cristmas tree unahusiana vipi na kuzaliwa yesu?

OsamaBinLaden

JF-Expert Member
May 2, 2009
706
3
jama nimeuliza hilo swali kutaka kuelimishwa kwa wale wote wenye ufaham kuhusu hili manaa nimeona likitiliwa sana mkazo kiasi kwama bila ya huo mti basi kama haijasheherekewa.

nafasi hio tunakaribisha majibu.
 
Hilo ni mojawapo ya pambo la msimu huo!
Nisawa na waisilamu wanavyo pika pilau siku ya maulidi au Idd el firti
 
Christianity

Christmas tree in front of Notre Dame in Paris, France.



https://www.jamiiforums.com/wiki/File:KharkovDzerghinskySquareNewYearNight.JPG
In Kharkov



Jeremiah 10:1-5 in the Bible says the following (King James Version):
[1] Hear ye the word which the Lord speaketh unto you, O house of Israel:
[2] Thus saith the Lord, Learn not the way of the heathen, and be not dismayed at the signs of heaven; for the heathen are dismayed at them.
[3] For the customs of the people are vain: for one cutteth a tree out of the forest, the work of the hands of the workman, with the axe.
[4] They deck it with silver and with gold; they fasten it with nails and with hammers, that it move not.
[5] They are upright as the palm tree, but speak not: they must needs be borne, because they cannot go. Be not afraid of them; for they cannot do evil, neither also is it in them to do good.
This is interpreted by some fundamentalist Christians as referring to a Christmas tree, and that therefore the Bible would explicitly forbid the practice. However, the more common interpretation is that the passage refers to idol worship, and it is the practice of making an object out of wood, silver, and gold, and then worshiping that idol. Others feel that since "Christmas Trees" are not biblically ordained, they should not be used. Such individuals and Christian denominations are unlikely to celebrate Christmas at all, for the same reason, such as the United Church of God.
Isaiah 55: 13, refers to the evergreen tree as a joyful sign to the Lord in celebration of life everlasting, that shall not be cut off.

Martin Collins from Bibletools.com believes that the origin of the Christmas tree is tied to the ancient myth of Gilgamesh and Horus,[45] which they associate with character Nimrod in the Bible. Interestingly, that association places the origins of the Christmas tree in to a celebration Nimrod as the "Son of Heaven." By associating this symbol with Jesus, many Christians are replacing that pagan symbology with a Christian one by celebrating the Birth of Jesus on December 25 instead of the Birthday of Nimrod.

Some churches however use Christmas trees as decoration at Christmas time. Others use the same stripped Christmas tree as a Christian cross at Easter. See the poem The Dream of the Rood. Both Ezekiel 47:12 and the Book of Revelation 22:2 use trees as a symbol of new fruitful life, compared to the Tree of life denied Adam in Genesis 3:22-23. Paul makes the link between Adam and Christ clear in Romans chapter 5:
Adam is a type of the one who was to come. (v. 14)
In the same way the Christmas tree can be seen as mirroring the tree of life, a symbol or type of the Crucifix which brings redemption.
 
Jambo ambalo Bwana Yesu hakuagiza au kanisa la mitume hawakulipractise ni la kuchukuliwa kwa makini na tahadhari ya hali ya juu kwani inawezekana ukaingizwa mkenge na dola lililolivamia kanisa na kuliteka kwa kuwaua mitume na wanafunzi wa Yesu na lenyewe kuchukua usukani wa kuliongoza. Hali hii ilipata jukwaa rasmi mwaka 325 katka mkutano wa nikea uliofanikisha kaisari(ile mamlaka iliyomuua Yesu) kuwa ndie mkuu wa dini na dola kwa pamoja. Hapa ndipo alma(symbol) zote za kipagani zilipewa majina ya kikristo na sherehe zote za kipagani zilidanganyiwa ukristo na zikiachwa kwa tarehe zake zile zile hata wa leo. Sina uhakika na huu mkrismass tree lakini hata hivyo jiulize ni wapi wakristo waliwahi kuagizwa kuathimisha kwa sherehe kuzaliwa kwa Yesu? Hili ni deal la kibiashara zaidi.
 
jama nimeuliza hilo swali kutaka kuelimishwa kwa wale wote wenye ufaham kuhusu hili manaa nimeona likitiliwa sana mkazo kiasi kwama bila ya huo mti basi kama haijasheherekewa.

nafasi hio tunakaribisha majibu.
hakuna uhusiano wowote, kwanza Yesu hakuzaliwa December 25..., kuna mfalme enzi hizo alikuwa na mke (Semiramis - kama sijakosea) na baada ya kufariki mkewe alipata ujauzito na aliamini kwamba alipata ujauzito kupitia mionzi ya jua ambayo ilitoka kwa mumewe marehemu. mtoto wa huyo mama alizaliwa Dec 25 na jina lake aliitwa TAMUSI...baada ya muda mrefu wafalme wa enzi hizo waliamua kumkumbuka huyo mfalme (jina nimelisahau) na kuamua kuiita siku hiyo aliyozaliwa mtoto huyo (wake)kama siku ya JUA (sunday) na baada ya miaka mingi waliamua kuitukuza hiyo siku kama siku ya kuzaliwa mtoto wa mfalme.....na wanamapoke wakaichukua na kuigeuza kama ndiyo siku ya kuzaliwa Yesu. kwakweli ni stori ndefu sana ambayo unapaswa kusoma vitabu vya historia sana....ukisoma Biblia inasema mama yake na Yesu alipata ujauzito mwezi wa sita...Je, hawa wenzetu ambao wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu mwezi wa 12 ina maana Yesu alizaliwa akiwa na miezi 6?? Maana Biblia inatambia kwamba Yesu alizaliwa kama mwanadamu, aliacha enzi na akashuka chini na alikuwa kimwili kama wanadamu wengine hata hivyo watu hawakumuamini na hata leo wapo ambao hawamwamini (so sad)....Binafsi nasema Xmass haina uhusiano wowote na kuzaliwa kwa Yesu Kristo bali ni mapokeo ambayo viongozi wa RC waliyaleta na kueneza duniani kote...

Tubuni wana JF kwani ufalme wa mbinguni umekaribia hakuna ajuaye siku wala saa atakayorudi mwana wa Adamu...
 
Kwani Yesu alizaliwa tarehe 25 Dec siku ya Chrismas?

MaxShimba na waberoye tunaomba darsa hapo.
 
Chronology

Main article: Chronology of Jesus
See also: Nativity of Jesus

Scholars conclude that Jesus was born 7–2 BC/BCE and died 26–36 AD/CE.[34][35]

There is no contemporary evidence of the exact date of Jesus' birth. The common Western standard for numbering years, in which the current year is 2009, is based on an early medieval attempt to count the years from his birth. The Gospel of Matthew places his birth under the reign of Herod the Great, who died in 4 BC/BCE,[36] and indications in the Gospel of Luke point to the same period, though Luke also describes the birth as taking place during the first census of the Roman provinces of Syria and Iudaea, which is generally believed to have occurred in 6 AD/CE.[37] Most scholars generally assume a date of birth between 6 and 4 BC/BCE.[38]

The earliest evidence of celebration on 25 December of the birth of Jesus is of the year 354 in Rome, and it was only later that the 25 December celebration was adopted in the East, with the exception of Armenia, where his birth is celebrated on 6 January.[39] Indeed there is no month of the year to which respectable authorities have not assigned his birth.[39]

Jesus' ministry, which according to the Gospel of Luke he began at about 30 years of age,[40] followed that of John the Baptist,[41] whose ministry is said to have begun "in the fifteenth year of the reign of Tiberius Caesar",[Lk. 3:1–2] which would be about 28 or 29 AD/CE.[42] Jesus' ministry lasted around one year, according to the Synoptic Gospels, or three years according to the Gospel of John.
 
Kwani Yesu alizaliwa tarehe 25 Dec siku ya Chrismas?

MaxShimba na waberoye tunaomba darsa hapo.
There are several mistakes made when telling the story of the birth of Jesus that many believe to be true.

1. First, there were shepherds at the manger (Luke 2:8-10), but not the wise men. We also have no idea as to how many wise men there are. It could be 2 or 20! The Bible says that the wise men brought three gifts, gold frankincense and myrrh. It is more likely that since these were common currency items of value that each wise man, regardless of the actual number, brought a little of all three. We are not saying that there wasn't three, just that to say so is going beyond what is written.

2. Another glaring error in all the nativity scenes is that the wise men were certainly not at the manger of the inn the night Jesus was born. It says that the wise men came to Jesus' house! It seems clear that the wise men came just prior to the time Herod issued his decree to slaughter all the children under two years. The star first appeared to the wise men when Jesus was born, but it led the wise men to Jesus' house. (Matthew 2:11 "And they came into the house and saw the Child with Mary His mother")

3. The Bible doesn't say the star shone over the manger. This was a sign only the wise men could discern. The average person would miss it. The star appeared for the purpose of leading the wise men to Jesus home. The wise men started their journey when the star first appeared (at birth). Being from the "east" most likely Persian or Mesopotamia (Modern Iraq) , they completed a journey of at least 500 miles. We can get a general idea as to how old Jesus was when the wise men visited by approximating the time it would take to make such a trip at that time in history. To travel 500 miles, would take 25 days is about the earliest they could have arrived under perfect conditions.

The exact date of Jesus' birth is a mystery. About the best we can do is to narrow it down to seasons. The Bible does give us one clue. The shepherds were in the fields with their flocks at night when Jesus was born.

This clearly indicates that Jesus was born during the warmer seasons. During the coldest months like December or January, the shepherds didn't sleep in the fields but would bring their flocks into corals. There is virtual agreement among scholars that December 25 is not the birth date, not even the month that Jesus was born.

However some suggest that the whole idea that the flocks where brought into corals during the coldest months, implying the shepherds were not out in the fields, is rejected by some who say the flocks stayed in the fields year round.
 
Hawa jamaa wa kushoto kazi zao kuimba makanisani lakini hawaielewi dini yao, hakuna atakae leta jibu hapa, wote na wachumgaji wao mitini.



Mko wapi?
 
Kwani Yesu alizaliwa tarehe 25 Dec siku ya Chrismas?

MaxShimba na waberoye tunaomba darsa hapo.

ghafla nimejikuta nalazimika kutoa ufafanuzi kidogo.

1. tarehe aliyozaliwa Yesu haijatajwa katika biblia na haina haja ya kujulikana. hakuna mkristu yoyote anayeijua wala anyetaka kuijua. haina umuhimu. ukikuta mkristo anasema tar 25/12 ndiyo aliyozaliwa Yesu au akataja tar nyingine, basi mhurumie, anaongea jambo asilojua na ni kawaida. si watu wote wanajua kila kitu.

2. x-mass ni siku "maalum" ya kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo kadiri ya miaka 2000 iliyopita. japo mkristo wa kweli napaswa kukumbuka kila siku (na hapaswi kusahau tukio la Mungu kufanyika mwili (incarnation), kwani ndilo lililoanzisha na ndilo linaloitimiza imani yake), lakini siku hii ni "maalum" ya kuadhimisha. kama hujui kiswahili vizuri tafuta msaada wa kamusi.

3. namna ya kuadhimisha haijawahi kuwemo katika sheria za Kidini. shamrashamra unazoziona siku ya x-mass ni mazoea tu yaliyotokana na tamaduni mbalimbali toka zama na zama. mfano kama umetembea kidogo dunia, utakubali kuwa si watu wote duniani hupika pilau siku hiyo! hivyo kupika pilau kwa mfano si sheria ya kidini bali mazoea tu. ndivyo ilivyo kuvaa nguo mpya au kupamba mti wa x-mass, au hata na kunywa pombe au kufanya uasherati kama ambvyo wengi wanafanya siku hizi.

tahadhari.
kuna watu wanachimba mambo ya dini wakiwa hawana nia ya kujua, bali kuendeleza ushabiki kwa nia ya kukashifu au kukejeli. ni hatari tuepuke, tukiuliza tujielekeze nafsi zetu kutaka kujua, vinginevyo hakuna haja ya kuuliza

heri ya noeli na mwaka mpya 2010!
 
tahadhari.
kuna watu wanachimba mambo ya dini wakiwa hawana nia ya kujua, bali kuendeleza ushabiki kwa nia ya kukashifu au kukejeli. ni hatari tuepuke, tukiuliza tujielekeze nafsi zetu kutaka kujua, vinginevyo hakuna haja ya kuuliza

heri ya noeli na mwaka mpya 2010!

Naomba hi tahadhari iwe imelengwa kwa pande zote sio ilengwe upande moja tu.

Heri ya noeli na mwaka mpya 2010!!!
 
Christmas is nothing to do with Christianity but it does have it's origins in the midwinter festival and many other basically pagan rites.

This is Pagan holiday, turned Christian holiday. Just as many pagan holidays were. Easter, Halloween, etc. It originally was a date to celebrate the winter solstice, but it has hijacked by mafia group in the name of Jesus. To hell!!!
 
Christmas is nothing to do with Christianity but it does have it's origins in the midwinter festival and many other basically pagan rites.

This is Pagan holiday, turned Christian holiday. Just as many pagan holidays were. Easter, Halloween, etc. It originally was a date to celebrate the winter solstice, but it has hijacked by mafia group in the name of Jesus. To hell!!!
Ngoja tunaoisheherekea tuendelee taratibu.Ukitaka kujua ukuu wa sikukuu hii, angalia jinsi mwezi wa kumi na mbili unavyooneka kona zote za ulimwengu.
 
Christmas is nothing to do with Christianity but it does have it's origins in the midwinter festival and many other basically pagan rites.

This is Pagan holiday, turned Christian holiday. Just as many pagan holidays were. Easter, Halloween, etc. It originally was a date to celebrate the winter solstice, but it has hijacked by mafia group in the name of Jesus. To hell!!!
Jiwe la Kaaba lilikuwa la Kiislamu??? Mbona lilikuwa madhabahu ya kuabudia miungu?? Mohamadi alipowashinda wabaya wake wapagani akawanyang'anya na madhabahu yao akayafanya ya Allah mpaka leo. Dhuluma!!!
 
Jiwe la Kaaba lilikuwa la Kiislamu??? Mbona lilikuwa madhabahu ya kuabudia miungu?? Mohamadi alipowashinda wabaya wake wapagani akawanyang'anya na madhabahu yao akayafanya ya Allah mpaka leo. Dhuluma!!!
Sijui una maana gani ukisema jiwe la Kaaba, kwa sababu jiwe jeusi ni kitu kingine, na Kaaba ni kitu kingine.
Ungekuwa unaijuwa Biblia usingesema hivi. Kwa sababu Hajj imefanywa na mitume katika Biblia.
1. Jacob, on his way to Padan aram, saw a vision and built the next morning a pillar of stone which he called Beth EI, i.e. the House of the Lord (Genesis 28:18-19).
2.Baada ya miaka michache mtume huyohuyo Jacob aliamrishwa na MwenyeziMungu aende Bethel (Genesis 35:4, 14-15).
Jacob akaiondoa miungu yote ya kipagani wakati akienda huko
Baadae Prophet Muhammad SAW aliyaondoa masanamu yote katika Kaaba.
3. Nyingine ikajengwa na Jacob na Laban, Genesis 31:45-49: "And Jacob took a stone, and set it up for a pillar. And Jacob said unto his brethren: 'Gather stones.' And they took stones, and made a heap; and they did eat there upon the heap. And Laban called it Jegar sahadutha, but Jacob called it Galeed ... and Mizpah, for he said: 'The Lord watch between me and thee ..."
4. Jephthah and Ammon had a war against each other. Jephthah swore to the Lord in Mizpah of Gilead to sacrifice his only daughter if he won. He did win, and burnt his daughter there alive as an offering to the Lord (Judges 11:29-39).
5. Four hundred thousand swordsmen from the eleven tribes of Israel swore before the Lord in Mizpeh to exterminate the tribes of Benjamin (Judges 20 and 21).
6. The children of Israel, under Samuel, swore in Mizpeh to destroy their idols if they won against the Philistines (I Samuel 7).
7. The whole nation of Israel assembled in Mizpeh when Samuel was appointed king of Israel (I Samuel 10).
Hakuna shaka yoyote kuwa sasa hivi hakuna Mizpeh iliyobaki ispokuwa iliyoko Makkah, ilyojengwa na Ibrahim na mwanawe Ismail.
Kwa hiyo sisi Waislamu ni wafuasi wa kweli wa mitume wote.
Isaiah 60: 7. "All the flocks of Kedar shall be gathered together unto thee, the rams of Nebaioth shall minister unto thee. They shall come up with acceptance on mine altar, and I will glorify the house of my glory." The tribes of Kedar (Arabia) yalikuwa yamegawanyika yakaungana.
"The house of my glory," Hapa inamaanisha House of Allah in Makkah na sio the Church of Christ kama mnavyofundishwa.
Inaeleweka wazi kuwa vijiji vya Kedar (Sasa hivi Saudi Arbia) vipo katika nchi peke yake katika dunia ambayo imebakia bila ya influence ya Church.
Isaiah 60:8. "Therefore thy gates shall be open continually. They shall not be shut day nor night, that men may bung unto thee the forces of the Gentiles and that their kings may be brought."
Ni wazi kuwa Msikiti ulioizunguka Holy Kaaba Makkah umebakia wazi Mchana na Usiku tokea Mtume SAW alipoyaondoa masanamu zaidi ya miaka 1400 liyopita.
Viongozi na watu wa kawaida wanakwenda kwa ajili ya Hijja!
 
Yaa Akhiy Sideeq,

Napendezwa sana na Darsa zako ambazo pamoja na kujaa hekma nyingi lakini pia zina contain ushahidi au verse kutoka kwenye Vitabu husika.

Hakika nakuombea ka Allah, azidi kukuongoza katika kutudarsisha na kupambanua baadhwi ya mambo kwa nia njema kabisa ya kutuelimisha ili tuweze kupambanua yapi pumba na upi mchele.

Hakika Allah azidi kukupa nguvu na Hikma bila kuchoka wala kuchukia kutupambanulia mambo hususan haya ya kiimani na kuziweka imani zetu ziwe sahihi na madhubuti .

Allah akuzidishie Ilmu huweze kupambanua zaidi na zaidi.

Na nakuombea Kwa Allah, ambaye sote tunamwamini kuwa ni Muumba wa mbungu na Ardhwi na vilivyomo baina yake, akupe pepo ile ya darja la juu zaidi.

nakuombea kila la kheir na mafanikio mema.
 
jibu halitapatikana yesu hakuzliwa tarehe hiyo na hakuna anayejua hao wamepokea tu kutoka kwa wapinga kristo,yaani wale ambao walienda kinyume na yesu akiwemo na paulo mwenyewe.
 

....kwanza Yesu hakuzaliwa December 25..

..ukisoma Biblia inasema mama yake na Yesu alipata ujauzito mwezi wa sita...Je, hawa wenzetu ambao wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu mwezi wa 12 ina maana Yesu alizaliwa akiwa na miezi 6??

Ni kweli, Yesu Kristo hakuzaliwa Tar. 25 Desemba. Kimsingi, wakristo wanasherehekea tukio lenyewe, la kuzaliwa Yesu Kristo, na sio Tarehe. Tarehe ya kuzaliwa Yesu haijulikani, kwa sababu watu wa enzi hizo hawakuwa na kawaida ya kurekodi tarehe kama sisi tufanyavyo siku hizi za leo. Ikumbukwe ya kuwa Yesu Kristo alizaliwa zamani sana sasa imepita miaka zaidi ya 2000.
Fikiri, wazee wetu, waliozaliwa mwishoni mwa miaka ya 1800, au mwanzoni mwa miaka ya 1900, wengi wao hawakuweza kutaja sio tarehe tu bali hata miaka yao ya kuzaliwa. Walau wliweza kusema: Nilizaliwa mwaka ule Mjerumani alipoingia Tanzania, au Mimi wakati wa Vita kuu ya kwanza nilikuwa kijana niliyekuwa na uwezo wa kulipa kodi n.k. sasa je miaka 2000 iliyopita nani angekumbuka tarehe? Kanisa limejiwekea tarehe hiyo ili kukumbuka tukio la Mungu kujifanya mwanadamu ili kuukomboa ulimwengu.

Kuhusu Bikira Maria: Si kweli kwamba alipata ujauzito Mwezi wa sita yaani Mwezi Juni, kama unavyosema. Mwezi wa sita, maana yake, tangu Elizabeti alipopata ujauzito. Yakupasa uanze kusoma kuanzia Lk 1:24 na sio tu kuanzia Lk 1:26 hapo utapata muunganiko sahihi. Kwa kuwa hatujui tarehe ya kuzaliwa Yesu, hatuwezi pia kujua lini Bikira Maria alipata ujauzito. Tunachojua ni kwamba Malaika Gabrieli alitumwa kwa Mariamu Mwezi wa sita toka Elizabeti alipopata ujauzito.
 
Back
Top Bottom