kamanda5ch
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 210
- 287
Dah, hatari.... mimi nilishangaa nikiangalia salio naambiwa nina 0.00. Nikahamaki... nikakimbilia pale CRDB Lumumba kuchukua statement. Nakuta pesa ipo ila nikiangalia salio lililopo nitofauti na salio lililotakiwa kuwepo. Kuangalia naona kuna miamala mingine haipo na mingine ipo katika tarehe tofauti. Kuwauliza nikaambiwa ni tatizo la system zao. Baada ya siku 2 pesa ikarudi. Ila imekaa siku 1 tu nakuta pesa hamna.. nauliza naambiwa kuna manunuzi ulifanya tarehe 9 August ndo yamepitishwa leo tarehe 3 September.
Kiufupi kama unaakaunti kwa hawa jamaa inatakiwa uwemakini na mwenendo wa pesa zako. Mi mpaka sasa nimesha ngaili kutunza pesa huko... nitawatumia kwa transaction ndogo ndogo tu.
mkuu you're scaring me. Nina acc crdb tu (baada ya kukimbia NBC), na Leo nimeiwezesha ishop online and it handles "ALOT" of cash, waki i hijack I'll be devastated. Sasa kwa hizi taarifa tena mbona napoteza imani.
mkuu, mimi natumia CRDB Kufanya manunuzi mtandaoni mara nyingi. Ila wiki 2 hizi mambo imekuwa majanga. Ila mwanzo niliwakubali sana, but kama wakifanikiwa kurekebisha system zao wapema basi we utaenjoy.
we ni mwongo sim banking ya bank gani ndo salama nmb huko ndo watu wanalia kila kukicha we ni mfanyakazi wa competitor wa crdb unajaribu kudhoofisha product zao kutuaminisha upuuzi wako kwa story za kutunga ndo maana huja sema hiyo issue uli report tawi gani na kwanani.
product za crdb ni salama matatizo ni madogo madogo ya kawaida ambayo hata kwenye bank zilizoendelea yapo..
crdb bado ndiyo bank bora kabisa kwa sasa Tanzania.

Dah.... unamejikanyaga sana kwenye maelezo yako. Back to school...we ni mwongo sim banking ya bank gani ndo salama nmb huko ndo watu wanalia kila kukicha we ni mfanyakazi wa competitor wa crdb unajaribu kudhoofisha product zao kutuaminisha upuuzi wako kwa story za kutunga ndo maana huja sema hiyo issue uli report tawi gani na kwanani.
product za crdb ni salama matatizo ni madogo madogo ya kawaida ambayo hata kwenye bank zilizoendelea yapo..
crdb bado ndiyo bank bora kabisa kwa sasa Tanzania.
we ni mwongo sim banking ya bank gani ndo salama nmb huko ndo watu wanalia kila kukicha we ni mfanyakazi wa competitor wa crdb unajaribu kudhoofisha product zao kutuaminisha upuuzi wako kwa story za kutunga ndo maana huja sema hiyo issue uli report tawi gani na kwanani.
product za crdb ni salama matatizo ni madogo madogo ya kawaida ambayo hata kwenye bank zilizoendelea yapo..
crdb bado ndiyo bank bora kabisa kwa sasa Tanzania.
njooni nmb mnaangaika nin system mbovu crdb.
njooni nmb mnaangaika nin system mbovu crdb.
Leo niliamua nicheki balance kwenye sim banking ya crdb ,ofcoz mimi nina acount moja tu ya hiyo bank, basi nikabofya *150*03# nikaingiza pin then nikachagua balance ,nikakuta kuna acount namba 2, inabidi nichague mojawapo (si unajua mtu unaweza kuwa hata na account 10), nikaduwaa hii ya pili ya nani ,nikacheki jina likatoka la mtu mwingine so nikawa na uwezo wa ku access acount ya huyo jamaa nipendavyo kwa kutumia cmu yangu ,ningependa ningehamisha mpunga wake wote but m innocent nikajisalimisha bank kuwaambia hii ni hatarii kwenye acount zetu
Note
inawezekana account yako ya crdb inatumiwa na watu wengine bila kujua na hii ni kutokana na uzembe wa bank husika so tunza kumbukumbu zako za transaction kila unapofanya.
Mkuu hii hata mimi ilinitokea juzi nilikuta account mbili ikasema choose an account with which to transact nikasita... technology inawashinda CRDB siku nyingine ukiangalia salio kupitia sim banking unakuta hela pungufu ukienda ATM unakuta ziko sawa....ni hatari sana...hata hivyo account yangu hiyo ni ya kupitishia kamshahara ka madafu tu....Leo niliamua nicheki balance kwenye sim banking ya crdb ,ofcoz mimi nina acount moja tu ya hiyo bank, basi nikabofya *150*03# nikaingiza pin then nikachagua balance ,nikakuta kuna acount namba 2, inabidi nichague mojawapo (si unajua mtu unaweza kuwa hata na account 10), nikaduwaa hii ya pili ya nani ,nikacheki jina likatoka la mtu mwingine so nikawa na uwezo wa ku access acount ya huyo jamaa nipendavyo kwa kutumia cmu yangu ,ningependa ningehamisha mpunga wake wote but m innocent nikajisalimisha bank kuwaambia hii ni hatarii kwenye acount zetu
Note
inawezekana account yako ya crdb inatumiwa na watu wengine bila kujua na hii ni kutokana na uzembe wa bank husika so tunza kumbukumbu zako za transaction kila unapofanya.