Ndiyo cdm walilipia ukumbi wa mkutano wa cuf na kumfadhili pesa wapambe wa seifNa ndomana Lipumba yupo Bega kwa Bega na ccm mpaka mnamtafutia mabodigadi
hivi kati ya lipumba na wewe nani ananjaa jamani ..kuwa muwaziHuku ilikua katibu kumkimbia mwenyekiti... Lakini upande wa pili, mwenyekiti kukimbia Chama, yani baba kumkimbia mwanao wa miaka 5, kweli!...njaa mbaya sana jamani
Kwa hii fukuzafukuza Maalim amekurupuka, angetumia hekima na busara katika kuumaliza mgogoro. Na hapa badala ya kuutatua mgogoro ndio ameuchochea. Ametengeneza mgogoro na CUF Bara. Sipati picha jinsi Wabunge wa Bara na Visiwani watakavyoweza kuishi ndani ya Bunge. Sipati picha jinsi dhana ya UKAWA itakavyoweza kutekelezwa ndani ya Bunge wakati mshirika mwenza amejigawanya. Hapa kutakuwa na hali ya kutokuaminiana kati ya Wabunge wa Chama kimoja. Je CDM atashirikiana na CUF Zanzibar au CUF Bara? Ni ngumu kumeza! Kwa ujumla Maalim ametibua badala ya kujenga Umoja ndani ya CUF.
Hiyo haina ubishi wanajisumbuaSafari unayofika salama salimia kwenye mabus yetu jua wazi kuna ushirikiano mkubwa wa dereva na kondakta
Lakini pia hata kwenye vyombo vya majini na angani ambako huko kondakta ni co-pilot
Ndani ya familia ni Vilevile lazima kuwe na maelewano kati ya baba na mama
Kwenye siasa kuna watu wawili muhimu sana mwenyekiti na katibu! Hawa lugha zikianza kupishana tuu lazima chama kiyumbe
Mwenyekiti wa CUF alijiuzuru wazifa wake katika kipindi ambacho chama kilikuwa kinamhitaji mno..yani ni sawa na dereva kumuachia kondakta gari kwenye mteremko ! Kujiuzulu kwake kwa barua rasmi ni haki yake ya kikatiba
Maalim Seif kwa uvumilivu mkubwa na umahiri pia kwa kushirikiana na viongozi wengine ndani na nje ya chama wakavuka salama japo wakiwa majeruhi wa majeraha yaliyosababishwa na mwenyekiti wa chama aliyejiuzulu kwa ridhaa yake mwenyewe
CUF mizizi yake iko visiwani na kule kimeendelea kuwa chama imara chini ya Maalim Seif ambaye amevumilia vishindo vingi vizito sana... Cuf Zanzibar ndio inaibeba Cuf bara
Kitendo cha Prof Lipumba Kujiuzulu kipindi kile cha uchaguzi kilichukuliwa kama ni usaliti kwa CUF visiwani na tangu hapo viongozi wengi wa bara hawakuaminika tena na wenzao wa visiwani
Mkakati wa Lipumba kutaka kurudi kwenye nafasi aliyejiuzulu kwa hiari ni kama pigo la mwisho la kutaka kuisambaratisha CUF kabisa
Maalim Seif ameshaliona hilo na kwa sasa inabidi achukue maamuzi ya kitemi ili kukinusuru chama, wabara inabidi wamsikilize Maalim kuliko Lipumba na genge lake ! Wakishupaza shingo chama kitasambaratika huku bara
Mkuu umesema neno la msingi sana wakitaka waanzishe chama chao kingine lkn uwezo wa kushindana na visiwani hawanaNa mhimili wa CUF upo zanzibar huku bara kuna wawakilishi tu ambao baadhi wameshikwa masikio na Lipumba sasa ngoja wafutwe uanachama wakaanzishe chama chao tuone umwamba wao
Sasa hivi nafsi inamsuta vibaya sana heri ya dr mihogo aliye amua kuhama nchiKama kiongozi mkuu kanunulika wengine nao lazima waone fursa..wasichojua ni kwamba kuipokea ile pesa nono ni rahisi sana lakini kuitumikia sio rahisi kabisa
Plani ya lumumba kwa profesa imefauluHuyu lipumba kajimaliza mwenyewe... Wakome tena na tena
Sema kwa team lumumba maana ndio wamelivalia njugaNaona habari hii nzuri kwa team lowasa
Kesha katwa mkia huyo Sasa anaona aibu kuingia ziziniLipumba kaamua mwenyewe kujimaliza baada ya kutumia nguvu nyingi kuliko akili.
Hayo maneno aliyasema kipindi cha uchaguzi na yakamuwezesha kuunyakuwa ubunge lkn sasa kalishwa masalia na lipumba anasahauHakika mtu kama Sakaya nae kaingia kichwakichwa wakati kipindi kile alisema hatuwezi msubiri Lipumba mana gari imeshawaka
Huo mgogoro na shinikizo zote ni ccm kuuwa ukawaHakuna cha Cuf bara hapo watu wanatolewa uanachama biashara imeisha kasome katiba ya CUF mana najua ccm mpo nyuma kama mafisi mnasubiri mkono uanguke
SawaWenye shida na cuf ni chadema