Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
kama chama cha cuf kina nguvu katika kata 3..
chadema ina nguvu kata 3.
ccm Ina nguvu kata 4.
ni dhahiri hapa ndipo ulipo ushindi wa mtuliaa kupitia kata 4.
ikumbukwe ya kwamba uchaguzi wa 2015 chadema ikiwa na nguvu katika kata 3 na cuf kata 3 waliungnisha nguvu pamoja na kuishinda ccm kupitia ukawa na cuf akashinda.
Leo hii 2018 chadema ana mgombea wake,cuf ana mgombea wake ukweli ni kwamba chadema atapata kura zilezile za kata 3, cuf zilezile kata 3 na ccm zilezile kata 4.
ukweli ni kwamba cuf na chadema watagawana kura za ushindi huku mtulia akishinda kiulainiiii .
njia pekee ya upinzani kushinda jimbo LA kinondoni wakubaliane kati ya Salumu mwalimu wa chadema ajitoee au Salumu rajabu wa cuf ajitoee kisha cuf na chadema waungane kupambana mtulia.
bila hivyo tutakuwa tunadanganyana