CRDB na Exchange Rates, mbona nahisi kuna harufu ya wizi?

CRDB na Exchange Rates, mbona nahisi kuna harufu ya wizi?

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,159
Niseme wazi kwamba nimechoshwa na hiki ninachoona kama ni wizi wa CRDB linapokuja suala la kubadilisha pesa za kigeni. Nafikiria kwenda kufunga akaunti yangu lakini kabla sijafanya hivyo ningependa kufahamu kwenye mabenki mengine wanafanya vipi; so kama unafahamu lolote katika hili, please let me know!

In short, CRDB kuna exchange rates za aina mbili... hapa nitazungumzia rates za Dola za Kimarekani. Rates za kwanza ni kwa dollar bills zinazoanzia $ 1 hadi $ 20 na rate ya pili ni ile inayoanzia $ 50 hadi $ 100. Exchange rate ya $ 1 to $ 20 kwa leo, kununua ni sh. 1603 kwa $ na kuuza ni sh. 1778 kwa $... hii maana yake ni kwamba, ukienda na $$$ zako pale na unataka TZS, kama una $20 bills kushuka chini watakubadilishia kwa sh. 1603 na kama una TZS na unataka $$$, utanunua kwa TZS 1778 bila kujali ni small or large bills(denomination)!!! Kwa hili sina tatizo ingawaje sioni rationale ya kununua small bills kwa bei ya chini sana ili hali wakati wa kuuza wanauza bei sawa na large bills.

Nije kwenye issue inayonihusu moja kwa moja! Kama una account with CRDB ambayo ni TZS account lakini inaingia foreign currency, kwenye mada hii source ya pesa inayoingia kwako inakuwa in terms of dollar; CRDB moja kwa moja wanakubadilishia kwa kuangalia rates za small bills... yaani, kama pesa ilikuwa ni $ 1000, utakachoingiziwa ni Sh. 1,603,000 less commission in foreign currency! Swali langu hapa; ni kwanini pesa ambayo imeingia in the form of money transfer wanai-consider kama small bills wakati haikuwa physical cash? IKiwa tayari wanakuwa wameshachukua commission yao, kuna addition cost gani ambayo wanaingia katika ku-handle inward transfer in the form of foreign currency hadi wachukue uamuzi wa kuibadilisha with the lowest exchange rate? Kwanini wana-consider as a small bill na sio large bill?

Ikumbukwe kwamba, endapo ingekuwa ni physical cash, mtu angekuwa na option ya kwenda kubadilisha somewhere else! Lakini kwavile hii pesa inakuwa inaingia kwenye akaunti moja kwa moja, mtu unakuwa huna option bali wanakupiga wapendavyo wao!

So, kuna mtu yeyote anayefahamu hii kitu? In addition, kila benki hivi ndivyo wafanyavyo? Please, if you think there's any bank ambao hawafanyi huu unaonekana kama ni wizi wa waziwazi please, let me know ili nikafungue akaunti huko manake huu ni upumbavu... haiingi akilini mathalani, kama ilikuwa ni $ 1000; hapo hapo wanakupoka sh. 75,000/- kirahisi rahisi tu hivi (halafu hapo hapo tena wanachukua kamisheni). Naona ni heri nikachangie hata kama ni benki ya makaburu provided wana sales terms mzuri kuliko hawa wenzetu ambao, zetu wanataka tule nao na zao wale peke yao!
 
Benki zingine wanafanya kwa mean rate, kwamba wanachukua maximum rate wanajumulisha na minimum rate kisha wanagawanya kwa mbili. Mfano kama maximu rate ni 1734 na minimum ni 1630 basi inakuwa hivi

1734 + 1630 = 3364
3364 /2 = 1682

So wanadeposit kwa 1682
 
Ni bora maradufu... manake, kwa bei za leo kama wangetumia hiyo system, wangekuwa wana-deposit sh. 1690 kwa dola badala ya sh. 1603... kwahiyo hapo kuna sh.87 inapotea kiaina aina tu... kama ilikuwa ni $1000, wanakupoka sh.87,000/-.... hii ni pesa nyingi sana kwa maisha yetu! Ni heri niache kazi zangu siku mzima nikazunguke kuangalia benki yenye good terms.
 
Rate za bank always zipo juu
Tatizo sio rate... tatizo ni inward transfer kuibadilisha as if ni physical cash iliyo kwenye small bill... yaani, wewe ukienda na $ 1000 leo hii ya noti za mia mia, utapata sh. 1,678,000/- lakini kama mtu atakutumia $ 1000, kwenye akaunti utakuta only sh. 1,603,000/- tofauti ikiwa ni sh. 75,000/- wakati tayari wameshachukua commission yao.
 
Ngoja niwaperuzi kidogo... manake kwangu hata jero ni nyingi kweli kweli ambayo siwezi kuwa tayari kuiona inaniponyoka kirahisi rahisi tu...

Bora we jero mimi sh kumi siachi.... labda niamue kuumpa 10*100 ni 1000.
 
chige kuepuka hayo yote fungua akaunti ya dola....mtu akitaka kukutukia dola unam-direct kwenye account ya dola.
Hiyo ni moja ya option ninayoifikiria kwa sasa... kinachonipa uzito ni muda... kwamba, hata nitakapokuwa na shida ya sh. 50,000/ basi lazima niende benki... labda ndo hivyo tena, kwa kuwa ninayo ya TZS, kwamba najikisia kwamba kwa mwezi matumizi yangu (say) ni laki mbili basi nabadlisha $$ equivalent to laki 2 kisha naingiza kwenye a/c ya TZS. Zamani kufungua forex account ilikuwa full complications... I hope siku hizi watakuwa wamepunguza ukiritimba.
 
ni rahisi tu....unakuwa na acc mbili,ya dola na tzs....ukitaka tzs unatumia ya tzs ukitumiwa/ukiwa na dola unaweka kwenye dola...ukitaka tzs unatoa cash dola unaenda kubadili unapotaka au kama nyingi na unataka kuhamishia kwenye acc ya tzs una-negotiate nao rate....
 
sio chini?
Inategemea... zamani ilikuwa kama nina haraka haraka zangu na sitaki kusubiri (honestly, I hate waiting... mimi hata kama nataka ku-drawa pesa kwenye ATM, basi nisipoenda kuanzia saa tatu usiku basi nitaenda alfajiri), nilikuwa naenda kweney bureau moja pale Samora... kama unavyowajua Wahindi wa wizi... hakuna cha paper work wala nini... mnabadlishana kama unavyoenda kuomba chenji dukani kwa Mangi!!! Faida nyingine kwa huyu jamaa pamoja na kutosimama foleni; hakuna upuuzi wa commission in foreign currency ambayo benki wanachukua! Lakini pamoja na hayo, bado benki rate inakuwa juu coz' wanafahamu wateja hawana pa kukimbilia... ni ngumu kwa mfano una akaunti ya $$ hakafu una-draw $200 kisha ukahangaike na hiyo $ 200 mitaani kwa ajili ya kuibadilisha... kinyume chake uta-opt wakubadilishie hapo hapo!!!!!
 
Niseme wazi kwamba nimechoshwa na hiki ninachoona kama ni wizi wa CRDB linapokuja suala la kubadilisha pesa za kigeni. Nafikiria kwenda kufunga akaunti yangu lakini kabla sijafanya hivyo ningependa kufahamu kwenye mabenki mengine wanafanya vipi; so kama unafahamu lolote katika hili, please let me know!

In short, CRDB kuna exchange rates za aina mbili... hapa nitazungumzia rates za Dola za Kimarekani. Rates za kwanza ni kwa dollar bills zinazoanzia $ 1 hadi $ 20 na rate ya pili ni ile inayoanzia $ 50 hadi $ 100. Exchange rate ya $ 1 to $ 20 kwa leo, kununua ni sh. 1603 kwa $ na kuuza ni sh. 1778 kwa $... hii maana yake ni kwamba, ukienda na $$$ zako pale na unataka TZS, kama una $20 bills kushuka chini watakubadilishia kwa sh. 1603 na kama una TZS na unataka $$$, utanunua kwa TZS 1778 bila kujali ni small or large bills(denomination)!!! Kwa hili sina tatizo ingawaje sioni rationale ya kununua small bills kwa bei ya chini sana ili hali wakati wa kuuza wanauza bei sawa na large bills.
suala la kuwa na rate tofauti ni mbinu ya kibiashara ambayo hutumiwa na wafanyabiashara wa fedha za kigeni.
CRDB Forex
National Bank of Commerce - Forex
Money Link Bureau de Change
Exchange Rates | Mkombozi Commercial Bank Plc
Exim bank - Forex Rates
FNB FOREX

they are regulated by BoT Forex
 
Inategemea... zamani ilikuwa kama nina haraka haraka zangu na sitaki kusubiri (honestly, I hate waiting... mimi hata kama nataka ku-drawa pesa kwenye ATM, basi nisipoenda kuanzia saa tatu usiku basi nitaenda alfajiri), nilikuwa naenda kweney bureau moja pale Samora... kama unavyowajua Wahindi wa wizi... hakuna cha paper work wala nini... mnabadlishana kama unavyoenda kuomba chenji dukani kwa Mangi!!! Faida nyingine kwa huyu jamaa pamoja na kutosimama foleni; hakuna upuuzi wa commission in foreign currency ambayo benki wanachukua! Lakini pamoja na hayo, bado benki rate inakuwa juu coz' wanafahamu wateja hawana pa kukimbilia... ni ngumu kwa mfano una akaunti ya $$ hakafu una-draw $200 kisha ukahangaike na hiyo $ 200 mitaani kwa ajili ya kuibadilisha... kinyume chake uta-opt wakubadilishie hapo hapo!!!!!

inategemea una withdraw hio $200 kwa ajili gani...coz maduka yapo mengi sana wala huangaiki saana

200*1603=320,600
200*1710=342,000

hapo utapima 22,000 ina worth kubadilisha nje ya benki au la!! 22,000 sasa hivi ni zaidi ya lita 10 za petrol kama una vits ni mengi sana!!!
 
You're right... unajua hiki ulichoandika nilikuja kukigundua nikiwa nimesha-post tayari na nikajua nawe utakiona tu! Baada ya kuwa nimesha-post ndipo nikagundua kwamba, hata kama nitaamua kubadilisha hapo hapo bado ni nafuu sana as compared to inward $ transfer inayokuwa converted into TZS!
 
Back
Top Bottom