Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,580
- 13,048
Naweza kusema nilisoma kichwa cha uzi, na nimecoment kulingana na hichwa cha uzi, sikusoma uzi wenyewe, usinione hamnazo ndo tabia yetu wazee wa karakana...Na ukitumiwa kutoka huko ulaya hakikisha inaingia chini ya kitanda direct, huwezi kuwa mzima wewe.