Simple! Do your homework! Factors zipi zilizofanya wakawa na hii idadi ya Wabunge? Factors zipi zitawafanya wafike ama Wasifikie hiyo idadi ya Wabunge!Msomi Naomba unijibu.. Je muungano ukivunjika 2019 na kila chama kikakomaa kivyake kwenye uchaguzi mkuu Jery cuf hii itapata hata Robo ya wabunge hawa?
Naamini itakusaidia!