Moi Dinya
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 1,296
- 825
Salaam wana bodi,
Naanza kwa kumuuliza, kwenye Jimbo la Kinondoni ingetokea CHADEMA, CCM na CUF wote wangesimamisha mgombea. Je CUF ingeshinda Jimbo hilo? Na taswira hiyo ipeleke nchi nzima kilicho dhahiri hapa ni chadema kujijenga kwa kuitumia CUF, CHADEMA Arusha inaweza kushinda ubunge hata isipoungwa mkono na vyama vingine lakini CUF haina nguvu hii. Hiko ndicho profesa Ibrahim Haruna wa Lipumba anataka kurudisha nguvu halisi ya CUF na si hii CUF ya utegemezi.
Ipo siku wana-CUF watamkumbuka Lipumba.
Naomba kuwasilisha