Ndio bank gani hii? iko wapi? ina branch ngapi? usifananishe CRDB na mambo ya kijinga aisee!DTB wazuri sana, CRDB nyodo sana
premier elf 15 tu kwa mwezi mkuu .Uko dar? Ukitaka huduma nzuri nenda pale BMW Tower chini kuna executive branch unapata huduma huku unakunywa kahawa.
Transaction moja ni shilingi 10,000. Zikiwa mbili 13,000. Yani kila transaction inayoongezeka badala ya transaction ya kwwnza ni shilingi 3,000, hii ni kwa ambao sio wateja. Kama ni mteja wao ni bure.
Kwa nini upoteze masaa 2 kwenyw foleni azikiwe au holland wakati unaweza kulipia 10,000 ukapata huduma dakika 2 ukaendelea ma maisha.
Muda una thamani kuliko hela, muda ukiupoteza huwezi kuupata tena ila hela inapatikana.
Pamoja na hilo kila benk ina changamoto zake, ukiona hujaridhika na huduma muone meneja wa tawi fasta.
Tatizo lenu wateja, wakiongeza makato kwenye akaunti zenu kwa miamala mnayoifanya kupitia huduma za benki mnalalamika. Sasa maslahi ya wafanyakazi yataboreshwaje? Pia benki itawezaje kumudu gharama za kuongeza watoa huduma ikiwa hamko radhi kuzilipia? Think twice... Kulalamika ndiyo but not to that extent!
kuna huduma ya premier unalipa elf kumi na tano kwa mwezi. hukai hata foleni unaingia ndani kuna maji ,soda chai magazeti sofa za kufa mtu halafu sikukuu unapewa mazawadi kibao juzi idd nilipewa mazagazaga kibao . acha ubahili shogaa ndo maana unatukanwa kwenye foleniLooo! mengine inabidi niwaaachie akina Rugemalalila na timu yake! sio saizi yangu
CRDB mnamatatizo,..Wala nisiwe mnafiki.Inashangaza SANA tatiZo kwenye tawi moja then unakuja na conclusion ya namna hiyo . That is bias .
Una personal beef na kimeiKimei apumzike sasa. Anataka kufia kwenye kiti hicho. Toka watoto tunamsikia Kimei Kimei. Ni vyema CRDB ikapata damu mpya. Maafisa wa mikopo CRDB hasa akina dada, wana kauli chafu sana kana kwamba CRDB ni mali ya mama zao. Kimsingi mtoa hoja yuko right. CRDB siyo kama ild ya zamani. Sasa ni goigoi kama taasisi ya serikali. Benki za nje kama stanbic nk ziko very efficient. Hata masharti ya mikopo siyo magumu kama crdb. Crdb inategemea zaidi kukopesha wafanyakazi wa serikali kwa riba kubwa. Nawaambia riba ya mabenki mengine ni chini sana. CEDB munyiongeze. Dunia imebadilika.
😀😀😀 Nilitegemea neno faida. Ila swala sio tu faida. Mfano wewe una mtaji wa laki moja na kwa mwaka unatengeneza faida sh elfu hamsini, pia mwingine ana mtaji wa milioni moja na kwa mwaka anatengeneza faida ya laki moja, hapo nani anatengeneza faida zaidi?Hiyo defense yako haiko sawa. Siamini kuwa CRDB inaupungufu wa rsilimali fedha kiasi cha kushidwa kuwapa wafanya kazi wake maslahi bora ua mafunzo. CRDB ni miongoni mwa benki zinazotengeneza faida nzuri sana kwa mwaka. Hapo kuna issue ya kiuongozi kwenye hilo tawi tu.
Waboreshe huduma! inashangaza saa mbili na nusu wanafungua milango halafu wateja wakiingia unakuta mfano tellers ndio kwanza hata hawajawa tayari kwenye madirisha yao kuhudumia wateja, tena wanachukua hata dakika ishirini ndio wanaanza kutoa huduma
😀😀😀 Nilitegemea neno faida. Ila swala sio tu faida. Mfano wewe una mtaji wa laki moja na kwa mwaka unatengeneza faida sh elfu hamsini, pia mwingine ana mtaji wa milioni moja na kwa mwaka anatengeneza faida ya laki moja, hapo nani anatengeneza faida zaidi?
Ndio maana wataalam walikuja na kitu kinaitwa ROCE- Return on capital employed...
Hujui ni bank gani na ipo wapi halafu unasema isifananishwe, kama kuwepo wapi basi NMB ndio mwisho wa habariNdio bank gani hii? iko wapi? ina branch ngapi? usifananishe CRDB na mambo ya kijinga aisee!
Futa s hapo mwishoniso what is your recomendations.
Ukweli ndio huoKuna thread humu...kwamba vilaza wengi wa nchi hii walikimbilia mambo ya fedha
Nakubaliana nawe wapo vizur pale goigi.ila pale kibo complex ni jangalabda huko kijitonyama ila crdb mbezi beach ni benk nzuri sana.