CRDB Bank na kinachoendelea?

CRDB Bank na kinachoendelea?

Kimei amejaza ndugu zake wachagga unategemea nini kazi yao ni wizi tu na ss ivi wanafungua matawi wanayaita microfinance muda si mrefu watayafunga tu
 
Tuwe wakweli mimi sio mshabiki wa crdb plc wala Md wao. Siku zote ni amini baada ya Kimei ukweli wa crdb plc utajulikana.
Ukitaka juwa crdb plc chini ya Kimei ipo shida angalia mchezo wanafanya kwenye soko la hisa. Tangu wameingia soko la hisa wao wanacheza na tsh350-450 sina kumbukumbu ikiwa wamewahi fika hisa 500-700 tangu wapo sokon. Pia angalia hisa ya nmb imeshuka sana ipo 1800 na imewah kupanda mpaka ~3600.
Njoo kwenye ghawio ndio utachoka tzs 5 sijuw kumi wakati nmb plc mpaka ~116. Sasa ajabu nyingine jamaa kwenye soko hisa zake ndio kama hvyo ila ajabu faida anatangaza unajiuliza wanakokotoaje p&l yao.
Kingine angalia uwekezaji wao. Wao wanafungua matawi kwenye nchi ambazo ni high risk kama kongo, burundi na unawasikia wanajivunia uwekezaji wao.
Huyo ndio crdb plc chini ya Md Kimei. Ila pia ths tm wanakazi nzito kuficha mambo yao chini ya serikal ya Magufuli.

Kwa maoni yangu mie....nadhani unahitaji kujifunza sana elimu ya hisa...na lakin kuilinganisha crdb na nmb ni sawa na kulinganisha tembo na punda....kimkakati na kimtandao nmb ni benki kubwa sana...na iko well connected na serikali. Hii inaihakikishia benk hii biashara ya muda mrefu thats is why utaona hisa zakr ziko juu sana....kulinganisha na crdb.

Crdb bado mtoto sana kwa nmb...crdb bado inajenga mtandao...wakat nmb iko karibu kona zote. Sasa basi crdb inalazimka sana kutumia sehemu kubwa ya mtaji wake kuwekeza zaidi kuliko kulipa share....am just thinking any way!
 
nlkua na mpango wa kuiendeleza pale mkataba na HESLB ukiixa... ila nlikataga tamaa zaman sana.. NMB afazal
 
Ni kweli mfano ni leo huku Kahama watu tumehangaika sana asubuhi hapakuwa na mtandao kabisa ulirudi baadaye sana, na ikifika jion kwa upande wa simbanking huwezi kuhamisha chochote.
 
Kwa namna hii nitakuja very soon, pamoja na foleni zenu hamna namna sasa
Mkuu mi ni mteja wa crdb tangu 1998 sababu ya matatizo yao nimehamia NMB hata mwaka bado lakini NMB kwenye mitandao wako powa sana.... wako fast na reliable tatizo lao ni limit yao kwa
siku ya 1m kwa ATM/ SIM BANKING wakati crdb unaweza toa 1m kwa kila mtandao wa simu (tigo
pesa, mpesa, airtel money) na bado ukavuta kwenye ATM na kutransfer kiasi flani kwa sim banking nadhani limit ni 5m kwa siku.... NMB kwa only 1m kwa siku kwa ATM na sim banking
Kwa kweli mnaboa sana.....
 
Ndo maana siku hizi nawaona NMB wana wateja wengi kumbe mafuriko yashaanza tayari. Kunawezekana CRDB wakawa wamebanwa njia zao fulani hivi na serikali hii, si bure.
 
Leo nimeshindwa nunua mahitaji ya nyumbani, na pesa ninayo kwao nyingi tu. Tangu saa 7 mchana mpaka usiku huu ATM hola.. Ukiwapigia simu hawapokei.

Inanilazimu kesho niingie ndani nitoe dirishani. Pesa nimeipata kwa jasho, inanitoa jasho pia.
 
Duu vijimaneno vya Wateja duu ni noma.mie nilikuwa nafikiria kufungua ac huko duu.embu ngoja nisikilizie
 
Sim banking na Atm zote zinategemea Tigo au Voda sasa unajua tabu unampigia jamaa yako voice call unaambiwa namba hiyo haipo! What Do You xpect?
 
Duu vijimaneno vya Wateja duu ni noma.mie nilikuwa nafikiria kufungua ac huko duu.embu ngoja nisikilizie
kwani braza Mbona sisi tupo Equity bank mda n.a. hatujawahi pata hizi shida....hamna makato ukiweka buku hata mwaka unaitoa...haya bana bakini na shida zenu
 
Equity ina matawi machache mikoani na wilayani ndo kabisaa
 
Tuwe wakweli mimi sio mshabiki wa crdb plc wala Md wao. Siku zote ni amini baada ya Kimei ukweli wa crdb plc utajulikana.
Ukitaka juwa crdb plc chini ya Kimei ipo shida angalia mchezo wanafanya kwenye soko la hisa. Tangu wameingia soko la hisa wao wanacheza na tsh350-450 sina kumbukumbu ikiwa wamewahi fika hisa 500-700 tangu wapo sokon. Pia angalia hisa ya nmb imeshuka sana ipo 1800 na imewah kupanda mpaka ~3600.
Njoo kwenye ghawio ndio utachoka tzs 5 sijuw kumi wakati nmb plc mpaka ~116. Sasa ajabu nyingine jamaa kwenye soko hisa zake ndio kama hvyo ila ajabu faida anatangaza unajiuliza wanakokotoaje p&l yao.
Kingine angalia uwekezaji wao. Wao wanafungua matawi kwenye nchi ambazo ni high risk kama kongo, burundi na unawasikia wanajivunia uwekezaji wao.
Huyo ndio crdb plc chini ya Md Kimei. Ila pia ths tm wanakazi nzito kuficha mambo yao chini ya serikal ya Magufuli.
Kuna vitu vingine ambavyo ni vidogo lakini ni kero sana kwenye hii bank. Kama mshahara usingekua wapitia huku ningehama long. Unapo ingiza malipo ya ada kwenye akaunti ya shule wanakata sh. 1100 eti fee ya karatasi ya kufanyia transactions. This is rediculous
 
Nmekuwa mteja wa crdb tangu mwaka 2010... Ila mwaka huu nimewapga chin sitasahau walichonifanyia
 
mikopo nayo nasikia imepigwa ban,dah. Rais magufuli ataua hizi benki
Hapa fafanua maana nataka kuchukua mkopo wamepiga ban lini?siku chache walinijibu hatua za kufuata hapo mnazimmoja ili nichukue nyingi nilipe kidogokidogo
 
Kimei amejaza ndugu zake wachagga unategemea nini kazi yao ni wizi tu

Kaka angu wacha "Wivu wa Kike" ,Kama vip kaoe mchagga naye apewe kazi CRDB.

Kwenye Bongo fleva huwaoni,Timu ya Taifa huwaoni,Ligi kuu huwaoni sasa unategemea uwaone wapi?

Tembelea mtandao matokea ya waliovhaguliwa kidato cha 5 Jana alafu angalia majina yanayoishia na ubin-kichagaa na shule waloenda alaf unipe jib ukikosa chagua mji!

Nenda IFM,CBE, UDBS,UDSM kila darasa robo utakuta wachagga!

Wakati wewe unawekeza kwenye majungu mwenzio wanaweka kamati ya kumchangua mtoto aende shule!

Likizo time asaiv watoto wanajizungusha mliman city ukienda Moshi watoto wanakesha Tution!

Samahani lakini ,dont take it too personall!
 
Hajaweka picha,mwambie mwanaume halalamiki.
Aende Bank of India pale Posta anapata loan siku hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom