]inasikitisha sana kwa chama ambacho kiongozi wake ni professor[/COLOR] alafu wanafanya mambo ya kizamani kabisa.
Lipumba ameshakata tamaa kwani mara nne mfululizo anagombea na hazidi asilimia 10 ameona bora ajisalimishe kwa mafisadi.
Shame on him.
Sasa mie mpaka sasa sijawaelewa chadema hamumtambui Rais mbona mmeshaunda kambi ya upinzani bungeni na Rais ni sehemu ya bunge na mtaunda serikali kivuli itakayokuwa chini ya Rais au baniani mbaya kiatu chake dawa? au Chadema ni CCM C?

CUF wanashangaza kwelikweli. Hivi hawajijui bado kwamba siyo tena chama cha upinzani, pamoja na Hamad Rashid kujaribu kujikakamua. Isitoshe mara mbili -- baada ya chaguzi za mwaka 1995 na 2000 CUF waliyakataa matokeo ya urais kule Visiwani. CUF walisapotiwa na takriban vyama vyote. Inakuwaje leo, baada ya wao CUF kufunga ndoa na CCM wanaona Chadema haiko right kukataa matokeo ya urais.
Nilipomuona HAmad RAshid akizungumza hivi Star Tv nilishangaa sana. Sijui kama anajua nini anasema. Nadhani kwa sababu tu sasa wao ni CCM. BwahahahahahahahahaNani wakusoma alama za nyakati kati ya CUF na CHADEMA?
Hivi kweli watu wanaamini kuwa katika uchaguzi wa mwaka 2010 Dr.Slaa ameshinda na CCM wamechakachua?- kweli mnahisi demokrasia tanzania imekuwa kiasi hicho- namaanisha maeneo yote ya tanzania- sio mijini tuu au watu wenye access na vyombo vya habari- mie nadhani CCm imekuwa consolidated sana vijijini hasa ukizingatia imekuwa madarakani miaka mingi so walishaweza kudevelop institutions in even remote places- kweli hii CHADEMA ambayo imeaanza kusikika bunge lililopita imeweza kufuta miaka zaidi ya arobaini ambayo CCM imekaa madarakani- TUSIYUMBISHWE NA USHABIKI- TUTUMIE LOGIC- naamini kuwa CCM wanaweza kuwa wamechakachua in some places- lakini bado nashawishika kuamini hata bila hiyo Slaa ASINGESHINDA! we are not there yet- Still along road to go.