Hapana wewe si mtaalamu wa pesa; hapa ni kwamba kila mwezi utakuwa kwenye Overdraft ya laki tano maana unachukua na kurudisha na kuchukua tena hivyo mkopo utakuwa 500,000 "throughtout the year" ambao utalipia TZS 300,000 kwa kipindi chote cha miezi kumi na mbili. Pia ieleweke mkopo huu wa dharua huchukulia ndani ya mwezi mmoja na mishahara hutoka kwenye tarehe ya ishirini (20) hivyo kwa wastani utakuwa unakaa na hii pesa kwa nusu mwezi hivyo basi, faidi unayilipa kwa mwaka ni TZS 300,000/500,000 /0.5 = 120%.
Hiyo hesabu wataelewa waliosoma "Finance"