NECTA yatangaza Matokeo Kidato cha Nne 2022

Lugano5

R I P
Jul 15, 2010
4,520
755
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata madaraja kuanzia daraja la kwanza, daraja la pili, daraja la tatu na daraja la nne.

“Kati yao Wasichana 243,285 (87.08%) na Wavulana ni 213,690 (88.60%), ufaulu huu wa Watahiniwa wa Shule umeongezeka kwa 0.49% ikilinganishwa na mwaka 2021”

Kuangalia matokeo fuata kiungo
 
Screenshot_20230129-110630.jpg
 
Naona shule za sekondari za serikali, hatimaye zimerudi kwenye chati!

Au ndiyo kusema Baraza linaunga mkono sera ya elimu bure, na pia ujenzi wa madarasa nchi mzima?
 
Back
Top Bottom