Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Nimeona washikaji wangu wako jeshi la magereza na nida wao wanapata. Inaonekana bado wanaitest kwa baadhi ya taasisi. Nikapiga customer care wakanambia taasis yangu haijafikiwa....kwamba watatuma meseji ikiwa tayari.Mbona Mimi nimejaribu kukopa naambiwa hawajaniunga????
Kuna aliyejaribu kukopa humu ndani na akafanikiwa????
Maana tusijetukawa tunatoa pongezi zisizo na uhalali
But it works bana...!
itapunguza ufanisi wa wafanyakazi wengi wa serikalini. Maana wanapenda Sanaa kukopa 