CRDB Salary Advance

CRDB Salary Advance

Hana lolote njaa kali jpm amkomesha sasahv anasaka wateja mpaka vichochoroni wakati alizoeya ijioesa ya selikalinibtu
 
Hana lolote njaa kali jpm amkomesha sasahv anasaka wateja mpaka vichochoroni wakati alizoeya ijioesa ya selikalinibtu
Mkuu tulia kwanza, kunywa maji kidogo halafu pumzika, then njoo urekebishe hii post yako. Haraka za nini?
 
Hiyo 5% ya riba ni kwa mwezi yaani 60% kwa mwaka? Hebu tupe maelezo ya kutosha maana hizi benki wanatukamua kotekote, mara service charge, maintanance fee nk.

Vv
Kwani unakopa kila mwezi?
 
Haijaanza kufanya kazi hiyo huduma nadhani japo kwenye menu ya simbanking hicho kipengere kipo
 
Bado naamini CRBD ni bank bora kuwahi kutokea Tz, anzia kwenye swala la ATM, Customer service week na mengine yani they lead bank nyingine zina follow. Pia huu mkopo unakatwa ndani ya mwezi husika, nashangaa kuona mtu anapiga hesabu za mwaka mzima (ndio maana kuna mtu huwa anawauliza huko shule mlienda kusomea ujinga). Anyway shout out to CRBD.
 
Kama nikikopa tarehe 10 na mshahara wagu ukaingizwa 24; nikikatwa asimia 5 ni sawa na 120% kwa mwaka huu ni uonevu kwa wanyonge. CRDB kama mnataka kutenda haki; mngechaji kwa kutumia OVERDRAFT rates na kwa siku ambazo huyo mtumishi amechukua pesa zaidi ya salio lake.
Wewe ni wale walioenda shule kusomea ujinga, ushaambiwa mkopo unalipwa ndani ya mwezi husika, hayo ya mwaka yametoka wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom