we vipi we acha uchochezi, kwani CHADEMA kuitwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaakisi ukweli halisi wa hayo, mbona ndani ya CHADEMA hAKUNA HIYO DEMOKRASIA WALA MAENDELEO bali ni utumbo mtupu, akijitokeza mwanachama wa CHADEMA au mbunge akapinga kitu fulani kwa mtazamo wake na kutoa hoja zake anaonekana adui.h
Inamaana zanzibar haijajumuishwa kwa sababu zanzibar sio nchi, na hakuna wananchi bali ni wakaazi wa zanzibar.Nimefuatilia vyama vyote nchini CCM, CDM, SAU, TLP, NCCR, UMD, DP, UPDP, DEMOKRASIA MAKINI, NLD, TADEA, APPT MAENDELEO, n.k nimeviangalia majina yao lakini hayakunipendeza lakini hiki CHAMA CHA WANAINCHI -CUF nimechunguza nikataka kujua hivi chama hichi kuitwa CHAMA CHA WANAINCHI hivi kila mwanainchi ni chama chake?.
Si bora huko CHADEMA wapo wanaojitokeza kupinga viongozi. CUF huwa wanachama hawajitokezi kabisa kutokana na ukweli kuwa hicho chama ni cha Maalim Seif na Lipumba ni mwenyekiti wa maisha kama Kamuzu Banda!
sheikh abdala safari aliyetaka kugombea uenyekiti yaliyompata unayajua?teh teh waliojitokeza walikandamizwa na mkono wa chuma huko CHADEMA. Na nani anakwambia kwamba, CUF hawajitokezi wanachama kugombea? au unaropoka tu. na hata kama hawajitokezi, tatizo ni la chama au wanachama?
haki sawa kwa wote-kwa sharia za kiislam inawezekana ila kwa demokrasia na kiutu hakuna kitu kama hicho,kila mtu anastahili haki yake.
asiyefanya kazi na asile,anayejibidiisha anastahili mapato yanayolingana na bdii yake.
kwa hiyo mashabiki na wanachama wa cuf mnafahamika na ndio maana hata misaada ya chama chenu tunajua makundi yanayowafadhili na malengo yao.
ila kwa sababu mmeshapata mume(ccm)kwisha habari yenu na hao wafadhili wenu kule kwao njaa imeshawaadabisha na yule kinara wao wa ufadhili ameshazingiewa na waasi kazi yenu kwishney.
labda mrudi pemba kwani karafuu imepanda kwenye soko la dunia.ila kwa jinsi mnavyopenda vya bure hata hiyo karafuu yenu hamtakubali kuendeshea chama kwani mmezoea vya bure sana.
sitegemei matusi bali nategemea mtajifunza kitu hapo aidha kwenda kwa baba wa kambo(ccm)au kurudi kwa bibi(pemba) au kwa kaka9CHADEMA) AKA CHAMA LA UKWELI.
we **** aliyesema tufunge milango tupigane ni livingstone lusinde wa ccm mbunge wa mtera ccm.Wabunge na heshima zao waliachaguliwa na wananchi na kisha kwenda Bungeni wakisema "TUFUNGE MILANGO TUPIGANE" walikuwa kutoka chama gani, na hii ni demokrasia au uhuni? mbona hayo ya maana hamyasemi mmeng'ang'ania anuani za majina na utumbo mwingine usio na kichwa wala miguu?
naona umekimbilia kwenye jokes umeona hapa maji marefu.Hata CHADEMA ni chama cha maaskofu na viongozi wake ni maaskofu na wanataka kuanzisha serikali ya amri kumi za Mungu Tanzania huku hizo amri kumi wao wenyewe hawazitekelezi kwani viongozi wao wangali wana mahawara mpaka leo.
ushuzi unaongea wewe. Kwanza ni Profesa Abdallah Safari na sio Sheikh Safari, ni utumbo kumpa jina la sheikh mtu kama Profesa Safari. Na isitoshe ushuzi wako zaidi ni kwamba, hufahamu unayoyasema, hakuna mwanachama wa CUF anayezuia kuchukua fomu na kugombea wadhifa wowote ule kuanzia wa Uwenyekiti mpaka wa ngazi za chini. Ni propaganda na ushuzi kama ulivyouita wewe kudai kwamba, kuna mwanachama anayenyimwa haki CUF si kweli hata kidogo, kusema hivyo ndio USHUZI sasa huo, hiloooo kawaida wenye midomo michafu wakikosa hoja hukimbilia matusi kama USHUZI DOGO. Ushuzi mwenyewe DOGO, kula la deki. ndio nyinyi mkikosa hoja bungeni mnasema "TUFUNGE MILANGO TUPIGANE".sheikh abdala safari aliyetaka kugombea uenyekiti yaliyompata unayajua?
na sasa unajua huyu mtetezi wa waislam tanzania yuko wapi?acha kuongea ushuzi dogo.
we **** aliyesema tufunge milango tupigane ni livingstone lusinde wa ccm mbunge wa mtera ccm.
acha kuropoka wewe fuatilia hansard za bunge.
halafu mbona vilaza na wafikiri kwa masaburi wote humu wana majina ya bandia?
akili huna na unastahili lolote hata matusi nimekupendelea.hujui ni kwa nini abdala safari aliondoka cuf,hujui nani aliysema tufunge mlango tupigane,hujui cuf ilianzishwa kwa malengo gani.kawaida yenu mkishindwa hoja huwa hamkawii kukimbilia matusi