CRISTIANO RONALDO For Ballon D'Or 2013

CRISTIANO RONALDO For Ballon D'Or 2013

Huo niushamba wa kuto jua mpila rpnaldo anastahi kupata tunzo hiyo kwamambo aliyo fanya 2013 usiwa na chuki anae sitahi mpe usimbanie
 
Mituzo ya kijinga sana,ronaldo kakifanya nini cha kumzidi ribery?upumbv m2pu,wanaangaliana sura hao!yan hata robo hajamfikia hyo jamaa amebeba makombe matatu ronaldo sifuri,
wanapeana hao

Mkuu mie binafsi sikubaliani na wewe. Kigezo cha mchezaji bora apewe mchezaji lakini kigezo cha vikombe ipewe timu hiyo ndio fact. Ribery hakucheza peke yake ili kuchukua vikombe vitatu. Ila kwa uwezo binafsi Ribery hamfikii Ronaldo na huo ndio ukweli. Kama timu bora ingepewa Real Madrid wakaacha Bayern Munich hapo hata mie nisingekubali.
 
Hivi unawezaje kusema alipewa as if kuna watu wawili watatu wanaamua wakati hadi akina Juma kaseje wenu wanapiga kura
Kura zinapigwa na team captain dunia nzima wanachama wa FIFA na media
Kwani Tuzo anapokabidhiwa si anapewa?.....Ama kupewa kuna tafsiri nyingine siku hizi.....
 
Mkuu mie binafsi sikubaliani na wewe. Kigezo cha mchezaji bora apewe mchezaji lakini kigezo cha vikombe ipewe timu hiyo ndio fact. Ribery hakucheza peke yake ili kuchukua vikombe vitatu. Ila kwa uwezo binafsi Ribery hamfikii Ronaldo na huo ndio ukweli. Kama timu bora ingepewa Real Madrid wakaacha Bayern Munich hapo hata mie nisingekubali.

umeziona statistcs zao bnafc?kama hayo mambo bnafc unaysema pia kazidiwa na ribery na ingekuw hvyo bac okocha acngekosa tuzo
 
Huo niushamba wa kuto jua mpila rpnaldo anastahi kupata tunzo hiyo kwamambo aliyo fanya 2013 usiwa na chuki anae sitahi mpe usimbanie

kakifanya nini?basi km 2zo ni magoli 2one suarez anapata mwaka huu cz ndani ya mwezi m1 goli 10 na nna imani atavunja record nyng 2 tusubr,pungz kuropoka fatilia statstcs za ronaldo na ribery ndo utaelewa
 
Platini 'very disappointed' by Ribery snub

UEFA president Michel Platini believes Franck Ribery should have won the 2013 Ballon d’Or and not Real Madrid’s Cristiano Ronaldo.

Platini rued the change in voting from the previous version of the award, which was formerly under the discretion of France Football magazine.

Now it is a FIFA award, and Platini believes the criteria to win have changed accordingly - and to the detriment of his fellow Frenchman Ribery.

“I am very disappointed it wasn’t Ribery,” Platini is quoted as saying by L’Equipe.

“Next year we will return to the Cristiano-Messi duel, and in two years we will have Cristiano, Messi, Messi, Cristiano between the years.

“For 50 years the Ballon d’Or has taken into account titles won on the field.

“Now it is more based on the overall performance of the players and that’s a problem.

“Although Cristiano Ronaldo is a great,,something has changed since FIFA organised it,” the three-time winner said.

cc: Balantanda
 
Last edited by a moderator:

Mkuu...Hivi ulitegemea comments za aina gani kutoka kwa Michel Platini?...

Btw nimeweka matokeo ya kura hapo juu na utaratibu uliotumika...Ni kwa nini hao wapiga kura hawakumpigia kura Frank Ribery???

Halafu, ukiachana na habari za vikombe, unadhani Ribery ni bora kuliko Ronaldo??...Ama Cannavaro alikuwa ni bora kuliko wachezaji wa timu zilizoshiriki WC 2006?....

Utaratibu mbovu wa kuwapata washindi wa Mchezaji bora wa Dunia wa FIFA na baadae Ballon D'Or ndio ulinifanya mimi nisiwe muumini wa haya makitu...
 
Mkuu nilipost kwa kutumia simu, nikashindwa ku highlight point yangu hapo ambayo ni hii;
“For 50 years the Ballon d’Or has taken into account titles won on the field.

Rejea argument yetu ya jana usiku nadhani Platini naye kasema hapo kuwa vigezo vimebadilika. Kwa maana hiyo mie sina cha kubishana tena, Ronaldo kashinda kwa sababu vigezo vilivyopo vimembeba ila for years to come questions will be raised over FIFA's decision to extend the voting deadline to allow Ronaldo's performances against Sweden in the World Cup playoff last November to be taken into account.
 
absolutely
 
Watu mna mahaba popo kweli.. MFUKUZI
Mwaka 2010, Iniaesta,Xavi,Casilas walibeba kombe la dunia kwa kandanda safi,Messi na Algentina ya Maradona walikula kichambo cha mabao manne nunge kwa mkoloni Germany,
Haya,Champions League Morinho aliibeba na Intermilan,na Mtaalam snejder akiwa kwenye Form,na Snejder alifika final world cup,
bado Ballon d'or alipewa Messi,leo mnaongea nini@
cc: Mourinho, Gang Chomba, #teammahabapopo ...

Mafanikio na mchezaji Bora tutasimama kwa yule mwenye mafanikio ya kupata vikombe...na si mibio na kuchana nywele kwa style...amka
 
Last edited by a moderator:
1509037_10150513727789953_2109082217_n.jpg 1506802_10150513727779953_839679250_n.jpg
 
after all the its and buts,and all blah blah blah.....its still CRISTIANO RONALDO with the Ballon d'Or at hand,tukubali matokeo na tusubiri shughuli yake kule Brazil ili tupate kujua anastahili alicho achieve!! why too much talking people?? psss.
 
Nimependa alivyonena kwa lugha yake Watanzania tujifunze!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom