Ushindi wa CCM upo hapa, nyie kalieni mikutano yenu

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
WAJIBU WA MASHINA YA CCM

Kila shina lililo timiza masharti limeunda kamati ya uongozi wa shina yenye wajumbe watano akiwemo Balozi ambaye ndiye mwenyekiti wa shina. Katiba ya CCM 1977, Toleo la (2022) Ibada ya 23 inabainisha kuwa shina litakuwa na wajibu ufuatao:-

(1) Kulinda na kuendeleza siasa ya CCM katika shina.

(2) Kuona kwamba unakuwepo ulinzi na usalama wa umma katika eneo lake.

(3) Kueneza Itikadi na siasa ya CCM katika shina.

(4) Kutekeleza ipasavyo maamuzi na maagizo ya ngazi za juu ya CCM na serikali pamoja na shughuli nyinginezo za umma.

Kwa kuzingatia ushindi wa kisiasa shina linatekeleza majukumu mengine yakiwemo;

(a) Kuwaunganisha na kuwajengea wanachama uwezo wa kuleta ushindi katika uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa. Shina lenye wanachama wasiopungua 150 kwenye kitongoji ama mtaa ni mtaji wa kukipatia chama ushindi.

(b) Shina ni ngazi inayounda kamati ya kampeni kwa ajili ya uchaguzi kwenye mtaa au kitongoji. Timu hiyo huwa inaongozwa na mwenyekiti wa shina (Balozi).

Cde. Ambi Daudi.
 
Ccm hawategemei mashina,milingoti,mizizi,majani,matawi wala mchanga...hao mbwa wanategemea mahakama,tume ya uchafuzi (tume ya uchaguzi),Polisi na TRA (Tanzania Revenge Authority)
Kwani wakati Shetani mkuu kutoka Chattle anaharibu chaguzi za 2015,2019 na 2020 hapakuwepo na hizo takataka mnazoziita mashina?
 
WAJIBU WA MASHINA YA CCM

Kila shina lililo timiza masharti limeunda kamati ya uongozi wa shina yenye wajumbe watano akiwemo Balozi ambaye ndiye mwenyekiti wa shina.
Katiba ya CCM 1977, Toleo la (2022) Ibada ya 23 inabainisha kuwa shina litakuwa na wajibu ufuatao:-

(1).Kulinda na kuendeleza siasa ya CCM katika shina.

(2).
Kuona kwamba unakuwepo ulinzi na usalama wa umma katika eneo lake.

(3).Kueneza Itikadi na siasa ya CCM katika shina.

(4).kutekeleza ipasavyo maamuzi na maagizo ya ngazi za juu ya CCM na serikali pamoja na shughuli nyinginezo za umma.

Kwa kuzingatia ushindi wa kisiasa shina linatekeleza majukumu mengine yakiwemo:-

(a).Kuwaunganisha na kuwajengea wanachama uwezo wa kuleta ushindi katika uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa. Shina lenye wanachama wasiopungua 150 kwenye kitongoji ama mtaa ni mtaji wa kukipatia chama ushindi.

(b).Shina ni ngazi inayounda kamati ya kampeni kwa ajili ya uchaguzi kwenye mtaa au kitongoji. Timu hiyo huwa inaongozwa na mwenyekiti wa shina (Balozi).

Cde. Ambi Daudi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hicho kizazi cha kuelewa huo upuuzi wa CCM kimeshapita. Unapoona mnategemea wizi wa kura tu kukaa madarakani, ujue hicho sio kizazi chenu. Endeleeni kuomba huu uoga uendelee kushika kasi, lakini uoga ukitoka mtatolewa madarakani kwa machafuko.
 
Tupo huku kwenye mashina Ila licha ya ufafanuzi huo mzuri lakini inawalazimu CCM kuiba Kura,watendaji vijiji,kata,walimu na watalaamu wa ngazi hadi wilayani na mapolisi huelekezwa kufanya kila namna kuiba Kura na hupewa kifuta jacho baada ya kazi. Sasa Kama haya mashina yanafanya kazi WIZI huwa wa nn,acheni dhambi mtalaniwa na shetani
 
Ccm hawategemei mashina,milingoti,mizizi,majani,matawi wala mchanga...hao mbwa wanategemea mahakama,tume ya uchafuzi (tume ya uchaguzi),Polisi na TRA (Tanzania Revenge Authority)
Kwani wakati Shetani mkuu kutoka Chattle anaharibu chaguzi za 2015,2019 na 2020 hapakuwepo na hizo takataka mnazoziita mashina?
Hawa mashina wamechoka tunaishi nao kola wakiitwa na kutoka kwenye vikao vya chama wanatueleza yaliyosemwa kuwa wanasumbuliwa na maelekezo magumu bila hata kupewa senti,asilimia yao kubwa ni masikini ajabu wanatia huruma.
 
WAJIBU WA MASHINA YA CCM

Kila shina lililo timiza masharti limeunda kamati ya uongozi wa shina yenye wajumbe watano akiwemo Balozi ambaye ndiye mwenyekiti wa shina.
Katiba ya CCM 1977, Toleo la (2022) Ibada ya 23 inabainisha kuwa shina litakuwa na wajibu ufuatao:-

(1).Kulinda na kuendeleza siasa ya CCM katika shina.

(2).
Kuona kwamba unakuwepo ulinzi na usalama wa umma katika eneo lake.

(3).Kueneza Itikadi na siasa ya CCM katika shina.

(4).kutekeleza ipasavyo maamuzi na maagizo ya ngazi za juu ya CCM na serikali pamoja na shughuli nyinginezo za umma.

Kwa kuzingatia ushindi wa kisiasa shina linatekeleza majukumu mengine yakiwemo:-

(a).Kuwaunganisha na kuwajengea wanachama uwezo wa kuleta ushindi katika uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa. Shina lenye wanachama wasiopungua 150 kwenye kitongoji ama mtaa ni mtaji wa kukipatia chama ushindi.

(b).Shina ni ngazi inayounda kamati ya kampeni kwa ajili ya uchaguzi kwenye mtaa au kitongoji. Timu hiyo huwa inaongozwa na mwenyekiti wa shina (Balozi).

Cde. Ambi Daudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ndio kila kitu madogo hawajui
 
Chadema ni walamba asali,wanatapika na kuyalamba matapishi yao...
Ni kweli tumechoshwa na fisiemu ila bado hatujapata chama mbadala...
Sipigi kura na sitapiga kura siipendi fisiem japo najua kura yangu haiwezi kuwanyima kushinda ila siwezi kuwapa kura yangu chadema,walishapoteza trust yangu...kadi yao nilishaichana..
Tunahitaj upinzani imara.
 
Najua utatukamwa humu lakini ndio ukweli huo. Leo hii hata majumbani kwao wakiwa na shida au ugomvi cha kwanza wanareport kwa balozi wa mtaa wa ccm
 
Ccm hawategemei mashina,milingoti,mizizi,majani,matawi wala mchanga...hao mbwa wanategemea mahakama,tume ya uchafuzi (tume ya uchaguzi),Polisi na TRA (Tanzania Revenge Authority)
Kwani wakati Shetani mkuu kutoka Chattle anaharibu chaguzi za 2015,2019 na 2020 hapakuwepo na hizo takataka mnazoziita mashina?
Kumbe jk nae ile 2015 alikuwa kutoka chato?

Nyie ni wapumbavu tu na mtaendelea kuwa wapumbavu
 
Hicho kizazi cha kuelewa huo upuuzi wa CCM kimeshapita. Unapoona mnategemea wizi wa kura tu kukaa madarakani, ujue hicho sio kizazi chenu. Endeleeni kuomba huu uoga uendelee kushika kasi, lakini uoga ukitoka mtatolewa madarakani kwa machafuko.
Kwanini mungu wako asikusaidie kuwatoa ccm madarakani bila kumwaga damu kama alivyofanya kwa dahalimu wako?
 
Back
Top Bottom