dkashombo2013
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 538
- 119
Paypal ni gateway ndio kwani kabla ya kununua si unahamisha pesa kwenda PayPal then to seller? Na kwenye PayPal si ndo umemkabidhi pesa toka bank? Sasa hiyo acc ya PayPal benki inaijua? Benki ina access na akaunti yako ya PayPal? Were ndo unatakiwa kuhamisha tena pesa toka PayPal to bank account kama ulivyohamisha toka bank kwenda PayPal sio unalopoka kwakuwa una mb za kujitoa ufahamu JF
Nimekuwekea transaction niliyofanya leo hapo juu kukuonesha kwamba watu tunaongea vitu ambavyo tuna experience naavyo na sio wewe vuvuzela usiyejua lolote! Weka ya kwako hapa ili tufahamu tunaongea na mtu anayeelewa au tunabishana na mtu asiyejua lolote!Yaani nyie siwaelewi kama mnachiki na taasisis mseme sio kusema mambo ya uwongo humu yaani ujinga ujinga tu
Huyu jamaa anajifanya banker lakini mweupe kishenzi... nadhani atakuwa ama mfunga voucher au Teller (I don mean to insult) na ndio maana hata banking transactions zinavyoenda hajui!Salute mkuu. Haya ndo maelezo yaliyoenda shule siyo ya huyo mtoa mapovu na makidai mengi.. Asante sana kwa hii elimu.
Unatia aibu manake kwa maelezo yako haya unaonekana wazi wala hujui haya mambo! Yaani kama nawe ni banker basi CRDB wamekula hasara!!!Paypal ni gateway ndio kwani kabla ya kununua si unahamisha pesa kwenda PayPal then to seller? Na kwenye PayPal si ndo umemkabidhi pesa toka bank? Sasa hiyo acc ya PayPal benki inaijua? Benki ina access na akaunti yako ya PayPal? Were ndo unatakiwa kuhamisha tena pesa toka PayPal to bank account kama ulivyohamisha toka bank kwenda PayPal sio unalopoka kwakuwa una mb za kujitoa ufahamu JF
Mpuuze tuuu atakupaka kinyesii muda si mrefuu😀😀😀Huyu jamaa anajifanya banker lakini mweupe kishenzi... nadhani atakuwa ama mfunga voucher au Teller (I don mean to insult) na ndio maana hata banking transactions zinavyoenda hajui!
Nimekuuliza fund ikitoka kwa seller as refund inaenda wapi? Ukinijibu hilo utajijua una akili au laHuyu jamaa anajifanya banker lakini mweupe kishenzi... nadhani atakuwa ama mfunga voucher au Teller (I don mean to insult) na ndio maana hata banking transactions zinavyoenda hajui!
Nimekuwekea transaction niliyofanya leo hapo juu kukuonesha kwamba watu tunaongea vitu ambavyo tuna experience naavyo na sio wewe vuvuzela usiyejua lolote! Weka ya kwako hapa ili tufahamu tunaongea na mtu anayeelewa au tunabishana na mtu asiyejua lolote!
View attachment 420968
Weka ya kwako, kama huna piga kimya cuz' experience ya haya mambo huna wala banking operations huijui!
Unaacha kuhoji akili yako inayoshindwa kujua hata vitu vidogo kama hivi unahoji ya kwangu mimi ambae nimeshaeleza kila kitu including hiyo pesa ni wapi inaenda!!!! Au hujui kusoma??!!!Nimekuuliza fund ikitoka kwa seller as refund inaenda wapi? Ukinijibu hilo utajijua una akili au la
Poa mkuu hamna shidaMkuu rkgx utatupa mrejesho umefikia wapi..Hizi huduma za Visa bado ni changamoto kwa kweli kwa benki za nyumbani. Nilikuwa nataka kufanya biashara ya e commerce mpaka sasa nipo njia panda maana njia ya kupokea malipo kwa visa bado haipo clear. Kuna thread nilianzisha hapa ina relate na hili tatizo lako kwa kiaina fulani. Ku receive payment/refunds inaonekana kuna changamoto. Benki gani inasupport kupokea malipo kwa paypal au visa/master cards
Dah vichwa hivi kweli tunafugia nywele nikuulize kwenye PayPal acc yako pesa IPO au haipo? Kama ipo hamisha kurudi kwenye acc yako ya benki na kama umehamisha haijafika ilo ndo hojaHawa jamaa CRDB ni jipu kweli zamani hiki kitengo cha online kilikuwa na watu makini kweli kina Peter Mwalongo na Sauda sasa hivi kitengo kina watu wageni ni mizigo kweli hata ukiongea nae unamsikia ni mweupe bora hata mteja mzoefu uelewa unamzidi majibu anyokupa ni kutafuta njia ya kukukwepa refund bora km inatoka paypal sasa mtihani ni refund zinazotoka alipay mi imeshindikana kuelewana nao hadi mwezi sasa
Yaani ni jipu... hata hiyo transaction yangu wanajua wao walivyofanya! Badala ya exchange rate waliyoonesha hapo (ambayo ni 2103.27) wao wamenibadilishia kwa 1884.18! Wana bahati sipo Dar na niliko sina access na CRDB Branch vinginevyo ningeenda kuwawashia moto asubuhi subuhi!Hawa jamaa CRDB ni jipu kweli zamani hiki kitengo cha online kilikuwa na watu makini kweli kina Peter Mwalongo na Sauda sasa hivi kitengo kina watu wageni ni mizigo kweli hata ukiongea nae unamsikia ni mweupe bora hata mteja mzoefu uelewa unamzidi majibu anyokupa ni kutafuta njia ya kukukwepa refund bora km inatoka paypal sasa mtihani ni refund zinazotoka alipay mi imeshindikana kuelewana nao hadi mwezi sasa
Jibu swaliUnaacha kuhoji akili yako inayoshindwa kujua hata vitu vidogo kama hivi unahoji ya kwangu mimi ambae nimeshaeleza kila kitu including hiyo pesa ni wapi inaenda!!!! Au hujui kusoma??!!!
We acha maswali yasiyokuwa na kichwa wala miguu! Transaction ikifanyika sio kwamba pesa inaingia kwenye PayPal Account ya Mteja... mbona huelewi wewe?! Tumia akili... sasa utakuwa umefanya nini kama una-debit kwenye account moja na kumwingizia kwenye account nyingine? Ndo maana nikakuambia hili jambo wewe hulijui!!!Dah vichwa hivi kweli tunafugia nywele nikuulize kwenye PayPal acc yako pesa IPO au haipo? Kama ipo hamisha kurudi kwenye acc yako ya benki na kama umehamisha haijafika ilo ndo hoja
Siwezi kurudia rudia jambo moja kama hujui kusoma that's your problem!Jibu swali
tuma namba ya mpesa nikurefund[emoji125] [emoji125]CRDB noma aisee! Dakika chache zilizopita wameshanipiga na mbaya zaidi sina access na tawi lao lolote lile!
Hahaa! NItarudi tu Dar lazima nikawawashie moto! Sitaki mchezo mchezo mimi kwenye pesa yangu!tuma namba ya mpesa nikurefund[emoji125] [emoji125]
Ndo shida yako ingia kwenye account yako ya PayPal pesa ipo au haipo?We acha maswali yasiyokuwa na kichwa wala miguu! Transaction ikifanyika sio kwamba pesa inaingia kwenye PayPal Account ya Mteja... mbona huelewi wewe?! Tumia akili... sasa utakuwa umefanya nini kama una-debit kwenye account moja na kumwingizia kwenye account nyingine? Ndo maana nikakuambia hili jambo wewe hulijui!!!
Nimekupa changamoto kwamba uoneshe forex transacton ya kwako ambayo umepata kufanya; umeshindwa... hapo nikapata jibu hujui kitu katika hilo eneo! Na sasa nina mashaka ikiwa hata hiyo PayPal unaifahamu vizuri au unaisikia juu juu tu!!! We ushaambiwa PayPal Account za Tanzania hazi-receive cash halafu bado unasema angalia kwenye paypal account!!!Ndo shida yako ingia kwenye account yako ya PayPal pesa ipo au haipo?