CRDB Bank utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usaili wa kazi ni wa kibaguzi

CRDB BANK juzijuzi mmeita watu kwenye usaili kwenye nafasi ya sales executive ila utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usail wa kazi ni wakibaguzi kwa sababu mnatumia njia ya kupiga simu peke yake njia hii si sahihi kwasababu zifuatazo:

1. Simu ya muhusika anaeitwa kwenye usaili ikiwa imezima maana yake ndio kaukosa usaili , na simu kuzima ni kawaida kuna sababu kama kuishiwa charge na kazalika.

2. Njia hii ni ya kibaguzi sababu inafumba fumba waliotwa kwenye usaili wasijulikane

Nawashauri nazani mnamanagement katika kitengo cha human resources ina elimu na uelewa wa kutosha hivyo ili kuondoa mkanganyiko tumieni hizi njia

1. Bandikeni majina ya watu walioitwa kwenye usaili kwenye websight yenu mbona matangazo ya kazi mnaweka.

2. Tumeni ujumbe wa sms kwenye simu za wasailiwa, njia hii ni nzuri endapo simu ya msailiwa imezima kwa muda ujumbe ataupata.

3. Ndiyo, mpige simu

Mwisho njia ya kupiga simu pekee si njia nzuri ni njia ambayo inawanyima wengine kushiriki usaili na njia hii mmekuwa mnaitumia kwa muda mrefu hivyo nyie kama bank huru katika kuajiri, badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Simu kuzima sio kawaida ila ni uzembe na kutojipanga kwa mtumiaji. So acha kazi wapewe wa kaskazini😀😀
 
Stupid people deserve stupid question.

the first identity of a stupid person is the questions he asks! whatever you might consider false and truth doesnt bother me! i said whats truth and i stand for it, ukubali ukatae its upto you
 
Sawa, ila mwerevu akiulizwa swali la kijinga atalijibu kwa busara au kukaa kimya ili aonyeshe utofauti wake na muuliza swali la kipumbavu.
Ila kwa upambavu wako umerespond kipumbavu kama swali lilivyo la kipumbavu.
Na mimi tangu mwanzo nilishakuona upumbavu wako na ndio maana nikakuuliza swali linaloendana na upumbavu wako
 
Kutokana na soko la ushindani,kupatikana kwenye simu ni muhimu,kutokupatikana kwako unakuwa umeepusha msongano. Mfano miaka 8 iliyopita niliomba kazi kupitia hizi taasisi za nje,nikiwa niko kwenye mizunguko yangu mjini....nikapigiwa simu kutoka Australia,wakajitambulisha ni bank fulani na wakathibitisha jina langu,na wakaniambia niwapatie muda ndani ya masaa mawili wanipe test kwa njia ya internet;tulikubaliana muda na nilifanya test yao...ilikuwa ni michoro michoro tu ya logic. ninachotaka kusema hapa,kupatikana kwenye simu kwa muda muafaka ni muhimu zaidi hasa hiki kipindi chenye ushindani mkubwa.
Wakati mwingine kwa nchi zetu unaweza kuta tatizo la mtandao kutokea kwa provider.Mambo ya kifala sana hapa kwetu,mavi mavi tu
 
CRDB BANK juzijuzi mmeita watu kwenye usaili kwenye nafasi ya sales executive ila utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usail wa kazi ni wakibaguzi kwa sababu mnatumia njia ya kupiga simu peke yake njia hii si sahihi kwasababu zifuatazo:

1. Simu ya muhusika anaeitwa kwenye usaili ikiwa imezima maana yake ndio kaukosa usaili , na simu kuzima ni kawaida kuna sababu kama kuishiwa charge na kazalika.

2. Njia hii ni ya kibaguzi sababu inafumba fumba waliotwa kwenye usaili wasijulikane

Nawashauri nazani mnamanagement katika kitengo cha human resources ina elimu na uelewa wa kutosha hivyo ili kuondoa mkanganyiko tumieni hizi njia

1. Bandikeni majina ya watu walioitwa kwenye usaili kwenye website yenu mbona matangazo ya kazi mnaweka.

2. Tumeni ujumbe wa sms kwenye simu za wasailiwa, njia hii ni nzuri endapo simu ya msailiwa imezima kwa muda ujumbe ataupata.

3. Ndiyo, mpige simu

Mwisho njia ya kupiga simu pekee si njia nzuri ni njia ambayo inawanyima wengine kushiriki usaili na njia hii mmekuwa mnaitumia kwa muda mrefu hivyo nyie kama bank huru katika kuajiri, badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwa kukosa kuitwa kwenye usaili mkuu. Ila ujumbe umewafikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lazima ujue benki ni sehem nyeti katika uchumi, imagine ingekua nafasi ya IT ambapo watu wanatamani kujua salio zao wengine kutoa ela, ata kama simu ilizima chaji unadhan ni walikosea kukunyima hioo kazi?
Nakujibu hapo,inawezekana kuwa na simu ya kuzima zima inatokana na mazingira niliyopo mfano nimemaliza chuo nina kiswaswadu,kwaiyo nanyi muwe waelewa pindi utakapopata iyo nafasi basi nitakuwa hewani muda wote kulingana na wakati huo
 
Kama unaomba kazi mwenyewe basi tutakuelewa ila kwa jinsi kuna competition dunia nzima basi inabidi uelewe tu
 
Hivi watu hawa wakoje? Mitandao hii tutawaambua na ubaguzi wenu. Ingawa sasa CRDB wako hoi. Kimei out na mikopo ya kikabila mwisho.
 
Back
Top Bottom