CRISTIANO RONALDO For Ballon D'Or 2013

Lastly the loooong wait...ule mda ambao ulisengenywa sana umewadia and the winner is....cr7.....
 
Ni Cristiano.....

Hata sishangai, ilibidi apewe huyo zoba ili FIFA ijiepushe na lawama kutokana na ile kauli ya Blatter.

Upuuzi tu, kama safari ile walivyomnyima Sneijder, safari hii zawadi ya Ribery kapewa huyo mwanamitindo
 
Ribery wamemnyima tena dah!
 
hongera CR7 mpira wako ni wa jeshi la mtu mmoja.
 
Huo ndo ukweli, EPL mpira wao magazetini.
 
Hata sishangai, ilibidi apewe huyo zoba ili FIFA ijiepushe na lawama kutokana na ile kauli ya Blatter.

Upuuzi tu, kama safari ile walivyomnyima Sneijder, safari hii zawadi ya Ribery kapewa huyo mwanamitindo

Mkuu fafanua hapo unataka kusema nini.?
 
Hata sishangai, ilibidi apewe huyo zoba ili FIFA ijiepushe na lawama kutokana na ile kauli ya Blatter.

Upuuzi tu, kama safari ile walivyomnyima Sneijder, safari hii zawadi ya Ribery kapewa huyo mwanamitindo

Pole sana!
 
I like the winning feeling so much....the whole world's eyes are on you at what time?? The winning time. ..so nice...am inspired by Cr7s hard work...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…