BOFREE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 985
- 1,287
CRDB BANK juzijuzi mmeita watu kwenye usaili kwenye nafasi ya sales executive ila utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usail wa kazi ni wakibaguzi kwa sababu mnatumia njia ya kupiga simu peke yake njia hii si sahihi kwasababu zifuatazo:
1. Simu ya muhusika anaeitwa kwenye usaili ikiwa imezima maana yake ndio kaukosa usaili , na simu kuzima ni kawaida kuna sababu kama kuishiwa charge na kazalika.
2. Njia hii ni ya kibaguzi sababu inafumba fumba waliotwa kwenye usaili wasijulikane
Nawashauri nazani mnamanagement katika kitengo cha human resources ina elimu na uelewa wa kutosha hivyo ili kuondoa mkanganyiko tumieni hizi njia
1. Bandikeni majina ya watu walioitwa kwenye usaili kwenye website yenu mbona matangazo ya kazi mnaweka.
2. Tumeni ujumbe wa sms kwenye simu za wasailiwa, njia hii ni nzuri endapo simu ya msailiwa imezima kwa muda ujumbe ataupata.
3. Ndiyo, mpige simu
Mwisho njia ya kupiga simu pekee si njia nzuri ni njia ambayo inawanyima wengine kushiriki usaili na njia hii mmekuwa mnaitumia kwa muda mrefu hivyo nyie kama bank huru katika kuajiri, badilikeni.
Sent using Jamii Forums mobile app