Wakuu kesho nafunga akaunti yangu ya CRDB aisee hii benki ima wizi wa kiwango cha standard gauge.
Wiki iliyopita kuna mtu alinitumia USD 206 kwenye akaunti iliongia 406000 nikaona rate ndogo lakini nikahisi labda kuna makato sikufuatilia.
Leo nometumiwa $2850 wallah nimepokea msg kwenye akauti imeingia 5,410,932. Huu ni wizi wa kiwango kikubwa hata kama dola imeshuka haijafika wao kunipa rate ya 1850 hivi. Huu ni wizi kabisa.