maana nyingine ya kujiuzulu?
 
Huyo nae katumwa kuharibu na hata wafanyenini lakin cuf itabaki katika ukawa
 
Wajumbe wa Kamati Kuu CUF Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara, wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutoingilia mgogoro wa chama hicho kwani wakati CHADEMA ikiwa na migogoro CUF huwa hawaingilii.

Video hii hapa.

My take: Mbowe acha Lipumba ajenge CUF yake wewe kweny CDM huingiliwi.


Hakili za kuambiwa changanya na zakwako,wanafiki katika ubora wao,mamluki wa Lipumba
 
mbowe ni miongoni mwa waroho wa madaraka saza anataka kuingilia ya cuf
 
Pengine mimi sijaelewa vizuri kuhusiana na hili sakata la CUF. Mbowe anapozungumzia ishu ya Lipumba inahusianishwaje na sababu zakujiuzuru na hatimae kutaka tena uwenyekiti? Kwamba kujiuzuru kwa Lipumba kulisababishwa na Mbowe (Chadema ) au kutaka kwakake( Lipumba) kurudi kwenye uwenyekiti sababu ni Mbowe(Chadema) au ni nani?
Nionavyo mimi watu wangeangalia sababu za wazi au zilizojificha zilizopelekea kujiuzuru/ kurejea tena katika kiti chake. zikishafahamika, wana CUF sasa washu'gulike nazo hizo kwanza. Vinginevyo haya mengine yanayozungumzwa ni maoni tu.
 
Back
Top Bottom