100 Likes JF-Expert Member Joined Nov 5, 2018 Posts 2,416 Reaction score 5,171 Jan 8, 2019 #41 Kwa hiyo kama acc za namna hiyo zikiwa mil 2, wanapata 2,000,000 x 16,000 = 32,000,000,000/= kwa mwaka.
Kwa hiyo kama acc za namna hiyo zikiwa mil 2, wanapata 2,000,000 x 16,000 = 32,000,000,000/= kwa mwaka.
General Akudo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 560 Reaction score 829 Feb 3, 2019 #42 aisee nyie mnajidanganya sana, hakuna benki inayojiendesha bila makato. tena makato yamepaa mwaka huu Sent using Jamii Forums mobile app
aisee nyie mnajidanganya sana, hakuna benki inayojiendesha bila makato. tena makato yamepaa mwaka huu Sent using Jamii Forums mobile app
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Feb 3, 2019 #44 Bill said: Huduma zenu mbovu mwisho wa mwezi msururu ni balaa kusotea pesa yangu kisa nini. Click to expand... Sio kweli kuna NMB wakala kila kona na bado unaweza ukaweka pesa benki kutoka kwenye kitochi chako Sent using Jamii Forums mobile app
Bill said: Huduma zenu mbovu mwisho wa mwezi msururu ni balaa kusotea pesa yangu kisa nini. Click to expand... Sio kweli kuna NMB wakala kila kona na bado unaweza ukaweka pesa benki kutoka kwenye kitochi chako Sent using Jamii Forums mobile app
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Feb 3, 2019 #45 marxlups said: Kuchungulia salio tu shilingi 2500+ Click to expand... Up-to-date your sources Sent using Jamii Forums mobile app
marxlups said: Kuchungulia salio tu shilingi 2500+ Click to expand... Up-to-date your sources Sent using Jamii Forums mobile app
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Feb 3, 2019 #46 Donnie Charlie said: Ni vizuri Umeweka ufafanuzi lkn wkt mwingine zuia baadhi ya details Click to expand... Sijaona tatizo (nielimishe) Sent using Jamii Forums mobile app
Donnie Charlie said: Ni vizuri Umeweka ufafanuzi lkn wkt mwingine zuia baadhi ya details Click to expand... Sijaona tatizo (nielimishe) Sent using Jamii Forums mobile app
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,506 Reaction score 5,742 Feb 3, 2019 #47 Nilitangaza muda mrefu tu humu kuwa nauza vibubu naona mmenichunia,haya natangaza tena NAUZA VIBUBU VYA KUWEKEA HELA KWA BEI CHEE UNAJIPATIA
Nilitangaza muda mrefu tu humu kuwa nauza vibubu naona mmenichunia,haya natangaza tena NAUZA VIBUBU VYA KUWEKEA HELA KWA BEI CHEE UNAJIPATIA
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,456 Reaction score 38,237 Feb 3, 2019 #48 Huduma za kibenki za kijinga sana... Mi siku hizi naweka Mpesa tu, angalau hawa makato yao yako wazi na unaweza toa pesa yote ikabaki 0 balance!
Huduma za kibenki za kijinga sana... Mi siku hizi naweka Mpesa tu, angalau hawa makato yao yako wazi na unaweza toa pesa yote ikabaki 0 balance!
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 9,441 Reaction score 10,799 Feb 3, 2019 #49 kumbe ndg zangu pesa mnazo... safi sana