CUF ipo siku mtamkumbuka Profesa Lipumba

Mimi ninachomchukia Slaa na Lipumba ni kutokana na kuendesha Siasa za uchochezi na kumwaga Damu.
Tangu hao watu wameondoka kwenye siasa hatukuwahi kusikia watu wamemwaga damu. Sipati picha kama Lipumba angekuwepo wakati Uchaguzi wa Zanzibar unahujumiwa na Jecha.
Bila shaka hali ingekua mbaya sana. Slaa naye tangu ameondoka hatujaona zile siasa za kurushia mawe polisi na vijana wetu kumiminiwa risasi kwa ajili ya kuandamana.
Kwa kweli nawashangaa watu wanaowatamani hao watu warudi kwenye siasa bila kuwaonea huruma watoto na mama Tanzania.
 
Kwa nini wafuasi wa Lipumba hampendi Lowasa ambaye alizunguka nchi nzima na kuongeza idadi ya wabunge chini ukawa alafu mnamwona hafai. Kwani nyie mnahitaji upinzani wa aina gani
 
Ungetumia mda mwingi kujifunza kupanga hoja ieleweke unataka nini hata ulichoandika ukikisoma mwenyewe hukielewi
Mkuu wala usishangae. Ni ngumu sana kutetea upumbavu. Hivyo usitegemee point yoyote toka kwa mtu anaetetea ujuha!
 
Mwaka 2000 cuf ilikuwa cuf si hii ya sasa

Mwaka 2000 mliachiana majimbo?

Mwaka 2000 cuf ilijijenga Kwa kupitia chadema?

Mwaka 2000 chadema ilikuwa na wabunge wengi kushinda cuf?

Rudi jipange kisha urudi kuchangia tena
Huo mwaka 2000 unaouzungumzia kwa Cuf kuwa Cuf mchango WA Lipumba ulikuwa ni nini? Aliingiza Bungeni Wabunge wangapi? Nafasi ya Urais alikia hatua gani? Kwa nini? Kwa nini Miaka 15 baadae chini ya Uenyekiti wake CUF imekuwa hoi? Je lilikuwa ni kosa kuungana kwa Wapinzani? Kwa nini 2015 alikimbia akidhani yupo sahihi? Ameona nini Sasa kinachomfanya arudi kwa njia za kipumbavu utadhani hakuwahi kwenda shule? Mwaka 2010 aliusaliti upinzani kwa kuhamasisha Waislamu wampigie Kikwete badala hata ya kumpigia yeye, je mtu kama huyo aendelee kuaminiwa kama Mpinzani au Tapeli?

Sijui umri wako, sijui Elimu yako, ila Uwezo wako ni mithili ya kipande cha mchanga! Akili zako ndogo sana, otherwise, go n do your homework properly badala ya kukurupuka na kuja kuonesha upu.mbavu wako!
 
Salaam wana bodi,

Naanza kwa kumuuliza, kwenye Jimbo la Kinondoni ingetokea CHADEMA, CCM na CUF wote wangesimamisha mgombea. Je CUF ingeshinda Jimbo hilo? Na taswira hiyo ipeleke nchi nzima kilicho dhahiri hapa ni chadema kujijenga kwa kuitumia CUF, CHADEMA Arusha inaweza kushinda ubunge hata isipoungwa mkono na vyama vingine lakini CUF haina nguvu hii. Hiko ndicho profesa Ibrahim Haruna wa Lipumba anataka kurudisha nguvu halisi ya CUF na si hii CUF ya utegemezi.

Ipo siku wana-CUF watamkumbuka Lipumba.

Naomba kuwasilisha
Nani amkumbuke profesa mwizi wa luzuku?
 
Huo mwaka 2000 unaouzungumzia kwa Cuf kuwa Cuf mchango WA Lipumba ulikuwa ni nini? Aliingiza Bungeni Wabunge wangapi? Nafasi ya Urais alikia hatua gani? Kwa nini? Kwa nini Miaka 15 baadae chini ya Uenyekiti wake CUF imekuwa hoi? Je lilikuwa ni kosa kuungana kwa Wapinzani? Kwa nini 2015 alikimbia akidhani yupo sahihi? Ameona nini Sasa kinachomfanya arudi kwa njia za kipumbavu utadhani hakuwahi kwenda shule? Mwaka 2010 aliusaliti upinzani kwa kuhamasisha Waislamu wampigie Kikwete badala hata ya kumpigia yeye, je mtu kama huyo aendelee kuaminiwa kama Mpinzani au Tapeli?

Sijui umri wako, sijui Elimu yako, ila Uwezo wako ni mithili ya kipande cha mchanga! Akili zako ndogo sana, otherwise, go n do your homework properly badala ya kukurupuka na kuja kuonesha upu.mbavu wako!
Lipumba ndiyo profesa mjinga kuliko wote Tanzania upeo wake ni ziro ana IQ ndogo hakuna mfano
 
Mimi ninachomchukia Slaa na Lipumba ni kutokana na kuendesha Siasa za uchochezi na kumwaga Damu.
Tangu hao watu wameondoka kwenye siasa hatukuwahi kusikia watu wamemwaga damu. Sipati picha kama Lipumba angekuwepo wakati Uchaguzi wa Zanzibar unahujumiwa na Jecha.
Bila shaka hali ingekua mbaya sana. Slaa naye tangu ameondoka hatujaona zile siasa za kurushia mawe polisi na vijana wetu kumiminiwa risasi kwa ajili ya kuandamana.
Kwa kweli nawashangaa watu wanaowatamani hao watu warudi kwenye siasa bila kuwaonea huruma watoto na mama Tanzania.
Kwanza ujue walichukua pesa nyingi wakatoroka kipindi cha kampeni hakuna mwenye imani nao hasa hilo profesa ziro lipumba
 
Upuuzi wa Moi wakati akiwa mtukufu wa jamhuri ya Kenya ulileta maajabu kama haya bwana muanzisha mada
 
"atakayemchagua lowasa akapimwe akili"

"ccm Leo imempa fomu mwizi ambaye alistahili akae jela"

"Ni heshima kubwa Kwa Mungu kumzomea mwizi, fisadi"

Hao baadae wakasema tumchague lowasa je hao sio Matapeli?

hii ni mada mpya kabisa fungulia thread yake.
 
Kwanza ujue walichukua pesa nyingi wakatoroka kipindi cha kampeni hakuna mwenye imani nao hasa hilo profesa ziro lipumba
Kuna pesa zilichukuliwa wakati wa kampeni?
 
Huo mwaka 2000 unaouzungumzia kwa Cuf kuwa Cuf mchango WA Lipumba ulikuwa ni nini? Aliingiza Bungeni Wabunge wangapi? Nafasi ya Urais alikia hatua gani? Kwa nini? Kwa nini Miaka 15 baadae chini ya Uenyekiti wake CUF imekuwa hoi? Je lilikuwa ni kosa kuungana kwa Wapinzani? Kwa nini 2015 alikimbia akidhani yupo sahihi? Ameona nini Sasa kinachomfanya arudi kwa njia za kipumbavu utadhani hakuwahi kwenda shule? Mwaka 2010 aliusaliti upinzani kwa kuhamasisha Waislamu wampigie Kikwete badala hata ya kumpigia yeye, je mtu kama huyo aendelee kuaminiwa kama Mpinzani au Tapeli?

Sijui umri wako, sijui Elimu yako, ila Uwezo wako ni mithili ya kipande cha mchanga! Akili zako ndogo sana, otherwise, go n do your homework properly badala ya kukurupuka na kuja kuonesha upu.mbavu wako!
Msomi Naomba unijibu.. Je muungano ukivunjika 2019 na kila chama kikakomaa kivyake kwenye uchaguzi mkuu Jery cuf hii itapata hata Robo ya wabunge hawa?
 
Sasa ueleze maana umejijibu Cuf pamoja na huyo lipumba wako ulitarajia bara ungepata viti vingapi?
 
Back
Top Bottom