Senseless!Hakuna rafiki wa kudumu katika siasa wala adui wa kudumu katika siasa, vijana wengi hasa cdm ni wachanga katika siasa wamezoea siasa furaha wakati wote kwao wanapoguswa kidogo hupiga kelele kama mtoto mchanga, wao siku zote wamejitahidi kukichafua CUF mbele ya macho ya watanzania lakini wameshindwa, na watambue kuwa walishindwa CCM wao wanapoteza muda hataweza, CUF nl moto wa pumba huwa hauzimiki, sasa fungeni mkanda vinginevyo mtatoka kabisa katika siasa nchini.,
Senseless!
Mkigoma, wazee wa cdm wanataka kujua helcopter zimesharuka?
Umeelewa ulichoandika!!??Hakuna rafiki wa kudumu katika siasa wala adui wa kudumu katika siasa, vijana wengi hasa cdm ni wachanga katika siasa wamezoea siasa furaha wakati wote kwao wanapoguswa kidogo hupiga kelele kama mtoto mchanga, wao siku zote wamejitahidi kukichafua CUF mbele ya macho ya watanzania lakini wameshindwa, na watambue kuwa walishindwa CCM wao wanapoteza muda hataweza, CUF nl moto wa pumba huwa hauzimiki, sasa fungeni mkanda vinginevyo mtatoka kabisa katika siasa nchini.,
Hakuna rafiki wa kudumu katika siasa wala adui wa kudumu katika siasa, vijana wengi hasa cdm ni wachanga katika siasa wamezoea siasa furaha wakati wote kwao wanapoguswa kidogo hupiga kelele kama mtoto mchanga, wao siku zote wamejitahidi kukichafua CUF mbele ya macho ya watanzania lakini wameshindwa, na watambue kuwa walishindwa CCM wao wanapoteza muda hataweza, CUF nl moto wa pumba huwa hauzimiki, sasa fungeni mkanda vinginevyo mtatoka kabisa katika siasa nchini.,
siasa ina machungu na raha, hivyo cdm ni lazima mzowee mambo yote hayo, vinginevyo hamtakawia kurudi CCM mlipokuwa mwanzo.
Ingependeza sana ukiendelea kutuletea ratiba za helkopita haya mengine ya kujenga hoja yanakupiga chenga, maana juzi ulituambia CCM wataleta helkopita 2 na kweli wameleta moja yao na moja mchumba.Hakuna rafiki wa kudumu katika siasa wala adui wa kudumu katika siasa, vijana wengi hasa cdm ni wachanga katika siasa wamezoea siasa furaha wakati wote kwao wanapoguswa kidogo hupiga kelele kama mtoto mchanga, wao siku zote wamejitahidi kukichafua CUF mbele ya macho ya watanzania lakini wameshindwa, na watambue kuwa walishindwa CCM wao wanapoteza muda hataweza, CUF nl moto wa pumba huwa hauzimiki, sasa fungeni mkanda vinginevyo mtatoka kabisa katika siasa nchini.,
Mbona unaisema CUF kimafumbo?Majority ya supportes wa CDM ni matokeo ya kura za maoni na udini.... pindi CCM ikimsiammisha mgombea u-Raisi Mkristo 2015 utaona kitakachotokea. Ndio itakapokuwa mwanzo wa kuporomoka kwa CDM.
Hakuna rafiki wa kudumu katika siasa wala adui wa kudumu katika siasa, vijana wengi hasa cdm ni wachanga katika siasa wamezoea siasa furaha wakati wote kwao wanapoguswa kidogo hupiga kelele kama mtoto mchanga, wao siku zote wamejitahidi kukichafua CUF mbele ya macho ya watanzania lakini wameshindwa, na watambue kuwa walishindwa CCM wao wanapoteza muda hataweza, CUF nl moto wa pumba huwa hauzimiki, sasa fungeni mkanda vinginevyo mtatoka kabisa katika siasa nchini.,
Hakuna rafiki wa kudumu katika siasa wala adui wa kudumu katika siasa, vijana wengi hasa cdm ni wachanga katika siasa wamezoea siasa furaha wakati wote kwao wanapoguswa kidogo hupiga kelele kama mtoto mchanga, wao siku zote wamejitahidi kukichafua CUF mbele ya macho ya watanzania lakini wameshindwa, na watambue kuwa walishindwa CCM wao wanapoteza muda hataweza, CUF nl moto wa pumba huwa hauzimiki, sasa fungeni mkanda vinginevyo mtatoka kabisa katika siasa nchini.,
Majority ya supportes wa CDM ni matokeo ya kura za maoni na udini.... pindi CCM ikimsiammisha mgombea u-Raisi Mkristo 2015 utaona kitakachotokea. Ndio itakapokuwa mwanzo wa kuporomoka kwa CDM.