CUF ipo siku mtamkumbuka Profesa Lipumba

CUF ipo siku mtamkumbuka Profesa Lipumba

Kwa kuanzisha mungiki chini ya ufadhili wa ... na kulala ofisin
 
Mwaka 2000 cuf ilikuwa cuf si hii ya sasa

Mwaka 2000 mliachiana majimbo?

Mwaka 2000 cuf ilijijenga Kwa kupitia chadema?

Mwaka 2000 chadema ilikuwa na wabunge wengi kushinda cuf?

Rudi jipange kisha urudi kuchangia tena
Lipumba miaka yote alikuwa ameficha wapi hiyo nguvu unayojinadi kuwa anataka kuirudisha?
Kwanini hakuwahi kuitumia?. Kama alikuwa nayo halafu hakutaka kuitumia, huoni kama ni unafiki wa kiwango cha lami?
Nyakati hunena na pia nyakati ni mwalimu mweledi
 
Salaam wana bodi,

Naanza kwa kumuuliza, kwenye Jimbo la Kinondoni ingetokea CHADEMA, CCM na CUF wote wangesimamisha mgombea. Je CUF ingeshinda Jimbo hilo? Na taswira hiyo ipeleke nchi nzima kilicho dhahiri hapa ni chadema kujijenga kwa kuitumia CUF, CHADEMA Arusha inaweza kushinda ubunge hata isipoungwa mkono na vyama vingine lakini CUF haina nguvu hii. Hiko ndicho profesa Ibrahim Haruna wa Lipumba anataka kurudisha nguvu halisi ya CUF na si hii CUF ya utegemezi.

Ipo siku wana-CUF watamkumbuka Lipumba.

Naomba kuwasilisha
Acha kujidhalilisha wewe.....
 
Watamkumbuka kwa kukiweka chama rehani au kwa lipi jipya
 
Yes lazima wamkumbuke kuwa ni tapeli wa kisiasa aliyesaliti chama.
"atakayemchagua lowasa akapimwe akili"

"ccm Leo imempa fomu mwizi ambaye alistahili akae jela"

"Ni heshima kubwa Kwa Mungu kumzomea mwizi, fisadi"

Hao baadae wakasema tumchague lowasa je hao sio Matapeli?
 
Kwaio lipumba alitaka CUF ijijenge kwa kuitelekeza kipindi cha uchaguzi sio?
 
Lipumba Nimwenyekiti Cuf Kabla Hata Mimi Sijazaliwa, Hv Aliwah Kupata Wabunge Wengi Kiac Gani Bara?
Chukua Mfano wa Jimbo la segerea kila chama kilimsimamisha mgombea ccm, cuf na chadema... Mshindi alitoka wapi?

Cuf ya sasa ni tegemezi ili kupata wabunge.. Lipumba alipata wabunge kwenye ushindani Wa vyama vingine lakini cuf hii haiwezi mfano ni Jimbo la segerea
 
Aisee sawa bana.kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni.
 
Back
Top Bottom