vumilia maana na huko utakako hamia wanawza in the future kuwa na marekebisho hayo hayoWake kwa Waume habari zenu.
Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo
Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.
Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola
Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma
Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Na kesho siku ya 4, nimempigia muhudumu mmoja yupo nyumbani amelala, na anavyonjibu sasa, kama vile wala hakuna tatizo Wallah ananiambia nijaribu kwenda ndani dirishani wiki ijayoKijani walituambia tutatumia ATM na miamala ya simu lakini wapi. Ni muendelezo wa ujinga ujinga tu. Unawezaje kufunga huduma zote za benki kwa siku 3?
Walitoa tangazo lingine la kuongeza siku za "maboresho".walisema downtime itakua ndani ya masaa fln tu na wakayaorodhesha, la now mzigo wote upo down
Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo
Ujue kabla ya juzi tayari kuna malalamiko mengi kuhusu CRDB hasa katika huduma zake za simu, mara nyingi ujumbe utakaoona ni
- Kama sikosei walitoa tangazo mapema,
- Huenda bahati mbaya kwako hukuliona tangazo wakati muafaka.
Hata wangetangaza kwamba mwaka keshokutwa tutafunga Huduma hio sio excuse; huwezi kufanga kila kitu bila plan B wakati watu wanashughuli na pesa zao ambapo uzembe wako unawaza ukawatia hasara; Na kwanini wafanye complete overhaul na wasifanye stage by stage au usiku wa manane au weekends ?Mkuu, walitangaza kwamba wanafanya maboresho ya mfumo kwa muda wa siku tatu. Ulipuuzia hilo tangazo?
It mean tatizo kubwa pia tuwavumilie mie natumia M PESA Sasa wao wamenikwamishaBenki kubwa yenye wateja wengi kiasi hiki isiwezeshe huduma yoyote ile kwa wateja wake kwa siku 4 wewe waona tatizo dogo pia
Ametoka jela ijumaa huyo 🤣Mkuu, walitangaza kwamba wanafanya maboresho ya mfumo kwa muda wa siku tatu. Ulipuuzia hilo tangazo?
Acha kupotosha umma mbona tangazo lilitolewa mapema, wambongo mnapenda habari za Vijiwe vya kahawa' ndio tatizoHabari kutoka kwa walevi wa ile bar....zinadokeza.... imepigwa tukio moja takatifu!
Ni swala la muda tu...itafahamika...tuupe muda nafasi....
kibaya ni kwamba hakuna taasisi ya hivi itaweka wazi hili!/utaambiwa ukweli kuwa wamepigwa..
Mtaanza kuona anguko la ghafla kwenye soko la hisa!
Wewe una matatizo yako binafsi ya kutokufiatilia taarifa.mbona walisema kuwa kutakuwa nankufungwa kwa huduma mpaka jtatu.Ilibidi kujiongeza kufanya miamala kabla..na kwa taarifa yako maboresho yanaweza kukamilika jumatano.Wake kwa Waume habari zenu.
Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo
Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.
Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola
Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma
Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Huu ni uzushi pia kama zushi nyingine.Habari kutoka kwa walevi wa ile bar....zinadokeza.... imepigwa tukio moja takatifu!
Ni swala la muda tu...itafahamika...tuupe muda nafasi....
kibaya ni kwamba hakuna taasisi ya hivi itaweka wazi hili!/utaambiwa ukweli kuwa wamepigwa..
Mtaanza kuona anguko la ghafla kwenye soko la hisa!
Tangazo lao halikusema huduma zote zinasitiahwa muda wote. Walisema total blackout ni masaa machache tena usiku. How comes system zote hazifanyi kazi? Sio ATM, sio sim banking? Four days for a bank with outreach such as CRDB being offline is so detrimental to our economy.Acha kupotosha umma mbona tangazo lilitolewa mapema, wambongo mnapenda habari za Vijiwe vya kahawa' ndio tatizo
Mkuu hao jamaa si walitangaza juzi kati kuwa watafunga matawi yao kwa ajili ya maboresho ya mfumo? Au taarifa hukuipata mkuu?Wake kwa Waume habari zenu.
Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo
Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.
Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola
Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma
Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Mtanyooka na hio benki yenuWake kwa Waume habari zenu.