Croatia Kolinda Grabar-Kitarović: Hakuna namna tunaweza kumualika Rais huyu mrembo akaja kutung'arishia vivutio vyetu?

Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwani hakuna namna tunaweza kumualika na kumshawishi Rais huyu mrembo na mchangamfu (Kolinda Grabar-Kitarović) kutoka katika nchi ndogo ya Croatia akaja kutung'arishia vivutio vya Tanzania yetu?

View attachment 1626834

MWEZI JULY MWAKA 2018: Rais wa Uswisi Mhe. Alain Berset akizungumza na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kumaliza ziara yake binafsi ya wiki mbili akiwa na familia yake nchini Tanzania. Kwa wiki mbili alizokaa nchini rais Alain amefanya ziara binafsi katika mbuga za wanyama Serengeti na kutembelea visiwani Zanzibar

View attachment 1626828

World Cup ilimalizika na moja kati ya mambo yaliyovuta hisia za wengi ni Rais wa Croatia Mwanamama Kolinda Grabar. Wengi tumezoea kuona Rais akilindwa na walinzi lukuki lakini hali ni tofauti kwa Mwanamama Kolinda.

Baadhi ya Picha zake pia zimezua utata mwingi hata kuna video zikimuonyesha akiwakumbatia mashujaa wa Croatia walioloa jasho baada ya mechi kumalizika wengi wanajiuliza inawezekana vipi kwa Rais huyu Mwanamama kufanya yote haya?

View attachment 1626843

Kolinda Grabar mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Croatia kwa muda mrefu sana amefanya historia yake ya uongozi kukumbukwa zaidi katika World Cup ya mwaka 2018 zilizofanyika nchi Russia.

Swali la Msingi: Je, tunaweza ama hatuwezi?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ze mahi hingirishi hizi sooo guuuda, me ze namba wane sitezeni
 
Support, support, support saaaaaana kwa idea yako Kali sana ila wasiwasi wangu die wadogo hata tutoapo wazo km ili wakubwa fulani wanachukuwa file lako na kuweka uvunguni mwa droo yao.

Ila km tunaye balozi ktk nchi ya Croatia (sidhani) au ukanda huo haswa Russia afanye mchakato wa kidiplomasia atafanikiiwa kumleta tu ila mabalozi wetu wapowapo tu kula kodi zetu, mambo km haya ndo inatakiwa watuletee watalii kwa njia km hizo.

Njia ya mabalozi kutafuta watu maarufu ktk nchi wanazotuwakilisha ndo njia rahisi na ya haraka ya kuutangaza nchi yetu huko nje, ila wao wanataka sijui rahisi ndiye aseme kila kitu ndipo nao waanze kujipendekeza kwake badala ya kuwa wabunifu binafsi.

Mabalozi changamkieni tutangaza vivutio vyetu na mlete watalii msibaki kubugia kodi zetu huko ughahibuni.
Nimekuwepo JamiiForums tangu 2006 ikiitwa Jambo, kabla sijabadilisha ID, kutoka lile jina langu asili na halisi na kuuvaa huu utu mpya Bujibuji, ila namkubali Sana huyu NGULI Infantry Soldier. Post zake ziko very constructive, lakini katikati ya serikali kiziwi tunanufaikaje na madini yake.
Kuna wengi nawakubali , na kuwazimia michango yao, Pascal Mayalla , Mshana Jr, Nyani Ngabu a.k.a New York Monkey, Mwifwa, Baba Swalehe, Retired , Salary Slip na wengine wengi wasio na orodha.
Ila michango ya Infantry Soldier Ni ya manufaa kwa taifa, TISS, IFANYIENI KAZI
 
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwani hakuna namna tunaweza kumualika na kumshawishi Rais huyu mrembo na mchangamfu (Kolinda Grabar-Kitarović) kutoka katika nchi ndogo ya Croatia akaja kutung'arishia vivutio vya Tanzania yetu?

View attachment 1626834

MWEZI JULY MWAKA 2018: Rais wa Uswisi Mhe. Alain Berset akizungumza na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kumaliza ziara yake binafsi ya wiki mbili akiwa na familia yake nchini Tanzania. Kwa wiki mbili alizokaa nchini rais Alain amefanya ziara binafsi katika mbuga za wanyama Serengeti na kutembelea visiwani Zanzibar

View attachment 1626828

World Cup ilimalizika na moja kati ya mambo yaliyovuta hisia za wengi ni Rais wa Croatia Mwanamama Kolinda Grabar. Wengi tumezoea kuona Rais akilindwa na walinzi lukuki lakini hali ni tofauti kwa Mwanamama Kolinda.

Baadhi ya Picha zake pia zimezua utata mwingi hata kuna video zikimuonyesha akiwakumbatia mashujaa wa Croatia walioloa jasho baada ya mechi kumalizika wengi wanajiuliza inawezekana vipi kwa Rais huyu Mwanamama kufanya yote haya?

View attachment 1626843

Kolinda Grabar mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Croatia kwa muda mrefu sana amefanya historia yake ya uongozi kukumbukwa zaidi katika World Cup ya mwaka 2018 zilizofanyika nchi Russia.

Swali la Msingi: Je, tunaweza ama hatuwezi?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Huyu mama si Rais tena wa Croatia alistaafu February 18 2020.

Ila ni mrembo sana!!
1280px-President_Donald_Trump_and_First_Lady_Melania_Trump_with_Kolinda_Grabar-Kitarovi%C4%87.jpg
 
Nimekuwepo @JamiiForums tangu 2006 ikiitwa Jambo, kabla sijabadilisha ID, kutoka lile jina langu asili na halisi na kuuvaa huu utu mpya @Bujibuji, ila namkubali Sana huyu @NGULI @Infantry Soldier. Post zake ziko very constructive, lakini katikati ya serikali kiziwi tunanufaikaje na madini yake.
Ninashukuru sana mkuu...
 
Kuna wengi nawakubali , na kuwazimia michango yao, @Pascal Mayalla , @Mshana Jr, @Nyani Ngabu a.k.a New York Monkey, @Mwifwa, @Baba Swalehe, @Retired , @Salary Slip na wengine wengi wasio na orodha.
Ila michango ya @Infantry Soldier Ni ya manufaa kwa taifa, TISS, IFANYIENI KAZI
Thanks once again
 
Huyu mama si Rais tena wa Croatia alistaafu February 18 2020.

Ila ni mrembo sana!!
Mkuu, sasa hauoni kumshawishi Rais mstaafu ni rahisi zaidi kuliko ambavyo kama angekuwa bado yupo madarakani, na ukizingatia Croatia ni nchi ndogo sana katika siasa za dunia?
 
Back
Top Bottom