CRDB Salary Advance

CRDB Salary Advance

Wewe ni wale walioenda shule kusomea ujinga, ushaambiwa mkopo unalipwa ndani ya mwezi husika, hayo ya mwaka yametoka wapi?
Mkuu ukiwa unachukua salary advance ya TZS 500,000 ili ukatwe mwisho mwezi na ukafanya hivyo kila mwezi kwa miezi 12 utailipa benki jumla ya TZS 300,000 (TZS 25,000 X 12) hiyo ni sawa na 60% (yaani TZS 300,000/500,000)
 
Kwann ufanye hivo??!

Yaan unakopa kila mwezi?! Why?

Nadhan hawa crdb wanamaanisha haka kamkopo ni ka dharura....kakusogeza siku.
 
Bado naamini CRBD ni bank bora kuwahi kutokea Tz, anzia kwenye swala la ATM, Customer service week na mengine yani they lead bank nyingine zina follow. Pia huu mkopo unakatwa ndani ya mwezi husika, nashangaa kuona mtu anapiga hesabu za mwaka mzima (ndio maana kuna mtu huwa anawauliza huko shule mlienda kusomea ujinga). Anyway shout out to CRBD.
hahahaha mkuu acha tu ....nimeona hapo awali nikaganda kidogo hizo hesabu nikajiuliza hivi nimepitwa na mabadiliko ya uchumi in reality au watu wamevurugwa tu..
well la msing wote sio waliosomea uchumi accounts nk..so sio kuwa judge ( najua utasema basic maths olevo na advance - ila assume walikua ndo vilaza hawa wala basic concept hawakutaka )
 
Mkuu ukiwa unachukua salary advance ya TZS 500,000 ili ukatwe mwisho mwezi na ukafanya hivyo kila mwezi kwa miezi 12 utailipa benki jumla ya TZS 300,000 (TZS 25,000 X 12) hiyo ni sawa na 60% (yaani TZS 300,000/500,000)
Huu mkopo unalipwa kwa mwezi husika sasa kama wewe utaamua kuwa unakopa kila mwezi hiyo ni juu yako.
 
Crdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking.

Kiwango cha chini cha mkopo ni Tzs 50,000 na kiwango cha juu ni tzs 1,000,000.

Ili kuomba mkopo ingia simbanking...kisha chagua namba 6. Inachukua dakika tatu kupokea mkopo wako. Fedha inaingizwa kwenye account yako ya mshahara.

Mkopo utalipwa kutoka kwenye mshahara wako unaofuata.

Riba ya mkopo ni asilimia 5. Mfano kwa mkopo tzs 100,000 riba yake ni tzs 5,000 tu.

Riba inatozwa upfront.

Jaribu namna mpya ya kusukuma mwezi!
Well done!
 
Apa kwa mwezi lazima CRDB ikombe pesa za walimu wengi sana...jamaa wanabuni mbinu za kufilisi watu tu....heheheee big up sana , jamaa wameiva kwenye taaluma zao
. Itawasaidia Wafanyakazi, Maana wengine Mshahara hauwafikishi hata Katikati ya Mwezi wanaishia kuhangaika kukopa Mitaani.

Hii naona ina sound like; Mtu anakuwa analipwa Mara mbili ktk mwezi,yaan Mshahara wake unagawanywa mara mbili, Nusu anapata kabla ya Mwisho wa mwezi,Nyingine mwishoni . Itawasaidia kuganga njaaa.
 
Bado naamini CRBD ni bank bora kuwahi kutokea Tz, anzia kwenye swala la ATM, Customer service week na mengine yani they lead bank nyingine zina follow. Pia huu mkopo unakatwa ndani ya mwezi husika, nashangaa kuona mtu anapiga hesabu za mwaka mzima (ndio maana kuna mtu huwa anawauliza huko shule mlienda kusomea ujinga). Anyway shout out to CRBD.
Ndio chaguo langu CRDB.
 
Mkuu ukiwa unachukua salary advance ya TZS 500,000 ili ukatwe mwisho mwezi na ukafanya hivyo kila mwezi kwa miezi 12 utailipa benki jumla ya TZS 300,000 (TZS 25,000 X 12) hiyo ni sawa na 60% (yaani TZS 300,000/500,000)
Mkuu hesabu zako ni za uongo..umesahau kila mwezi utakuwa unachukua 500,000 ambayo mwaka mzima utakuwa umechukua(500,000*12=6,000,000) kwa riba ya 300,000.
 
Mbona Mimi nimejaribu kukopa naambiwa hawajaniunga????

Kuna aliyejaribu kukopa humu ndani na akafanikiwa????

Maana tusijetukawa tunatoa pongezi zisizo na uhalali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom