Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,612
- 16,189
Mi kuna siku iliwahi tokea kwenye online payment, ila uzuri nilihudumiwa muda mfupi na service ikawa poa. Pia SimBanking yao mimi haijawahi leta gogoroWana jamvi mimi yamenikuta. Niko Kigoma ugenini, nikajifanya kutoa hela CRDB kwenda mpesa ili niitoe kilaini. yaliyonikuta ni balaa. Kwanza ilitoka halafu ikakataa kuja Mpesa, nikawasiliana nikaaambiwa ipo hewani na itarudi benki ndani ya saa 24. Sasa masaa 24 yamepita naambiwa nisubiri masaa mengine 24. Naomba ushauri jinsi ya kufungua madai maana hapa nimeshapata damage kubwa balaa. Tahadhari iwe kwako pia. Asante.