Vijisenti
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 544
- 330
Siasa za kwenye Vigango ndizo zinaenda kuimaliza CHADEMAwatu wengine bana ww kusoma hujui, hata picha huoni? hivi nani asiyejua ccm B, imepoteza muolekuo, huku bara inawabunge wangapi? si bora hata chadema imesambaa karibu kona zote. ukienda kaskazini ipo mwanza kuna wabunge wao, nenda nyanda za juuu mbeya na iringa, kaskazini ndo usisemee. eeh tuambie cuf wanajivunia wapi?
2015. Udini,udini,udini