CUF kutumia Helikopta (chopa) ktk kampeni Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF kutumia Helikopta (chopa) ktk kampeni Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzee wa mawe, Aug 30, 2011.

 1. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHAMA cha wanainchi (CUF), Kimesema wameenda Igunga kuchukua jimbo na kwamba wako tayari na wao kutumia Helkopta (chopa), kama vyama vingine vitafanya hivyo.

  Kimesema kitatumia njia yoyote ile ili mradi hawavunji sheria za uchaguzi hadi wachukue jimbo hilo lililoachwa na aliyekuwa mbunge wake, Rostam Aziz wa CCM ambaye alijiuzulu.

  Mratibu wa Uchaguzi jimbo la Igunga wa CUF, kirungi Ameir kirungi aliiambia Jambo Leo Dar es salaam jana kwa njia ya simu kuwa vyama vya ccm na chadema ni vilaini na havina ushawishi kwa wapiga kura wa jimbo hilo.

  Kirungi alisema wagombea wa vyama vingine havina ushawishi kwa sababu wagombea wake si wakazi wa Igunga hivyo hatayajui matatizo ya jimbo hilo.
   
 2. p

  propagandist Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  makomandoo wa cuf nao wameamua kwenda angani kweli huko igunga hatumwi mtoto Dukani, tusubiri tuone!
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  So what? Hata wakiamua kutumia ungo ushindi kwa CCM upo palepale.
   
 4. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  CUF hawahitaji kuumiza vichwa vyao,wao watafanya kile wenzao wanachofanya.(copy and paste).
  Hiyo ndio wanaiita "OPERESHENI LOLOTE NA LIWE".
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,402
  Likes Received: 22,287
  Trophy Points: 280
  helikopta wamepewa na mume wao ambaye ni ccm ili kuipunguza nguvu chadema
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Siasa za Kibongo bwana. Wakat ccm wametenga 800m cuf nao wanakuja na chopa. Mwananch wa Igunga anafaidka vip na haya?
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,402
  Likes Received: 22,287
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Tshirt na khanga. Only Chadema hawana muda wa kugawa ma tsheti ila sera za maendeleo
   
 8. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cuf kweli mmeamua kama wakikimbia ardhini wakienda angani wafuateni huko huko angani mpaka kieleweke.
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Siasa bana Igunga leo kumekuwa lulu
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  CHADEMA wapo bize kulipa fadhila ya posho ya milioni 7 na kununua mikweche ya Fuso ya mwenyekiti
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  kama hawajadhamiria kuvunja sheria za uchaguzi igunga, basi si washiriki wenye dhamira ya kuchukua jimbo. hakuna chama ambacho hakitavunja sheria Igunga.
   
 12. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Sipati picha. Siku CDM wakisema wanatumia Airbus kwenye kampeni kila chama kitatangaza kutumia Airbus. Akili za kudesa bana, taabu tu. Huumizi kichwa, halafu ukivuna mabua unalalamika.
   
 13. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Du!kaaz kwel kwel!
  Ngoja tuone mtanange.kazi kwenu wanaigunga.nawashauri msidanganyike.mbwembwe za uchaguzi ndo zimetufikisha hapa tulipo.
   
 14. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kazi ipo
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Si watumie ile ya CCM tu. Muafaka!
   
 16. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhhhhh
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  peoplez.... Power.
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,942
  Trophy Points: 280
  wamepewa na ccm
   
 19. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Igunga kataeni kutumika kama kondom. Unakuwa na thaman kwa muda mfup sana. Msitishwe na chopa.
   
 20. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hapo cuf wanaiga tembo ,na watakuwa wamepewa chopa na ccm ili upinzani wagawane kura na ccm ishinde kiuraisi .Hawa cuf watatumika mpaka line?
   
Loading...