CRDB kwenye huduma ya simbanking hamko serious

CRDB kwenye huduma ya simbanking hamko serious

Yaani hawa ni washenzi sana crdb. Mi niliweka huko vijihela vyangu miezi kama minne sipo, nimeenda ughaibuni. Kila mwezi wanakata monthly maintenance fees,1888/=. Lakini hamna interest hata ya sh. 500. Saizi natunzia hela chumbani. Wamebaki na akaunti yao tu
 
Wala haina shida kihivyo ni wewe tu mm inatokea hivyo wana namba zao ukipiga unawaeleza unaweza fanikiwa mapema au ikachelewa inategemea na mtandao ulivyo kwa wakati huo.itachelewa tu haitapotea ila tahadhari muhimu na kama una emegency nenda atm au bank kabisa
Kweli hata mimi.nilituma kutoka bnk kwenda tigo pesa...but wakanitumia.msg kuwa.mhamala umefeli. So nikawapigia wakaniambia after 24 hrs pesa yako itarudi kwenye account na kweli ilirudi.
Mimi now nina kama mwaka situmii kadi na wala sijui ilipo. Sim banking inanisaidia sana hata mtu ana shida saa 7 usiku namaliza kirahisi kabisa no kwere.
Mleta uzi nenda crdb au wana namba zao utasaidiwa.
 
hata hao Maofisaa sect ya loans ni as alot liear..hata vile wakikupatia promise hawaitimizi.
 
Back
Top Bottom