CRDB Internet Banking

Code:
Yani umu watu wazembe sana mpaka nimeenda kuulizia mwenyewe sasa ni 100USD Initial Deposit ya CRDB Bank USD Bank Account....
na yule anaetaka kujua kuhusu kujiunga Paypal..Soma Hiyo
::What do I need to use PayPal?

1. Firstly, you need either a credit or debit card. CRDB provides only debit card called VISA Electron. Application for VISA is free. If your CRDB ATM card does not have a VISA logo on the top right corner, you must ask CRDB to give you a new card. CRDB VISA Tembo cards have a VISA logo on the top right corner of your ATM card.

2. Secondly, and most important, you need to register for CRDB Internet Banking. Without this service, you will have nightmares using PayPal. It simply won't work.

CRDB charges you 30,000 one time set up fee for internet banking service. There are no monthly fees and you can check your balance, transaction history, transfer money to another account etc etc right from your computer with internet connection.

3. Thirdly, I HIGHLY recommend a USD account. I know most of us have TSH accounts. Though TSH accounts works seamlessly with PayPal, I will bet you can't do the same with MoneyBookers. So just get one!

If you have a TSH account, getting a USD account is easy. Just just write letter to CRDB branch requesting for a USD account and will be set up for you, using same details you provided when you opened your TSH account. TSH and USD accounts uses the same account number though, except that USD account starts with 02 and TSH accounts start with 01.

For example my TSH account is 01J20 XXXX XXXX and my USD account is 02J20 XXXX XXXX. Yes, if you want to donate, just deposit some money, teh teh teh!

But be careful, CRDB charges you 1% of the total amount you withdraw from a USD account. Don't put your money in if you are planning to withdraw it.

4. You need to register with PalPay. Just go to their website
www.paypal.com. The rest of the process is trivial.

You will need to verify your account after completing registration process. To verify your account, PayPal sends to your account a random number. This number will appear in your bank statement in 1 - 4 days. But don't go to CRDB asking for your bank statement if you are looking for this number!

CRDB Bank statements never includes such details. Just go to your Internet Banking account instead. A lot of people have had problems getting this verification code, thinking that it would appear in a bank statement. Just don't bother!
 
Mkuu kwanza kabisa nenda crdb waactivate card yako for online purchases itakuwa tayari after 24hrs, baada ya hapo ndio unafungua akaunti ya paypal hauwezi kufungua acc ya paypal bila crddb kuactivate card yako elewa hicho kitu kwanza,kuhusu acc ikae na sh ngapi inategemea unataka kununua kitu gn onlne,kama unataka kununua kitu cha dola 500 basi account yako isizidi sh laki 8 za kitanzannia coz hao paypal huwa wana currency convertor kutoka kiwango chochote cha fedha duniani,usiweke pesa nyingi kwenye acc yako kwa sababu hao wazungu wenyewe ni wajanja sana na unaposaini crdb kuhusu online shopping crdb hawatahusika na upotevu wa pesa kwenye acc so kuwa makini sana,nasema hivi coz mimi ni mtumiaji mzuri wa hii huduma ya online na najua mazuri na mabaya yake.

Exactly!!!!! Ni kweli kabisa mkuu ulivyosema. Mimi vile vile ni mtumiaji wa huduma hii. Nimefanya manunuzi kadhaa ya softwares fulafulani through paypal. Ningependa vilevile kufafanua kidogo kuhusu hii huduma. Kwa kifupi CRDB Bank, wametofautisha hizi huduma. Yaani kuna (1.) CRDB Internet Banking (2.) CRDB Internet Enabling Service. Tofauti ya hizi huduma mbili ni kwamba, CRDB Internet Banking ni huduma inayokuwezesha ku-access account yako online, na unaweza kufanya malipo kwa mtu mwingine yoyote mwenye akaunti crdb na si bank nyingine. Through accessing your account, unaweza kujua salio lako, kuangalia the last 20 transactions etc.

Kwa upande mwingine, CRDB Internet enabling service ndio hasa inaoana na michango ya wadau kadhaa hapo juu. Hii huduma mteja mwenye akaunti crdb anaomba kwa kujaza form maalum, baada ya hapo card yake inawezeshwa kufanya manunuzi over the internet. Kama alivyosema mdau hapo juu, CRDB Bank haitausika na loss yoyote utakayoipata over the internet, ndio maana wakaweka sharti la anayetaka aombe kwa kujaza hiyo form maalum. Kutokana na hatari ya uharamia uliopo over the internet ndio maana wengi wanashauriwa kuji-register na paypal system, kwa kiasi kikubwa usalama wa fedha zako unakuwepo, ingawa vile vile bado sio kwa asilimia 100. Hivyo basi akaunti/card yako utakayo ipa uwezo wa kufanya online purchases, isiwe ile unayoweka fedha zako nyingi maana risks bado zipo. Ni vyema kuweka hela tu pale unapohitaji kununua huduama/bidhaa online.
 
Habari Zenu,

Mimi ninataka kufungua CRDB Bank account ile nitumie kwajili ya online shopping..sasa nilikuwa ninauliza CRDB Initial Deposit ya USB Account ni shs ngapi?,,yani hela ya kianzio ya $ ya kimarekani ni shs ngapi? na pia Internet Banking kulipia CRDb shs Ngapi??na pia Visa Card unapewa baada ya siku ngapi?na pia ni shs ngapi Kulipia visa card..

USD Account Opening balance for CRDB: 1. Saving Account - 20$ 2. Current Account - 100 $, all the time your account will not be allowed to operate below the above stated minimum balances. For new customers, CRDB VISA OR MASTER CARDS ARE FREE. Internet Banking charges are 1000 Tsh. per month(Other currencies i am uncertain/not sure). VISA/MASTER CARD inachukua muda wa wiki 2(other factors assumed to be constant).
 
asante...sasa initial Deposit ya USD ac ni Dollar ngapi?
Unataka kufungua hiyo acc ya us dollar kwa madhumuni gani? Kama ni onlne purchases sio lazima kuwa na acc hiyo coz kuna currency conveter inayobadili kutoka Tsh kwenda us dollar if you wan do purchasing online
 
Unataka kufungua hiyo acc ya us dollar kwa madhumuni gani? Kama ni onlne purchases sio lazima kuwa na acc hiyo coz kuna currency conveter inayobadili kutoka Tsh kwenda us dollar if you wan do purchasing online

unajua kwamba bank rates zao kubwa sana?ndio mana ninafungua USD Account mwenyewe!!
 
USD Account Opening balance for CRDB: 1. Saving Account - 20$ 2. Current Account - 100 $, all the time your account will not be allowed to operate below the above stated minimum balances. For new customers, CRDB VISA OR MASTER CARDS ARE FREE. Internet Banking charges are 1000 Tsh. per month(Other currencies i am uncertain/not sure). VISA/MASTER CARD inachukua muda wa wiki 2(other factors assumed to be constant).

mimi nimeenda leo wameniambia kwamba ni $100 kwa USD account ya savings!!! mbona wananifanyia uhuni ivi?mimi nimeenda na iyo 20$ wameikataa au wewe unajisemea tu 20$?wameniambia initial deposit ya savings account individual ni 100$$$$$
 
hivi kwa wale waliofungua paypal account inafanya kazi kweli au ndio wanatuzungusha maana nimejarubu kulink mastercard yangu but its not working.na crdb wanasema wameshaiconect,please help me you guys,
 
mimi nimefanikiwa kuilink na paypal ila naona ebay ni wizi m2p. nilijarib kupurchase ki2 cha dola 2 stil ad leo cjapata mzigo. wengi ni ma fraud
 
kuna kipindi initial deposit kwa ajili ya dollar acc ilikuawa dollar 100 kwa sasa sina uhakika ni ngapi mkuu.
 
mimi nimefanikiwa kuilink na paypal ila naona ebay ni wizi m2p. nilijarib kupurchase ki2 cha dola 2 stil ad leo cjapata mzigo. wengi ni ma fraud

Mkuu, kitu cha dollar2? acha masihara kaka! Kumbuka kuwa ebay ni mnada 2, wauzaji ni wengi, sasa sijui wewe hicho kitu cha buku nne ulinunua kwa mtu gani na kama unaona muda unapita haujakipata unawasiliana naye anakwambia nn?! Ukiona m2 haeleweki unamreport paypal wanakurejeshea pesa yako!
 
USD Account Opening balance for CRDB: 1. Saving Account - 20$ 2. Current Account - 100 $, all the time your account will not be allowed to operate below the above stated minimum balances. For new customers, CRDB VISA OR MASTER CARDS ARE FREE. Internet Banking charges are 1000 Tsh. per month(Other currencies i am uncertain/not sure). VISA/MASTER CARD inachukua muda wa wiki 2(other factors assumed to be constant).

shukrani kwa taarifa mkuu
 
Back
Top Bottom