Crdb hq walinzi wanauza receipt.............

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Unaenda pale kwa ajili ya kuweka pesa, unakutana na booonge la foleni, unapokaribia kuchukua ticket ya namba , mlinzi anatoa namba zilizotangulia (105) mwanzo na pengine imeishaitwa, anakuambia buku tano (5000/=) hii hapa au la chukua hiyo (786), ukiangalia ile foleni na muda utaopoteza hapo.........KAZI NI KWAKO..
 
Hata mimi niliwahi kumwona mlinzi akikamua vikaratasi vya namba na kuvihifadhi kwenye kadroo ka meza jirani na mashine ya kutolea karatasi hizo. Sikujua alikuwa na kusudio gani. Kumbe ni biashara??? Hii nilishuhudia pale Lumumba Branch.
 
Hii nchi inelogwa na watu wake wamelogwa. Na sio kama mateller wanajua. Andika kwenye sanduku la maoni ama walk to the manager's office! Chanhe ni wewe! Say no to substandard services.
 
Hii nchi inelogwa na watu wake wamelogwa. Na sio kama mateller wanajua. Andika kwenye sanduku la maoni ama walk to the manager's office! Chanhe ni wewe! Say no to substandard services.

Spot on, sio kila kitu kukimbilia kuja kukileta JF wakati hujatake any measure, mengine unamalizana nayo hukohuko!
 
WW Mourinho mlinzi wa hapo CRDB HQ tena nimekuona na ndio Style zako hizo, hahahahahaahahahahahahahaha kuwa MTANZANIA ni moja ya maajabu ya DUNIA..Ngoja nicheke nipate AFya
 
Kweli kila mtu anakula urefu wa kamba yake, kumbe zile namba zinauzwa!
 
Kwani tz kuna benk basi? Ni mfano tu wa bank ndo tunazo yani haya mnayodai ni mabenk makubwa ndo ukiia tu foleni unakutana nalo mlangoni na tellers ziko 7 na zinazofanya kazi ni 3 tu kwa wale wasiopenda kukaa kwenye mafoleni kwanini walizi wasifaidi kutoka kwao?
 
Duh! hii bongo land kweli na kila kitu kinawezekana, nilihisi kitu kama hiki kingekuja tokea hasa wateja wakiwa wengi.
 
Ungelalamika pale pale kwenye tawi, ndani ya tawi kuna camera wangeona mlinzi anavuta tiketi. Lakini inaonekana wanajua. Au kalalamike kwenye facebook page yao huwa wanajitahidi sana kujibu.
 
Unaenda pale kwa ajili ya kuweka pesa, unakutana na booonge la foleni, unapokaribia kuchukua ticket ya namba , mlinzi anatoa namba zilizotangulia (105) mwanzo na pengine imeishaitwa, anakuambia buku tano (5000/=) hii hapa au la chukua hiyo (786), ukiangalia ile foleni na muda utaopoteza hapo.........KAZI NI KWAKO..

mishahara yenyewe midogo na wao wanahitaji kusomesha watoto wao St.Kanumba
 
Kwani lazima kwenda hapo lumumba au azikiwe! Mbona kuna matawi hayanaga foleni kabisa nendeni pale quality plaza badala ya kujazana matawi ya mjini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani lazima kwenda hapo lumumba au azikiwe! Mbona kuna matawi hayanaga foleni kabisa nendeni pale quality plaza badala ya kujazana matawi ya mjini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

....Kwenda huko Quality Plaza kwenye ni Foleni ya kufa Mtu!! Ni yale yale...:smiling:
 
Hii hojayako itakuwa na mashiko kama huyo mtu ana ishi au kufanyakazi karibu na hapo plaza, vinginevyo anaweza kukwepa foleni ya benki akakutana na foleni ya magari wakati wa kwenda na kurudi toka hapo plaza, kwa mfano anaishi au kufanya kazi posta. Nawasilisha mkuu.
Kwani lazima kwenda hapo lumumba au azikiwe! Mbona kuna matawi hayanaga foleni kabisa nendeni pale quality plaza badala ya kujazana matawi ya mjini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
WW Mourinho mlinzi wa hapo CRDB HQ tena nimekuona na ndio Style zako hizo, hahahahahaahahahahahahahaha kuwa MTANZANIA ni moja ya maajabu ya DUNIA..Ngoja nicheke nipate AFya

Hahahahahhaaaaaaaa, ama kweli kuwa Mtanzania ni moja ya maajabu ya Ulimwengu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom