Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,181
- 162,660
Shida sana haya mambo!
Boss unajua tofauti ya kujitoa na kutimuliwa ?Hata Lowassa alisema hatoki CCM, tehe tehe tehe.
Lowassa alisema hatoki CCM, hayo mengine unayasema wewe.Boss unajua tofauti ya kujitoa na kutimuliwa ?
Wewe ni wa kupuuzwa tu na kuhurumiwaLowassa alisema hatoki CCM, hayo mengine unayasema wewe.
View attachment 389795
NA ABDUL KAMBAYA
SIJAMBO GENI, HATA FIRAUN ALIPOSHINDWA KUJIBU HOJA ZA MUSSA ALITUMIA JESHI
Nimekua napigiwa simu nyingi toka kwa Wanachama wenzangu na Waandishi wa habari kuhusu Taarifa zilizozagaa kwenye Mitandao. Majibu yangu ya awali Kuhusu Taarifa hizo ni
1 Moja Baraza Kuu lina Mamlaka ya kufanya hivyo kwa mujibu wa Katiba na kwa kwa kufuata Katiba jinsi inavyoeleza kwenye hizo taratibu za kuchukua hatua za Kinidhamu.
2 Mimi na wenzangu tunaotajwa kwenye kadhia hiyo ikiwa ni Pamoja na Wabunge wa Mtwara Mjini (Maftaha Nachuma) na Magdalena Sakaya Mbunge wa Jimbo la Kaliua na Diwani wa Kata ya Misima Wilayani Handeni,pamoja na wale ambao sikuwataja hatukuwepo wakati hukumu hiyo inatolewa na Baraza Kuu lilofanyika jana Mjini Unguja katika Visiwa vya Zanzibar.
3 Baada ya kuahirishwa kwa Mkutano Mkuu uliofanyika pale Ubungo Plaza Tarehe 21 /08 /2016 kutokana na Wajumbe 324 kutoridhishwa na ukiukwaji wa Katiba ya Chama chetu ikiwa ni pamoja na kuingizwa kwa Wajumbe wasio halali kwenye Mkutano Mkuu, mimi ni miongoni mwa Wajumbe tuliojiorodhesha na kuandika barua ya Malalamiko na kupeleka Ofisi ya Msajili wa Vyama.
Kutokana na Mambo hayo Matatu, nawaomba Wanacuf msifadhahike na wala msihuzunike waliotufukuza kabla hata ya kutoa majibu ya hoja zetu tulizowasilisha kwa Msajili, bila shaka hawana Majibu ya sahihi ya hoja zetu. Na jambo hili sio geni kwa hapa Duaniani, Firaun aliposhindwa kuthibitisha kua yeye ndie Mungu, alitumia Jeshi lake (Baraza Kuu) kutaka kumuangamiza Mussa na Wafuasi wake waliokua wanaamini katika Haki na Mungu wa kweli.
Kilichoendelea Zanzibar ni Mfano wa Firaun na Jeshi lake dhidi ya Mussa na Wafuasi wake.
Kauli yangu ya Mwisho ni kwamba hatoki mtu kwenye Cuf hii kwakua sio ya Mtu bali ni ya watu, sijambo jema kujifananisha na Firaun, jibu hoja usitumie Jeshi kujibu hoja. Hakuna kukataa Tamaa wala kukimbia Cuf. Harakati za kutafuta Uhuru ndani ya Cuf kwa Watanganyika ndio kwanza umezifungulia Geti, sasa ni hoja za Makabwela dhidi ya Vibaraka wa Mabepari wa Tanganyika.

Umechanganyikiwa wewe, lowassa alisema mwenyewe hatoki CCM na wasiompenda ndiyo waondoke. kumbuka vizuri badala ya kutoa mapovu.Wewe ni wa kupuuzwa tu na kuhurumiwa
Hijielewi
NishakupuuzaUmechanganyikiwa wewe, lowassa alisema mwenyewe hatoki CCM na wasiompenda ndiyo waondoke. kumbuka vizuri badala ya kutoa mapovu.
mwenyewe nimekupuuza.Nishakupuuza
Hapa kuna mtu anamtafutia mwenzake banmwenyewe nimekupuuza.
Kama huvunji ungo basi uko Mwezinimwenyewe nimekupuuza.
umeishiwa hoja, endelea kutukana ila ukweli ndiyo huo mkuu, LOWASSA ALISEMA HATOKI CCM NA ASIYEMTKA NDIYE AONDOKE.Kama huvunji ungo basi uko Mwezini
CC: MODSKama huvunji ungo basi uko Mwezini
Mzee unalitafuta la kuzua. Utachezea ban!Kama huvunji ungo basi uko Mwezini
Nenda juu kagonge Like basi ArifuMzee unalitafuta la kuzua. Utachezea ban!
Wenye shida na cuf ni chadema
Wenye shida na cuf ni chadema
Mshana upo sahihi kabisaSafari unayofika salama salimia kwenye mabus yetu jua wazi kuna ushirikiano mkubwa wa dereva na kondakta.
Lakini pia hata kwenye vyombo vya majini na angani ambako huko kondakta ni co-pilot.
Ndani ya familia ni Vilevile lazima kuwe na maelewano kati ya baba na mama
Kwenye siasa kuna watu wawili muhimu sana mwenyekiti na katibu! Hawa lugha zikianza kupishana tuu lazima chama kiyumbe.
Mwenyekiti wa CUF alijiuzuru wazifa wake katika kipindi ambacho chama kilikuwa kinamhitaji mno..yani ni sawa na dereva kumuachia kondakta gari kwenye mteremko!
Kujiuzulu kwake kwa barua rasmi ni haki yake ya kikatiba.
Maalim Seif kwa uvumilivu mkubwa na umahiri pia kwa kushirikiana na viongozi wengine ndani na nje ya chama wakavuka salama japo wakiwa majeruhi wa majeraha yaliyosababishwa na mwenyekiti wa chama aliyejiuzulu kwa ridhaa yake mwenyewe.
CUF mizizi yake iko visiwani na kule kimeendelea kuwa chama imara chini ya Maalim Seif ambaye amevumilia vishindo vingi vizito sana... Cuf Zanzibar ndio inaibeba Cuf bara.
Kitendo cha Prof Lipumba Kujiuzulu kipindi kile cha uchaguzi kilichukuliwa kama ni usaliti kwa CUF visiwani na tangu hapo viongozi wengi wa bara hawakuaminika tena na wenzao wa visiwani.
Mkakati wa Lipumba kutaka kurudi kwenye nafasi aliyejiuzulu kwa hiari ni kama pigo la mwisho la kutaka kuisambaratisha CUF kabisa.
Maalim Seif ameshaliona hilo na kwa sasa inabidi achukue maamuzi ya kitemi ili kukinusuru chama, wabara inabidi wamsikilize Maalim kuliko Lipumba na genge lake.
Wakishupaza shingo chama kitasambaratika huku bara.