emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 547
Hilo neno alitumia MTU ,na sasa tunamsikitikia na wewe unalitumia utapambana na hali yako hakuna michango eeeee?rubbish
Hilo neno alitumia MTU ,na sasa tunamsikitikia na wewe unalitumia utapambana na hali yako hakuna michango eeeee?rubbish
hawa acha wajifie njaa tu,maana hawatumii akili.Mimi waliishia elfu kumi,wakasitisha hawajawahi nikopesha tena wala sababu sijawahi ambiwa.Hiyo ni mikopo isiyo na tija.wangewaachia MPower
Crdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking.
Kiwango cha chini cha mkopo ni Tzs 50,000 na kiwango cha juu ni tzs 1,000,000.
Ili kuomba mkopo ingia simbanking...kisha chagua namba 6. Inachukua dakika tatu kupokea mkopo wako. Fedha inaingizwa kwenye account yako ya mshahara.
Mkopo utalipwa kutoka kwenye mshahara wako unaofuata.
Riba ya mkopo ni asilimia 5. Mfano kwa mkopo tzs 100,000 riba yake ni tzs 5,000 tu.
Riba inatozwa upfront.
Jaribu namna mpya ya kusukuma mwezi!
faru joni au?Aisee ipo, nimeingia sasa hivi nimeikuta kwenye menu. Huyu jamaa ni faru aisee!!
Msemaji wa crdb. AsanteCrdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking.
Kiwango cha chini cha mkopo ni Tzs 50,000 na kiwango cha juu ni tzs 1,000,000.
Ili kuomba mkopo ingia simbanking...kisha chagua namba 6. Inachukua dakika tatu kupokea mkopo wako. Fedha inaingizwa kwenye account yako ya mshahara.
Mkopo utalipwa kutoka kwenye mshahara wako unaofuata.
Riba ya mkopo ni asilimia 5. Mfano kwa mkopo tzs 100,000 riba yake ni tzs 5,000 tu.
Riba inatozwa upfront.
Jaribu namna mpya ya kusukuma mwezi!
Inafanya kazi!?Aisee ipo, nimeingia sasa hivi nimeikuta kwenye menu. Huyu jamaa ni faru aisee!!
Na mshahara ukichelewa itakuwaje, kuna waajiri wengine mpaka tar 15 ya mwezi mwingine. Pia kuna assurance gani kama mtu atapitishia mshahara hapo maana akiona anadaiwa anaweza kuongea na mwajiri alipwe kwa njia nyingineMkuu...hakuna haja ya kusubmit salary sleep kwa badae?
Kwa hiyo ni wa serikali tu! Mbona makampuni binafsi ndio yenye wafanyakazi wengi na mishahara mikubwa na wwnapitisha mishahara hapoHakuna haja cha msingi uwe mtumishi wa serikalini na mshahara uwe unapitia CRDB..Unaruhusiwa kukopa mpka asilimia 50% ya take home yako ya mwez husika
Crdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking.
Kiwango cha chini cha mkopo ni Tzs 50,000 na kiwango cha juu ni tzs 1,000,000.
Ili kuomba mkopo ingia simbanking...kisha chagua namba 6. Inachukua dakika tatu kupokea mkopo wako. Fedha inaingizwa kwenye account yako ya mshahara.
Mkopo utalipwa kutoka kwenye mshahara wako unaofuata.
Riba ya mkopo ni asilimia 5. Mfano kwa mkopo tzs 100,000 riba yake ni tzs 5,000 tu.
Riba inatozwa upfront.
Jaribu namna mpya ya kusukuma mwezi!
Kama nikikopa tarehe 10 na mshahara wagu ukaingizwa 24; nikikatwa asimia 5 ni sawa na 120% kwa mwaka huu ni uonevu kwa wanyonge. CRDB kama mnataka kutenda haki; mngechaji kwa kutumia OVERDRAFT rates na kwa siku ambazo huyo mtumishi amechukua pesa zaidi ya salio lake.Crdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking.
Kiwango cha chini cha mkopo ni Tzs 50,000 na kiwango cha juu ni tzs 1,000,000.
Ili kuomba mkopo ingia simbanking...kisha chagua namba 6. Inachukua dakika tatu kupokea mkopo wako. Fedha inaingizwa kwenye account yako ya mshahara.
Mkopo utalipwa kutoka kwenye mshahara wako unaofuata.
Riba ya mkopo ni asilimia 5. Mfano kwa mkopo tzs 100,000 riba yake ni tzs 5,000 tu.
Riba inatozwa upfront.
Jaribu namna mpya ya kusukuma mwezi!
Naomba kujua je ni lazima mtu ukope mwaka mzimaa?! Mbona umefanya assuption ya mwaka wakati ni mkopo ni wa mwez mmoja?! Sijaelewa hapoKama nikikopa tarehe 10 na mshahara wagu ukaingizwa 24; nikikatwa asimia 5 ni sawa na 120% kwa mwaka huu ni uonevu kwa wanyonge. CRDB kama mnataka kutenda haki; mngechaji kwa kutumia OVERDRAFT rates na kwa siku ambazo huyo mtumishi amechukua pesa zaidi ya salio lake.
Mkopo ni Wa mwezi mmoja tu sio kwa mwaka kwa mfano ukikopa 100,000/= mwezi huu. Unatakiwa kurejesha mwezi unaofuata kwa riba ya 5%ambayo kw jumula ni 105,000/=Naomba kujua je ni lazima mtu ukope mwaka mzimaa?! Mbona umefanya assuption ya mwaka wakati ni mkopo ni wa mwez mmoja?! Sijaelewa hapo
Mm ni mteja tu kama wengine ila nimeona tushee hii kituMtoa mada upo kitengo gani hapo CRDB
Kiwango cha kukopa ni 50% ya net salary yako bossMfano mtu salary yake ni laki 8, je anaweza kukopa laki 9 ama.milioni? Au unakopa amaount unayolipwa..inakuwaje