CRDB Mnatuibia, acheni

CRDB Mnatuibia, acheni

bhikola

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,133
Reaction score
1,668
Habari wakuu,
Nimetafuta jukwaa la fedha au malalamiko sijaliona, so kama haifit hapa mnisamehe.

Iko hivi, jananimekwenda kulipa ada kwaajili ya kijana wangu anaanza Kidato cha kwanza (shule ipo Dodoma). Sakata lilianzia shuleni, hawataki malipo ambayo hayajapitia dirishani kwa benki.

Yaani lazima uwe na pay slip ya bank. So, hauwezi kufanya mobile payment wala internet banking. Hii ikawa kero kubwa sana maana kwa ulimwengu huu ulivyo sipiiiidiiii haifai watu hasa taasisi kubaki analojia.

Kufika bank (CRDB tawi lipo Moro), nikaambiwa, kila transaction ya kuweka pesa kwenye akaounti ya hiyo shule natakiwa nilipie charge ya Tshs 1,180.00 Hii kwangu ilikuwa na mpya, ya ajabu na wizi. Unaanzaje kutozwa fedha kwa kudeposit? Sijawahi kuiona popote dunia nzima

CRDB acheni hizi mambo, mnatuibia, hakuna gharama ya kudeposit
Ni hayo tu
 
Maajaabu.....
Habari wakuu,
Nimetafuta jukwaa la fedha au malalamiko sijaliona, so kama haifit hapa mnisamehe.

Iko hivi, jananimekwenda kulipa ada kwaajili ya kijana wangu anaanza Kidato cha kwanza (shule ipo Dodoma). Sakata lilianzia shuleni, hawataki malipo ambayo hayajapitia dirishani kwa benki. Yaani lazima uwe na pay slip ya bank. So, hauwezi kufanya mobile payment wala internet banking. Hii ikawa kero kubwa sana maana kwa ulimwengu huu ulivyo sipiiiidiiii haifai watu hasa taasisi kubaki analojia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ikawa kero kubwa sana maana kwa ulimwengu huu ulivyo sipiiiidiiii haifai watu hasa taasisi kubaki analojia.
Kwani mwenye shule amekwambia makubaliano aliyonayo na CRDB-Bank PLC? Ingawa unataka kuonesha kuwa umefikia kiwango cha digital, ukweli ni kuwa bado uko analogia, tena sana. Wewe lipa tu karo ya mwanao asome badala ya kulalamikia vijimambo vidogo vidogo. Benki zote hutoza bank charges kwa huduma wanazotoa, na hii hulingana na makubaliano baina ya benki husika na wateja wake. Kwanza inaonekana ni mara yako ya kwanza kusomesha mtoto shule binafsi, na umefanya hivyo reluctantly.
 
Mfano ile Salary Advance wife akikopa 200,000/= wanampa 190,000/= mshahara ukitoka hawakati hiyo 190,000/= wanamlima tena 200,000/= nilimwambia bora ukope VICOBA tu.
 
Usiwe fala na wewe sasa unaanzaje kulipia Ku deposit pesa

Asante sana Sophist
ni kweli kabisa ni mara yangu ya kwanza kusomesha mtoto shule binafsi nikiwa tanzania, lakini that should not be a problem. Pili, si jambo rahisi mimi kujua makubaliano ya mwenye bank na mwenye shule, lakini ninachojua, hakuna sehemu wala taasisi ya fedha inayolipisha deposits. kimsingi wanapaswa wakushukuru kwa kuwapelekea fedha. naamini unaweza kujifunza kuhusu hili.
mwisho ingawa si kwa umuhimu, kuwa digital siyo hiyari, usisubiri mpaka teknolojia ikulazimishe kuifuata, huduma za fedha kiganjani mwako.
Jumapili njema boss
 
1,180.00,
Habari wakuu,
Nimetafuta jukwaa la fedha au malalamiko sijaliona, so kama haifit hapa mnisamehe.

Iko hivi, jananimekwenda kulipa ada kwaajili ya kijana wangu anaanza Kidato cha kwanza (shule ipo Dodoma). Sakata lilianzia shuleni, hawataki malipo ambayo hayajapitia dirishani kwa benki. Yaani lazima uwe na pay slip ya bank. So, hauwezi kufanya mobile payment wala internet banking. Hii ikawa kero kubwa sana maana kwa ulimwengu huu ulivyo sipiiiidiiii haifai watu hasa taasisi kubaki analojia.
Kufika bank (CRDB tawi lipo Moro), nikaambiwa, kila transaction ya kuweka pesa kwenye akaounti ya hiyo shule natakiwa nilipie charge ya Tshs 1,180.00 Hii kwangu ilikuwa na mpya, ya ajabu na wizi. Unaanzaje kutozwa fedha kwa kudeposit? Sijawahi kuiona popote dunia nzima
CRDB acheni hizi mambo, mnatuibia, hakuna gharama ya kudeposit
Ni hayo tu
Tsh. 1,180/= kwa wanafunzi 1000 ni pesa ndefu jamaa anavuna
 
Mfano ile Salary Advance wife akikopa 200,000/= wanampa 190,000/= mshahara ukitoka hawakati hiyo 190,000/= wanamlima tena 200,000/= nilimwambia bora ukope VICOBA tu.

very true,
kama akichukua wanalima 10, na kukata wanakula 10 tena maana yake hiyo 20, yaani sawa na 10%. hapo bado haujaitoa wakucharge tena
hatare sana
 
Kwenye mkataba wao wa kukopa wanasema 5% huu wizi wa mchana kweupe BoT wafuatilie hili wanawaibia wateja wao si wangesema 10% waone kama watumishi watakopa wanajiendea huko VICOBA
 
tatizo wanajificha kwenye vigezo na mashart kuzingatiwa wakati wewe hivyo vigezo na mashart hawajakuonesha
 
Back
Top Bottom