nginda
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 744
- 82
Hawa ni ndugu jamani. Hata hivyo hahofu sana kama ccm ana cuf ni ndugu visiwani, hapa iwe chadena na cuf. yaani cuf ni shetani kwa ccm hapa bara ila visiwani ni malaika. tufike mahali popo aitwe ama ndege au myama na sio kubadilika badilika kwa kuangalia upepo. hawa cuf ni ccm iliyovaa bendera ya cuf. Lakini la hatari kuliko yote, kweli leo chadema iunde kambi kwa kushirikisha TLP??????????? utakuwa uongo.