Jamani mwenzeni nimeenda CRDB Bank Azikiwe Leo, kuna jamaa yangu kaniambia kuna watu wanafanya usaili, nikauliza lini walitangaza hizo chance?
Akaniambia CRDB hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi.
Sasa huyu Charles Kimei au Charles Kimeo???
Tangazeni watu tukabishane kwa hoja!!!
Akaniambia CRDB hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi.
Sasa huyu Charles Kimei au Charles Kimeo???
Tangazeni watu tukabishane kwa hoja!!!