Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,535
huu ubabe wa kijani huu utatufikisha pabaya, ina maana wana siasa kubwabwaja kwenye vyombo vya habari kuwa wameandika barua ya kujitoa ni walikuwa wanadanganya wananchi, sasa leo tutasikia vyama vya upinzani navyo vikimcrush jecha kwa vifungu, na nani anayempa jecha jeuri manake nimemuona akitangaza kwa jeuri na sura yake ile, mie naona haina haja ya kura wajitangaze tu maisha yaende,