Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
nadhani unazungumzia tuzo za 2012
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...aYs8yUcDhUnvRStiTrXRzZw&bvm=bv.59026428,d.ZG4
Ahsante Mkuu
nadhani unazungumzia tuzo za 2012
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...aYs8yUcDhUnvRStiTrXRzZw&bvm=bv.59026428,d.ZG4
No, jamaa yuko vizuri sana kipindi hiki kuliko wenzake
Roberto Baggio mwaka 1993...
Binafsi si muumini wa hizi tuzo...
Mfano ni mwaka 2006 alipewa Cannavaro kisa tu alikuwa Nahodha wa Italy..WC winners
If Messi didn't win then Ribery will win now way but not Ronaldo. He has nothing on hand for last season. Go messi go
Wanaopinga Ronaldo kuchukua hiyo tuzo ni either,
1).Hawajui soka/hawafuatilii soka
2).Hawako objective na wanaleta ushabiki tu.
Mimi pia ni mpenz sana wa L.Messi ila Ronaldo anastahili kabisa hii tuzo this time around.Period.
nimefurahi sana ronaldo kuchukua hiyo tuzo ni msaada sana hata kwa timu ya taifa.messi ni mzigo
kuanzia Leo sifuatilii tena hii mituzo ya kijinga. wamembania ribery bure.
Ribery analalamika sana
Roberto Baggio mwaka 1993...
Binafsi si muumini wa hizi tuzo...
Mfano ni mwaka 2006 alipewa Cannavaro kisa tu alikuwa Nahodha wa Italy..WC winners
Hivi unawezaje kusema alipewa as if kuna watu wawili watatu wanaamua wakati hadi akina Juma kaseje wenu wanapiga kura
Kura zinapigwa na team captain dunia nzima wanachama wa FIFA na media
nimefurahi sana ronaldo kuchukua hiyo tuzo ni msaada sana hata kwa timu ya taifa.messi ni mzigo
Mituzo ya kijinga sana,ronaldo kakifanya nini cha kumzidi ribery?upumbv m2pu,wanaangaliana sura hao!yan hata robo hajamfikia hyo jamaa amebeba makombe matatu ronaldo sifuri,
wanapeana hao
Ina maana ma team captain wa taifa dunia nzima na makocha wa timu za taifa dunia nzima na maafisa habari wa vyama vya FA dunia nzima ni wajingaaMEPEWA!KWANI KURA HAZICHAKACHULIWI?REJEA KWENYE SIASA