CUF ina kata 3, CHADEMA 3, CCM 4 hapa ndipo ulipo ushindi wa Mtulia Kinondoni

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
kama chama cha cuf kina nguvu katika kata 3..

chadema ina nguvu kata 3.

ccm Ina nguvu kata 4.

ni dhahiri hapa ndipo ulipo ushindi wa mtuliaa kupitia kata 4.

ikumbukwe ya kwamba uchaguzi wa 2015 chadema ikiwa na nguvu katika kata 3 na cuf kata 3 waliungnisha nguvu pamoja na kuishinda ccm kupitia ukawa na cuf akashinda.

Leo hii 2018 chadema ana mgombea wake,cuf ana mgombea wake ukweli ni kwamba chadema atapata kura zilezile za kata 3, cuf zilezile kata 3 na ccm zilezile kata 4.

ukweli ni kwamba cuf na chadema watagawana kura za ushindi huku mtulia akishinda kiulainiiii .

njia pekee ya upinzani kushinda jimbo LA kinondoni wakubaliane kati ya Salumu mwalimu wa chadema ajitoee au Salumu rajabu wa cuf ajitoee kisha cuf na chadema waungane kupambana mtulia.

bila hivyo tutakuwa tunadanganyana
 
Hiyo avatar yako inaonyesha kuwa wewe ni mvuta bange wa manzese. hata hizo kata 3 ccm walizonazo walichukuwa kwa nguvu kwa msaada wa policcm. watu hawachagui chama wanachagua mtu. Mtulia alikuwa mbunge akajiuzulu mwenyewe na sasa anataka tena ubunge. kwa kuwa wavuta bange kama wewe kule kinondoni wapo basi mtulia atashinda.

kama kuna watu wanajielewa basi atashinda mwingine yoyote kati ya Mwalimu na mgombea wa Cuf.

ushauri: Bange sio nzuri
 
Tangu kampeini zimeanza umeishamwona mgombea wa cuf kwenye vyombo vya habari au umeishaudhulia kampeini zake!!???

Kama jibu ni hapana... Kakojoe ulale..!!
 
kiongozi umenielewa ninachosema au umekurupupukaa

Mimi nilichomaanisha uchaguZi huu cuf na chadema watagawana kura
 
kama chama cha cuf kina nguvu katika kata 3..

chadema ina nguvu kata 3.

ccm Ina nguvu kata 4.

ni dhahiri hapa ndipo ulipo ushindi wa mtuliaa kupitia kata 4.

ikumbukwe ya kwamba uchaguzi wa 2015 chadema ikiwa na nguvu katika kata 3 na cuf kata 3 waliungnisha nguvu pamoja na kuishinda ccm kupitia ukawa na cuf akashinda.

Leo hii 2018 chadema ana mgombea wake,cuf ana mgombea wake ukweli ni kwamba chadema atapata kura zilezile za kata 3, cuf zilezile kata 3 na ccm zilezile kata 4.

ukweli ni kwamba cuf na chadema watagawana kura za ushindi huku mtulia akishinda kiulainiiii .

njia pekee ya upinzani kushinda jimbo LA kinondoni wakubaliane kati ya Salumu mwalimu wa chadema ajitoee au Salumu rajabu wa cuf ajitoee kisha cuf na chadema waungane kupambana mtulia.

bila hivyo tutakuwa tunadanganyana
Hizo kata sita walizochukua cuf na cdm walikubaliana kuweka mgombea mmoja .Hizi Nan walizochukua ccm hawakukubaliana na ukuchukua kura za cuf na cdm zinaizidi ccm katika hizo kata.Jimbo ni la upinzani lakini cdm wameamua kulipeleka ccm sbb ya ulafi
 
Huyo mpenda wanaume wenzie atapangiwa kazi nyingine,ubunge alishaukataa
 
Yaani Kinondoni wamchague mpenda wanaume wenzie yeye asubiri kupangiwa kazi nyingine mtu awasaliti alafu achaguliwe tena si ujinga huo
 
kama chama cha cuf kina nguvu katika kata 3..

chadema ina nguvu kata 3.

ccm Ina nguvu kata 4.

ni dhahiri hapa ndipo ulipo ushindi wa mtuliaa kupitia kata 4.

ikumbukwe ya kwamba uchaguzi wa 2015 chadema ikiwa na nguvu katika kata 3 na cuf kata 3 waliungnisha nguvu pamoja na kuishinda ccm kupitia ukawa na cuf akashinda.

Leo hii 2018 chadema ana mgombea wake,cuf ana mgombea wake ukweli ni kwamba chadema atapata kura zilezile za kata 3, cuf zilezile kata 3 na ccm zilezile kata 4.

ukweli ni kwamba cuf na chadema watagawana kura za ushindi huku mtulia akishinda kiulainiiii .

njia pekee ya upinzani kushinda jimbo LA kinondoni wakubaliane kati ya Salumu mwalimu wa chadema ajitoee au Salumu rajabu wa cuf ajitoee kisha cuf na chadema waungane kupambana mtulia.

bila hivyo tutakuwa tunadanganyana
Katika kata hizo 3 ni CUF ipi? Hii mechi bila mabavu ushindi kwa CHADEMA ni mapema tu.
 
Hawezi kuacha ubunge arudi tena anaomba ubunge uhuni huo ni zilipendwa.
 
Hiyo avatar yako inaonyesha kuwa wewe ni mvuta bange wa manzese. hata hizo kata 3 ccm walizonazo walichukuwa kwa nguvu kwa msaada wa policcm. watu hawachagui chama wanachagua mtu. Mtulia alikuwa mbunge akajiuzulu mwenyewe na sasa anataka tena ubunge. kwa kuwa wavuta bange kama wewe kule kinondoni wapo basi mtulia atashinda.

kama kuna watu wanajielewa basi atashinda mwingine yoyote kati ya Mwalimu na mgombea wa Cuf.

ushauri: Bange sio nzuri
Kama ccm wanatumia polisi kitu gani kitakachozuia wasiwatumie tena safari hii? Mtulia alijitoa CUF sio ubunge bali ubunge alilazimika kujiuzulu km collateral damage ya kuacha chama lazima aisustain.
 
Hiyo avatar yako inaonyesha kuwa wewe ni mvuta bange wa manzese. hata hizo kata 3 ccm walizonazo walichukuwa kwa nguvu kwa msaada wa policcm. watu hawachagui chama wanachagua mtu. Mtulia alikuwa mbunge akajiuzulu mwenyewe na sasa anataka tena ubunge. kwa kuwa wavuta bange kama wewe kule kinondoni wapo basi mtulia atashinda.

kama kuna watu wanajielewa basi atashinda mwingine yoyote kati ya Mwalimu na mgombea wa Cuf.

ushauri: Bange sio nzuri
Acha povu,shughulisha akili zako.
 
Back
Top Bottom